Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,621
2,000
Labda Kwa Africa.

Hapo Diamond kajitahidi.

Ila Ulaya na Marekani, Hakuna mtanzania amewahi kufanya show yenye hadhi.

Mostly ni shows za kwenda kufurahisha Diaspora.

Anyway unayo video yake ya show ya Korea ?
Relax bro, mimi nilimuona Diamond Live Brussels 2015. Baada ya show ilibidi aondoke na baunsa kama 10 hivi, kwasababu kila mtu alikuwa anataka kupiga nae picha. Boy knows what he's doing
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,267
2,000
Relax bro, mimi nilimuona Diamond Live Brussels 2015. Baada ya show ilibidi aondoke na baunsa kama 10 hivi, kwasababu kila mtu alikuwa anataka kupiga nae picha. Boy knows what he's doing
Get to your senses bro.

Najua mapenzi upofu, ila kuwa mkweli costs $0
 
Asksr

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
234
1,000
Labda Kwa Africa.

Hapo Diamond kajitahidi.

Ila Ulaya na Marekani, Hakuna mtanzania amewahi kufanya show yenye hadhi.

Mostly ni shows za kwenda kufurahisha Diaspora.

Anyway unayo video yake ya show ya Korea ?
Labda Kwa Africa.

Hapo Diamond kajitahidi.

Ila Ulaya na Marekani, Hakuna mtanzania amewahi kufanya show yenye hadhi.

Mostly ni shows za kwenda kufurahisha Diaspora.

Anyway unayo video yake ya show ya Korea ?
Umemlinganisha na akina msaga sumu umejibiwa za Afrika ukaona uulize za Korea.
Hiyo inaonesha ni chuki binafsi dhidi ya Diamond. Matabaka yapo na yataendelea kuwepo.hata burnaboy mwenyewe anapitwa na billie elish.

Waandaaji wa tamasha kubwa la afronation litakalofanyika ureno walimuona yeye Tanzania nzima ndio wakamchukua akapige show na kina Chris brown huko ureno. So relax bro Diamond platnumz ni msanii mkubwa hata usipopenda.
0cab5fd4d69c649189cc90e9d82caa2a.jpg

Na billboard wanamjua
Screenshot_20200915-163457.png

Innos b anamshukuru kila siku kwa kumfanya awe nominated bet awards.
 
PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,621
2,000
Get to your senses bro.

Najua mapenzi upofu, ila kuwa mkweli costs $0

Mi nakwambia ukweli, niko Rotterdam hapa for years. Diamond Platnumz alikuwa na show hapa Amsterdam hii July iliyopita. Show ilikuwa advertised tangu mwaka jana,kabla COVID 19. Ndio ukae ukijua kwamba jamaa ni real game. Huku Ulaya,. Diamond Platnumz ni moja ya biggest names kutoka Afrika Mi mwenyewe niko proud sana kwasababu Nimetoka Bongo. Can you imagine unaingingia Mall la wazungu hala wanapiga nyimbo za Diamond? Kwa Bongo Fleva jamaa muache tu, yaani ashawapaga bao wote
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,416

kwahiyo lengo la diamond ni kufanikiwa au kupiga bao wote!!!!

ujinga ni kushinda unatumia nguvu ukisema diamond ni baba lao,huo ndio ujinga wenyewe.
 
PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,621
2,000
kwahiyo lengo la diamond ni kufanikiwa au kupiga bao wote!!!!

ujinga ni kushinda unatumia nguvu ukisema diamond ni baba lao,huo ndio ujinga wenyewe.

Mi nakwambia ukweli, kila mtu alikuwa anasubiri Tour ya Diamond hapa Europe mwaka huu. Mimi nilishafanya booking concert yake ya Amsterdam. Covid-19 ndio imeharibu tour yake. Hapa Europe ukienda kwenye maduka na saloon za waghana, wanapiga nyimbo za Diamond Platnumz na hao ndio wateja wake akija huku kwasababu wabongo haututoshi. Kama hutaki wee kaa na jealous zako tu.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,416
2,000
Mi nakwambia ukweli, kila mtu alikuwa anasubiri Tour ya Diamond hapa Europe mwaka huu. Mimi nilishafanya booking concert yake ya Amsterdam. Covid-19 ndio imeharibu tour yake. Hapa Europe ukienda kwenye maduka na saloon za waghana, wanapiga nyimbo za Diamond Platnumz na hao ndio wateja wake akija huku kwasababu wabongo hautoshi. Kama hutaki wee kaa na jealous zako tu.
kwanini utumie nguvu kuwaambia watu yeye ni zaidi ya wengine!!!!kwani watu hawaoni!!

angalia uzi comment ya pili na ya tatu wameishaingizwa kiba na kondeboy,mpaka unashangaa!!!!wamefata nini hapa!!!!
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
5,566
2,000
huyo jamaa ana chuki binafsi alafu hoja hana
Umemlinganisha na akina msaga sumu umejibiwa za Afrika ukaona uulize za Korea.
Hiyo inaonesha ni chuki binafsi dhidi ya Diamond. Matabaka yapo na yataendelea kuwepo.hata burnaboy mwenyewe anapitwa na billie elish.

Waandaaji wa tamasha kubwa la afronation litakalofanyika ureno walimuona yeye Tanzania nzima ndio wakamchukua akapige show na kina Chris brown huko ureno. So relax bro Diamond platnumz ni msanii mkubwa hata usipopenda. View attachment 1570559

Na billboard wanamjua View attachment 1570597

Innos b anamshukuru kila siku kwa kumfanya awe nominated bet awards.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
7,895
2,000
Habari nzuri,

Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys.

Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond.

Tumekuwa tukizoea baadhi ya Wasanii wa Bongo kama AY na Diamond kufanya collabo na American artist lakini Safari hii Diamond ndio kashirikishwa.

Kwani Kondeboii anasemaje kuhusu hili ?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
7,895
2,000
Nchi hii ina kizazi chenye hasara sana, yaani matabaka ya monopoly duniani huwa tunayajenga wenyewe.

Ndio maana mmoja ana trillion 100 mfukoni mwingine hana hata 100.

Yaani wstu wasifanye muziki Kwasababu eti wataonekana wanashindana na mtu mwingine.

Mwisho wa siku kuimba na hawa wamarekani binafsi huwa naona kama tu kutimiza ndogo yako labda ulipenda kufanya kazi na fulani, ila haina manufaa kivile.

Burnaboy muziki wake umetoboa kavukavu. Kafanya interview kwenye shows kubwa sana US kama Daily Show na Jimmy Kimmel

So, binafsi sioni sababu ya wasanii kulazimisha saaana na kuwa frustrated.

Unatumia milioni 30 kugharamika video na audio, then show unabanana humuhumu na kina Msaga sumu
Burna boy huyu huyu ambae huwa anamtungia nyimbo Drake au mwingine ?
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
567
500
Umemlinganisha na akina msaga sumu umejibiwa za Afrika ukaona uulize za Korea.
Hiyo inaonesha ni chuki binafsi dhidi ya Diamond. Matabaka yapo na yataendelea kuwepo.hata burnaboy mwenyewe anapitwa na billie elish.

Waandaaji wa tamasha kubwa la afronation litakalofanyika ureno walimuona yeye Tanzania nzima ndio wakamchukua akapige show na kina Chris brown huko ureno. So relax bro Diamond platnumz ni msanii mkubwa hata usipopenda. View attachment 1570559

Na billboard wanamjua View attachment 1570597

Innos b anamshukuru kila siku kwa kumfanya awe nominated bet awards.
Mkuu, Kuna watu wanampondea mond Ila mioyo yao inawasuta. Kwa Mambo makubwa anayoyafanya kwenye mziki wa Tz, jamaa anastahili pongezi.
 
anthony_art

Member
Jul 9, 2020
66
125
Labda Kwa Africa.

Hapo Diamond kajitahidi.

Ila Ulaya na Marekani, Hakuna mtanzania amewahi kufanya show yenye hadhi.

Mostly ni shows za kwenda kufurahisha Diaspora.

Anyway unayo video yake ya show ya Korea ?
You are right, but jamaa kajitahidi Sana, kwa east Africa Ni ki2 ngumu sana. wanigeria Wana diaspora wengi sana marekani hasa madjs na mapromoter ndio maana wamarekani wengi wanajua mziki wa Africa upo Nigeria pekee, Ila kwa east Africa Ni ki2 kikubwa Sana alichokifanya diamond sometimes naona jamaa Hadi anatumia nguvu nyingi Sana ili awe Kama wanaija but wao wanafavor Sana hawatumii nguvu nyingi me nakubali sana struggling ya mwamba.
 
zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
1,748

Kuna mtu aliwahi kusema Kama Diamond angekuwa mnaijeria kwa sasa angekuwa msanii namba moja Afrika
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,667
2,000
Wimbo wenyewe mbaya, ilikuwa afutwe kabisa wakamuachia sekunde za mwisho. Mbona Ali Kiba ameimba na Rihanna lakini hajautoa tu wimbo wenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom