rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,515
- 41,989
Ndo wizkid alimua unfollow falaa yulee...!!!Wamarekan wanadharau kwa waafrika hatari uliona Yale drake aliomfanyia wizkid?
Video zote mbili katema kuwepo
Ndo wizkid alimua unfollow falaa yulee...!!!Wamarekan wanadharau kwa waafrika hatari uliona Yale drake aliomfanyia wizkid?
Video zote mbili katema kuwepo
So wasenge wale wanajikuta kina sijui wakati ni ma black kama sisi wizkid saivi hataki shobo nao wanatuona kama uchafu yaani anakupa kibwagizo mwishon uimbe halafu hata kwenye video usijeNdo wizkid alimua unfollow falaa yulee...!!!
Kwa comment hii bila shaka hiyo Number mbili inakuhusu. Una moyo wa korosho.Hunijui nafikiri nna uelewa wa mambo haya muziki more than you think
Unataka tusemeje ikiwa tumeshampongeza tayari? Nimlambe miguu kama innocent dependent ?
Hivi hiyo ikwapi ama wewe ndo unaienezaKwa comment hii bila shaka hiyo Number mbili inakuhusu. Una moyo wa korosho.
Kwa sababu huna sababu yoyote ya kupanda chuki.
Ndio hiyo nafasi mzee ulitaka akataeYani kasema vimaneno viwili sijui mwishoni kabisaa...dharau hiziiiii!! Alicia Keys mwenyewe ashachokaaa na game
pancho boy Wewe ulitaka diamond akatae hiyo sekunde aliyopewa? au wewe ulitakajeHivi hiyo ikwapi ama wewe ndo unaieneza
Siku ukija kujua labda diamond ni bosi wangu utaficha wapi sura
Bao la kwanza ni refu kuliko verse aliopewa mondi na huyo keyspancho boy Wewe ulitaka diamond akatae hiyo sekunde aliyopewa? au wewe ulitakaje
Bos hebu icheki tena hii..Anazungumziwa Alicia Keys.Mwisho wa siku kuimba na hawa wamarekani binafsi huwa naona kama tu kutimiza ndogo yako labda ulipenda kufanya kazi na fulani, ila haina manufaa kivile.
pancho boydogo unaeleweka point yako sema point yako ndani yake kumejificha kumchukia diamond na jitihada zake za kuendelea kuuzika umasikini, jitihada zake za kujitangaza zaidi na zaidi, unadhani yeye mjinga hajui hayo yote unayosema, kama wizkid alichukia sana mwanzoni kwanini hakujiondoa kwenye hio video na audio na Drake, hio nyimbo tu unajua imemletea nini wizkid, hivi unajua wizkd kashirikishwa kwenye nyimbo ya beyonce, kila kitu ni malengo, lazima ujue direction ya unapokwenda kwa unachofanya ..
sasa nyie endeleeni kuwapa kichwa wasanii wenu wa huku mchangani kwamba wabanane hapa hapa na show za fiesta wasifikiri nje ya box, diamond huyooo anawaacha anawatimulia vumbi tu.
Nadhani hujanielewa vizuri mkuudogo unaeleweka point yako sema point yako ndani yake kumejificha kumchukia diamond na jitihada zake za kuendelea kuuzika umasikini, jitihada zake za kujitangaza zaidi na zaidi, unadhani yeye mjinga hajui hayo yote unayosema, kama wizkid alichukia sana mwanzoni kwanini hakujiondoa kwenye hio video na audio na Drake, hio nyimbo tu unajua imemletea nini wizkid, hivi unajua wizkd kashirikishwa kwenye nyimbo ya beyonce, kila kitu ni malengo, lazima ujue direction ya unapokwenda kwa unachofanya ..
sasa nyie endeleeni kuwapa kichwa wasanii wenu wa huku mchangani kwamba wabanane hapa hapa na show za fiesta wasifikiri nje ya box, diamond huyooo anawaacha anawatimulia vumbi tu.
Nchi hii ina kizazi chenye hasara sana, yaani matabaka ya monopoly duniani huwa tunayajenga wenyewe.
Ndio maana mmoja ana trillion 100 mfukoni mwingine hana hata 100.
Yaani wstu wasifanye muziki Kwasababu eti wataonekana wanashindana na mtu mwingine.
Mwisho wa siku kuimba na hawa wamarekani binafsi huwa naona kama tu kutimiza ndogo yako labda ulipenda kufanya kazi na fulani, ila haina manufaa kivile.
Burnaboy muziki wake umetoboa kavukavu. Kafanya interview kwenye shows kubwa sana US kama Daily Show na Jimmy Kimmel
So, binafsi sioni sababu ya wasanii kulazimisha saaana na kuwa frustrated.
Unatumia milioni 30 kugharamika video na audio, then show unabanana humuhumu na kina Msaga sumu
hata kama patoraking kamsifia ila kaimba vibaya😫😫😫😪pancho boy Kupewa kipande kidogo haimanishi ndio kuimba vibaya ila umetumiaje hiyo sekunde uliopewa kuimba kwenye wimbo hiko ndio watu wanachopima.Hiko kipande diamond kaitendea haki kwanza kaimba kwa sauti nzuri Melody Kali ndio maana watu wanamsifia na moja Kati ya watu waliguswa Ni patoranking amemsifia Sana hiko kipande alichoimba diamond nashangaa Sana unakuja hapa kuleta uteam wako Mara ya kwanza Nilizani ni mtu ambaye unapenda good music kumbe la hasha!
Huo Ni mujibu wako na kuimba vibaya kukoje?hata kama patoraking kamsifia ila kaimba vibaya😫😫😫😪
usimtetee kwa sababu kasifiwa na patoraking, kiukweli kaimba vibaya😫😫😭😪pancho boy Kupewa kipande kidogo haimanishi ndio kuimba vibaya ila umetumiaje hiyo sekunde uliopewa kuimba kwenye wimbo hiko ndio watu wanachopima.Hiko kipande diamond kaitendea haki kwanza kaimba kwa sauti nzuri Melody Kali ndio maana watu wanamsifia na moja Kati ya watu waliguswa Ni patoranking amemsifia Sana hiko kipande alichoimba diamond nashangaa Sana unakuja hapa kuleta uteam wako Mara ya kwanza Nilizani ni mtu ambaye unapenda good music kumbe la hasha!
kunakuwa kubayaHuo Ni mujibu wako na kuimba vibaya kukoje?
Huna lolote chuki tu imekutawala mwenzako hapo kashapiga hatua kubwa Sanakunakuwa kubaya