Diamond Platnumz ulichomfanyia Stonebwoy kwenye Black Madonna ni unyama. Sio kwa kumfunika huku

Kafifiaje point yako ni hipi.
Kwanini mondi afifie baada ya harmonize kutoka?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mbona naona kama una bwaja bwaja tu .afu uelewi wala kujua unacho taka kusema
 
Kwanini mondi afifie baada ya harmonize kutoka?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Harmonize na Mavoko mkuu, tatizo watu hawataki kukubali, Si kwamba Diamond alikua anaandikiwa ngoma sana na hao Bali walikua wanashauriana kama team
 
Jf ni kijiwe cha majungu siku hizi
MBONA ALIKIBA KASHIRIKISHWA NA JUSTIN BIEBER HATUSEMI, SIE HATUPENDI SHOW OFFS
Hata King kiba ,King wa music Africa alimfunika Rihana bt King mmiliki wa king's music leb Hapendi show off na wala hakuposti mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...kiba hataki kufanya kolabo na wasanii wa nje sababu hapendagi show off yaani kama unajua unajua tu jamaa ni balaa


ndo maana jay z alimsifia ye ni balaa sema hakutaka watu wajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom