Diamond na Tunda mahaba niue

Kweli hamna linaloshindikana zari kua bi mkubwa wako.

Ajabu ni kua team misa mmehamia kwa tunda
Mwanamke yoyote atakayekua opposite na zari ndio mnampenda. Aiseee
walaa mie wala sio team tunda nacheka misukule mnavyopaparika na hamtakiwi
Anaekupenda hafanyi upumbavu huu

BTW can u leave my mom to rest in peace please?!!am begging she is no more!!
 
Hapana , Zary anakili sana , Anashindwa kuondoka nisababu anaakili , amekua kiumri watoto wake bado wanahitaji kumuona Baba yao kila siku

Of course Zarieth anapenda Kua Maarufu na Maisha yakimaarufu ila amini nakuambia Zarieth akitaka kumwacha jamaaa anamwacha km kawaida ,,nisababu nihiii , Nim'mama sio binti ,vibinti ndo vinakuwaga ving'ang'anizi nisababu mabinti hawana pakushika matokeo yake nihayo.

Amini amini nakuambia ,ukitaka kujua Diamond anaweweseka kwa zary , Angalia mangapi ameyafanya kwa Zary ??? Angalia ile siku Zary alozushiwa zile picha akiwa kwa maji najamaa fulan ivi....Uliona Diamond alivyopagawa ??????.

Sasa subiri mobeto au tunda wafanye ujinga ,alafu uone km Diamond ataangaika ,hawezi !!.

ila IPO siku Zarieth atakua Fade up na Ataondoka. Huyu Diamond ,ujana tuuu ndo mwingi na Maisha ya usaniii ,Ila Zarieth at her age anaitaji Maisha ya kuheshimiwa ndo maana unaona anakua ivi alivyo nakulumbana.

Of course ,, MTU yoyote MTU mzm namwenye Akili na Maisha binafsi ,anapopatwa na Tatizo lazima huchanganyikiwa na kujaribu kutafuta Relief .

Zarieth ni best of the woman kuliko hao watoto ,, alafu hawa watoto nao wanatafuta umaarufu kupitia Zarieth amna lolote.
Umaarufu zari hapa bongo ndio wachache tulikua tunamjua. Yeye kudate na diamond ndio imeongeza umaarufu wake hapa bongo. Lakini sio kwamba yeye sio maarufu. Anytime mondi akimzingua yakamfika hapa anamuacha
 
Ni kweki she is the best ukilinganisha na wale watoto lakini ndo mwanaume wake anaomcheat nao sasa. Huwezi kukaa kwenye relationship kama hiyo kisa watoto jamani. Mtu unatakiwa ujithamini kidogo khaaah.
 
Tako lipi unalolizungumzia kwa mfano? Si na mie ntakua na tako basi. Kajaaliwa uzuri wa rangi na sura tu shape ndo maana anahangaika na gym maana akinenepa kituko.
Kitako chake kina pembe nne km mstatili hips za kubinua mguu daily mpk kawa km kilema wa mguu mfupi rangi Hamna kitu mdomo mpanaaaa au ndo maana domo anahangaika na kina tunda

Madale guest house
 
7101811e5ba58fadb2ad160fe319bfa3.jpg

Haya simba amesema hivyo.

And by the way huko kwa mzazi sijafika (may her soul rest in peace) tuko hapa hapa kwa zari the boss lady. Daily mnamuongezea watoto lol
 
Hapana , Zary anakili sana , Anashindwa kuondoka nisababu anaakili , amekua kiumri watoto wake bado wanahitaji kumuona Baba yao kila siku

Of course Zarieth anapenda Kua Maarufu na Maisha yakimaarufu ila amini nakuambia Zarieth akitaka kumwacha jamaaa anamwacha km kawaida ,,nisababu nihiii , Nim'mama sio binti ,vibinti ndo vinakuwaga ving'ang'anizi nisababu mabinti hawana pakushika matokeo yake nihayo.

Amini amini nakuambia ,ukitaka kujua Diamond anaweweseka kwa zary , Angalia mangapi ameyafanya kwa Zary ??? Angalia ile siku Zary alozushiwa zile picha akiwa kwa maji najamaa fulan ivi....Uliona Diamond alivyopagawa ??????.

Sasa subiri mobeto au tunda wafanye ujinga ,alafu uone km Diamond ataangaika ,hawezi !!.

ila IPO siku Zarieth atakua Fade up na Ataondoka. Huyu Diamond ,ujana tuuu ndo mwingi na Maisha ya usaniii ,Ila Zarieth at her age anaitaji Maisha ya kuheshimiwa ndo maana unaona anakua ivi alivyo nakulumbana.

Of course ,, MTU yoyote MTU mzm namwenye Akili na Maisha binafsi ,anapopatwa na Tatizo lazima huchanganyikiwa na kujaribu kutafuta Relief .

Zarieth ni best of the woman kuliko hao watoto ,, alafu hawa watoto nao wanatafuta umaarufu kupitia Zarieth amna lolote.
blah blah blah!who iz Zari before diamond?!!!she is nothing nothing!
Ingekua shida watoto wawe na baba yao asingemuacha Ivan waliyekuwa wote 15yrs!
 
Heloo!

Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.

Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.

Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.

Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!

Na wagonge wote tu wakijileta!

Bado sana wewe!
Ni kweli mwambie ale uloda ujanani ili yule mgeni atakapomtembelea awe anaukumbuka huo uloda. Tena mwambie ale bila mfuniko
 
Kitako chake kina pembe nne km mstatili hips za kubinua mguu daily mpk kawa km kilema wa mguu mfupi rangi Hamna kitu mdomo mpanaaaa au ndo maana domo anahangaika na kina tunda

Madale guest house
domo kutulia bado. Kwwnza na uswahili domo na hizo kick ndo zinamfanya aishi ataachaje kuhangaika unadhani.
 
Tako lipi unalolizungumzia kwa mfano? Si na mie ntakua na tako basi. Kajaaliwa uzuri wa rangi na sura tu shape ndo maana anahangaika na gym maana akinenepa kituko.
Kweli zari ana sura nzuri ila ubongo wa kuku!
 
Anataka mwenyewe wazee wenziwe wapo sana!!anajichetua tuu!
Utafananisha game ya wazee na vijana mpenz. Na nasikia domo ni balaa. Utakuta diamond anamfikisha kwenyewe ndo maana hataki kuachia ngazi pamoja na drama zote anazowekewa
 
Umaarufu zari hapa bongo ndio wachache tulikua tunamjua. Yeye kudate na diamond ndio imeongeza umaarufu wake hapa bongo. Lakini sio kwamba yeye sio maarufu. Anytime mondi akimzingua yakamfika hapa anamuacha
Hana ubavu wa kumuacha diamond asilani!
 
Ni kweki she is the best ukilinganisha na wale watoto lakini ndo mwanaume wake anaomcheat nao sasa. Huwezi kukaa kwenye relationship kama hiyo kisa watoto jamani. Mtu unatakiwa ujithamini kidogo khaaah.
Umaarufu kunuka unamtesa bimkubwa tunda kaposti anaelekea Rwandaaa
 
blah blah blah!who iz Zari before diamond?!!!she is nothing nothing!
Ingekua shida watoto wawe na baba yao asingemuacha Ivan waliyekuwa wote 15yrs!
Teheeeee teheeeee naona unaruka ruka nakujikanyaga uku ukijaribu kutokubaliana nahali halisi lkn ukijua Fika THE LADY ni Super super and super !!.

Sikia ,, Mimi naweza kua nimeoa ,lkn nachepuka naww ..hiii haimanishi simpendi mke Wangu ,, ila nmekuja kukula wewe sababu tu nimetaman nikukule but sina mpango kabisa naww Upo !!.

Sasa unahisi among hao Unawaowapigia chapuo ,kuna MTU atakayependwa na Diamond kumzidi Zarieth ???? Ninan kati yao anamzidi Zary chochote kile ??.

SIKIA USIPOKUA INDEPENDENT KIMAISHA NA KIAKILI ,,KUTEMBEA NA WANAUME WA WATU KWAKO NIMOJA YA PROUD.

Nina mashaka sana ,,hata wewe hapo ulipo Diamond akikufata ,Upo tayar kutegesha mimba ,urekod navideo ,yote kwa yote "**Ngoja nimkomeshe Zary*
Sasa kwasisi waungwana ,,Hiyo tunaihesabu km Akili za Karne ya 2 !.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom