Diamond na Tunda mahaba niue

Umaarufu zari hapa bongo ndio wachache tulikua tunamjua. Yeye kudate na diamond ndio imeongeza umaarufu wake hapa bongo. Lakini sio kwamba yeye sio maarufu. Anytime mondi akimzingua yakamfika hapa anamuacha
Mcheza kwao utuzwa ,, ninan Uganda alikua asomjua Zarieth ??.

Njoo east afrika ,nani asomjua ?????.

Huyo Tunda tu sanaaaaaa mnamjua wabongo wenzake ,nahata huyo mobeto bila hiikick ya majuzi asingejulikana hata Hapa TZ kwa ujumla .

Unajua , tuache unafiki ZARIETH HUWEZI MLINGANISHA NA celebrities YOYOTE WAKIKE HAPA BONGO ..HAYUPO.

kidogoooooooooooooo huyu mwanaccm wangu kidoti
 
Ukijaribu kufuatilia comments hizi utajua jinsi gani tulivyo na akili fupi hasa wanawake, huyo Mondi na zari wanakaa wanaona watoke vp na wanakuja na ujinga basi watu wanashoboka kuponda mwanamke mwenzao anavyodhalilika, kumbe wenzao wanataka kubaki midomoni mwa watu either kwa mazuri au mabaya. Sometimes nawaza vile madem wa humu wanaomponda Zari walivyo na sura ngumu maana mwanamke akimchukia mwanamke mwenzie ujue kampita uzuri.
 
Heloo!

Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.

Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.

Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.

Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!

Na wagonge wote tu wakijileta!

Bado sana wewe!


Weka picha!
 
7101811e5ba58fadb2ad160fe319bfa3.jpg


Haya simba amesema hivyo.


And by the way huko kwa mzazi sijafika (may her soul rest in peace) tuko hapa hapa kwa zari the boss lady. Daily mnamuongezea watoto lol
we ulitaka asemeje?



Umeongea ndo maana nkasema
 
Teheeeee teheeeee naona unaruka ruka nakujikanyaga uku ukijaribu kutokubaliana nahali halisi lkn ukijua Fika THE LADY ni Super super and super !!.

Sikia ,, Mimi naweza kua nimeoa ,lkn nachepuka naww ..hiii haimanishi simpendi mke Wangu ,, ila nmekuja kukula wewe sababu tu nimetaman nikukule but sina mpango kabisa naww Upo !!.

Sasa unahisi among hao Unawaowapigia chapuo ,kuna MTU atakayependwa na Diamond kumzidi Zarieth ???? Ninan kati yao anamzidi Zary chochote kile ??.

SIKIA USIPOKUA INDEPENDENT KIMAISHA NA KIAKILI ,,KUTEMBEA NA WANAUME WA WATU KWAKO NIMOJA YA PROUD.

Nina mashaka sana ,,hata wewe hapo ulipo Diamond akikufata ,Upo tayar kutegesha mimba ,urekod navideo ,yote kwa yote "**Ngoja nimkomeshe Zary*
Sasa kwasisi waungwana ,,Hiyo tunaihesabu km Akili za Karne ya 2 !.
Zari kaolewa?!!
Maneno mengi povuu!nothing written!!
 
warembo wanaopenda mtonyo hawapindui kwa mtoto wa tandale

ila nangoje aje amkwapue OMOTOLA,,

mana ile sayari nyingine,,
 
Zari kaolewa?!!
Maneno mengi povuu!nothing written!!
Una mwanamme ??? Au umeolewa ??? .

Maana isiwe naanza bishana namtu Singo ambayw bado hana uhakika na maisha ya Mahusiano.

Nijibu hayo maswali kisha nitaendelea kukujibu .

Kwa taarifa yako , Mnaomponda Zarieth ,Mnajulikana mu waaina gani tena wazi tu wala haiitaji Akili yashuleni pole sana !!.
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom