Diamond na Tunda mahaba niue

Ukijaribu kufuatilia comments hizi utajua jinsi gani tulivyo na akili fupi hasa wanawake, huyo Mondi na zari wanakaa wanaona watoke vp na wanakuja na ujinga basi watu wanashoboka kuponda mwanamke mwenzao anavyodhalilika, kumbe wenzao wanataka kubaki midomoni mwa watu either kwa mazuri au mabaya. Sometimes nawaza vile madem wa humu wanaomponda Zari walivyo na sura ngumu maana mwanamke akimchukia mwanamke mwenzie ujue kampita uzuri.


hahahhahahah ! aisee ! nakusalimu !
 
Wanaona amepata kila kitu. Watoto, mali, uzuri na mengineyo. Watu wengine viroho vya kwanini yule kapata badala ya yule kapataje na mimi nmfikie
Hata wakishindwana hakuna wa kumlinganisha na Zari wote cheap slut tuuu Sasa katunda kandangaji, hamisa na wengineo bora wema angalau Enzi zake japo ,,,,
 
Heloo!

Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.

Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.

Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.

Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!

Na wagonge wote tu wakijileta!

Bado sana wewe!
Atakugonga na wewe hatimaye,je utampa?
 
Hahahahaa mie nimeona biashara ya kula likes inalipa zaidi kuliko kuanza ligi hapa halafu mwisho wa siku mods wanaufuta uzi.

Zari ni zari tu yaan wanajipanga watu mia kila siku wanamuibulia mpinzan mwingine ika bado hafikii viwango vya zari.

Wacha tu dai atuongezee single moms in town.
hahha hii battle mie siiwez !ngoja nimuite Numbisa !inaumiza mno jaman !hilo tusi ni la kufedhehesha sana !
 
Tatizo yule mtoto Diamond hana heshima anamdhalilisha mama wa watu. Na mama mwenyewe anavyopenda umaarufu anang'ang'ania hapo hapo utasema kaambiwa ndo nyota yake ya kutajirikia. Yule mmama alivyo mzuri ukiambiwa anachezeshwa segere na mtoto kama Diamond unaweza ukalia kwa hasira
Haaa haa nimekuelewa
 
6d921f6e83235ce668a907c65f4f0260.jpg
 
Mademu wenyewe wote wabaya wabaya, na hawana hata kibarua maalum. In short wote ni madada poa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom