Mdau jf
Senior Member
- Sep 10, 2020
- 182
- 312
kumbe wewe huwaga ni haterAcha tuone kama kweli isije Yale ya kusema ata perform kombe la dunia
kumbe wewe huwaga ni haterAcha tuone kama kweli isije Yale ya kusema ata perform kombe la dunia
basi ngoja tuweke list hivikwanini utumie nguvu kuwaambia watu yeye ni zaidi ya wengine!!!!kwani watu hawaoni!!
angalia uzi comment ya pili na ya tatu wameishaingizwa kiba na kondeboy,mpaka unashangaa!!!!wamefata nini hapa!!!!
Diamond should top on the list brodahbasi ngoja tuweke list hivi
1 konde boy
2 Ali kiba
3 Daimond
hapo vipi umefurahi eeh
New member unajifanya unajua jua watu .kumbe wewe huwaga ni hater
basi ngoja tuweke list hivi
1 konde boy
2 Ali kiba
3 Daimond
hapo vipi umefurahi eeh
😂😂😂😂😂😂😂Ila Domo kwa hii fame aliyopata ataendela kuwatafuna wadada zetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kiba yupo kwenye album mpya ya lady gaga
Nchi hii ina kizazi chenye hasara sana, yaani matabaka ya monopoly duniani huwa tunayajenga wenyewe.
Ndio maana mmoja ana trillion 100 mfukoni mwingine hana hata 100.
Yaani wstu wasifanye muziki Kwasababu eti wataonekana wanashindana na mtu mwingine.
Mwisho wa siku kuimba na hawa wamarekani binafsi huwa naona kama tu kutimiza ndogo yako labda ulipenda kufanya kazi na fulani, ila haina manufaa kivile.
Burnaboy muziki wake umetoboa kavukavu. Kafanya interview kwenye shows kubwa sana US kama Daily Show na Jimmy Kimmel
So, binafsi sioni sababu ya wasanii kulazimisha saaana na kuwa frustrated.
Unatumia milioni 30 kugharamika video na audio, then show unabanana humuhumu na kina Msaga sumu
Ilishatoka muda sana.naisubiri So done ft " innocent boy" Khalid
Ngoja niibukieIlishatoka muda sana.
Habari nzuri,
Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys.
Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond.
Tumekuwa tukizoea baadhi ya Wasanii wa Bongo kama AY na Diamond kufanya collabo na American artist lakini Safari hii Diamond ndio kashirikishwa.
Wakina Konde boy na Ali Kiba jealous tu, lakini watasubiri sana kwa huyu jamaa. Yaani we fikiria vile Alicia Keys saved your number on her phone! Huyu mjomba ashatoboa, sema wabongo na jealous zao wanataka kumfananisha na Aslay, dah, yaani I don't understand. Roho mbaya za Watanzania wenzangu, vile Hasheem Thabeet didn't make it to the NBA, wao ndio roho zao kwatu kabisa, sasa sijui ndio wanafaidika na nini.
Kwa roho mbaya zetu watu wa kibongo, tunamuombea Sammatta ashindwe aje kucheza Ilala