Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,563
Team wean
Team khamis
Team zaid
Team tunda
Team khamis
Team zaid
Team tunda
Mcheza kwao utuzwa ,, ninan Uganda alikua asomjua Zarieth ??.Umaarufu zari hapa bongo ndio wachache tulikua tunamjua. Yeye kudate na diamond ndio imeongeza umaarufu wake hapa bongo. Lakini sio kwamba yeye sio maarufu. Anytime mondi akimzingua yakamfika hapa anamuacha
Heloo!
Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.
Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.
Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.
Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!
Na wagonge wote tu wakijileta!
Bado sana wewe!
Wanawake wa tz wivu unawasumbuaMbona wanawake wa TZ mnamchukia sana Zari??
Zari kaolewa?!!Teheeeee teheeeee naona unaruka ruka nakujikanyaga uku ukijaribu kutokubaliana nahali halisi lkn ukijua Fika THE LADY ni Super super and super !!.
Sikia ,, Mimi naweza kua nimeoa ,lkn nachepuka naww ..hiii haimanishi simpendi mke Wangu ,, ila nmekuja kukula wewe sababu tu nimetaman nikukule but sina mpango kabisa naww Upo !!.
Sasa unahisi among hao Unawaowapigia chapuo ,kuna MTU atakayependwa na Diamond kumzidi Zarieth ???? Ninan kati yao anamzidi Zary chochote kile ??.
SIKIA USIPOKUA INDEPENDENT KIMAISHA NA KIAKILI ,,KUTEMBEA NA WANAUME WA WATU KWAKO NIMOJA YA PROUD.
Nina mashaka sana ,,hata wewe hapo ulipo Diamond akikufata ,Upo tayar kutegesha mimba ,urekod navideo ,yote kwa yote "**Ngoja nimkomeshe Zary*
Sasa kwasisi waungwana ,,Hiyo tunaihesabu km Akili za Karne ya 2 !.
Una mwanamme ??? Au umeolewa ??? .Zari kaolewa?!!
Maneno mengi povuu!nothing written!!
Umeongea hivo adi nkatamani nikuone,, binadamu kwa kukufuru jamaniSiuoni uzuri wake tako lina pembe NNE miguu tende rangi kama karatasi masikio kama popo
Dinazarde
Wivu tu hamna la ziada
Yote yawezekana hayooo
Team zari mtatukanaaaa weee!
Poleni tunda yuleeeer Rwanda
Nani anataka shombo la maziwa!