Swali: Diamond Platnumz na Wema wanafanya nini mjini?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Samahani mimi kama Mzalendo naomba niulize wale wazalendo wanaopenda maendeleo wenzangu.

Hivi kweli Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ni wa kuuza Karanga kweli?

Yani na ma Exposure yote aliopata kipindi cha miaka 13 katika fani ya mziki wake na kusafiri duania nzima, akakaaa chini akafikiriia akaona auze karanga?

Jesus is Lord!

Hivi ni mimi tu naona Fault au kuna wengine tena?

Kweli Tz kuna Uchawi!

Cardi B wangapi wanamjua?! ameanza mziki hana miaka 5 lakini mbona anafanya vitu vikubwa sana makwao na hauzi karanga jamaa

Kuna kitu kinaitwa Standard of life au Class! Mbona Zari jamani hauzi Karanga tangu tumemjua shida iko wapi jamani?

Haya Team Mondi mkuje ku-hate kama kawaida yenu

Kama kuna mtu anaweza kumshauri Mondi badala ya kutukanana na akina Original Owner wa Karanga angekaa chini na Bibie Zari kidogo yule mama ana akili za maisha na Class, na sasa kaamua kukaa pembeni maana mdogo wenu Mondi hajisomi, na huenda akishauriwa hataki ndio unasikia anazaa zaa kama mpemba sasa mara Mobeto mara Tunda kiru! Kwani nyie wanaume wa Kibongo mnashida gani?

Haya mambo ya aibu jamani acheni wakina Mange waongeage tu ni aibu ati msanii wenu wa Tz anauza karanga nchini kwake ana nyumba 1 Madale.​

Bora Ali-Kiba aliakaa kimya hauzi maji wala karanga wala pipi anaimba zake tu.

Dada yenu Wema sasa ndio hata simuelewi kabisa, anauza Ubuyu unaitwa WEMEMEZ sijui nini mara kesho anavaa vitenge kaanza kupiga picha kama wale fashionista wa Ulaya.
Kha! sasa kama ana APP aliotengeneza mil 4 Africa Kusini alikosaje kumtafuta Expert akamsaidia ku-design biashara moja matata mjini yenye akili akaifanya?

Mimi nikiongea mnasema sio mzalendo najidai sijui ushamba lakini vitu vingine ni kama wale wenzangu wanaochukia kuangalia Bongo Movie tu, wanaona bora wakatafsiriwe vya mchina tu yaishe.

Dadaenu Wolper Stylish sasa anataka kutuuzia viungo vya pilau, kwani zile nguo anazouza biashara imekuaje?

Mdogowenu Shilole anatengeneza Chips Krips! doh, haya buana yote maisha.

Jamani Yesu weee kuna shida gani huku Bongo ni uchawi tu au kuna mengine?

Mbona Bruno Mars hauzi Karanga au ubuyu? Mbona Yemi ALade hauzi ugali wa Kinigeria kwao? Mbona Mafikizolo hawauzi pombe ya Mkomboti kule kwao Africa Kusini kwani Tz kuna nini mbona sielewi?

Nilitaka kuwa Celebrity nimeghairi sio kwa vituko navyoviona,
Kyalow General Mangi Ngosha Mashine miss chagga miss charming Money Talk Vladmir Putin Jiwedogo Kichaafulani Vladimirovich Putin Tarime one Tarime Kulupura Jiraniyetu sab

Ninamshukuru sana yule aliemshauri Mondi atengeneze radio na tv station huyo kama mnamfahamu aje nitampa dola 1000 akanywe maji.

Naombeni mniamshe pale ambapo Wema,​
Platnumz, Wolper, Shilole, Kiba, Jaydee, Veemoney watakapofikiria kuungana na kutengeneza/ kufanya sustainable developments kama kujenga international / local hospitals, International / local shule International vyuo vikuu kama cha Zari International nyumba za ibada, International islands Disney lands, International game parks na kuzitangaza International hotels, International radio stations otherwise si follow any celeb wa Tz, never!

Hivi kweli unadhani hawa wasanii wakaungana wakasema tunataka kazi zetu zikumbukwee, tunajenga hospital mbili za kimataifa Tz kwa ajili ya matibabu ya Kansa na matibabu yote kwa ujumla kwa ajili ya kuisaidia serikali yetu na kurudisha shukrani zetu kwa jamii kwa kutusapoti kazi zetu za muziki uone kama kuna kiongozi atasema zima Tv wamekaa uchi

ila kwasababu sijui ndio u selfish sijui ni ujinga sijui elimu duni mtu anatamba nimetengeneza album mil 100, kwahiyo sisi tukusaidiaje? Mje mnunue niweke saini?! Mimi penny nikanunue album ya nani ameisaidiaje jamii?

Mwingine anatamba amefunga rekodi Bilion 3 anazo benki, kwahiyo kama unazo watanzania tufanyaje? Sawa tukijua unazo inatusaidia nini? Jesus jamani vitu vingine ni akili kumkichwa, nanunuaje kasete ya 2500 sijui 10,000 wakati kuna watz wanakufa na njaa, hawana matibabu wanakufa?

Njoo Marekani sasa uone wasanii wanavyorudisha shukrani kwa jami wanajenga mashule wanachangia kampeni wanajenga mahospital mahotel hakuna kiongozi Marekani au Ulaya yeyote anafungia mziki wa msanii tena ndio kwanza promo kibao rudi Tz ukipigiwa promo na mheshimiwa labda kipindi cha uchaguzi

vitu vipo simple lakini watu wanaanza ku hate, oh we penny huna akili kama wewe na wasanii wako mna akili mbona mnatuuzia karanga na ubuyu na viungo vya pilau?

kiru!
Upendo na umoja hamna ndio maana wanafungiwa acheni tu hamna wanachokifanya zaidi ya kukaa uchi.

Sasa mnaelewa nikisema marafiki zangu hawawa-follow wasanii wa Tz hata m1, na wakiskia mnawaongelea wananyanyuka na kuondoka na kusonya.​

Naomba kama hauna sensible comment usicomment hapa! Tunataka suluhu tunamsaidiaje mtu alieisaidia Tz kujulikana kimziki duniani lkn kibiashara kachemka.​

 
naombeni mniamshe pale ambapo Wema... PLATNUMZ... WOLPER... SHILOLES... KIBAS...JAYDEES....VEEMONEY.... watakapofikiria kuungana na kutengeneza/ kufanya Sustainable Developments kama kujenga INTERNATIONAL / LOCAL HOSPITALS... INTERNATIONAL / LOCAL SHULE...INTERNATIONALVYUO VIKUU KAMA CHA ZARI ...INTERNATIONALNYUMBA ZA IBADA.. INTERNATIONAL ISLANDS... DISNEY LANDS...INTERNATIONAL GAME PARKS NA KUZITANGAZA....INTERNATIONAL HOTELS... INTERNATIONAL RADIO STATIONS....otherwise si follow any celeb wa Tz, NEVER!

Hivi kweli unadhani hawa wasanii wakaungana wakasema tunataka kazi zetu zikumbukwee, tunajenga hospital mbili za kimataifa Tz kwa ajili ya matibabu ya Kansa na matibabu yote kwa ujumla kwa ajili ya kuisaidia serikali yetu na kurudisha shukrani zetu kwa jamii kwa kutusapoti kazi zetu za muziki... uone kama kuna kiongozi atasema zima Tv wamekaa uchi

ila kwasababu sijui ndio u selfish sijui ni ujinga sijui elimu duni... mtu anatamba nimetengeneza album mil 100, kwahiyo sisi tukusaidiaje?! mje mnunue niweke saini?! mimi penny nikanunue album ya nani ameisaidiaje jamii?!

mwingine anatamba amefunga rekodi Bilion 3 anazo benki, kwahiyo kama unazo watz tufanyaje? sawa tukijua unazo inatusaidia nini? Jesus jaman vitu vingine ni akili kumkichwa, nanunuaje kasete ya 2500 sijui 10,000 wakati kuna watz wanakufa na njaa, hawana matibabu wanakufa?!

Njoo Marekani sasa uone wasanii wanavyorudisha shukrani kwa jamii... wanajenga mashule... wanachangia kampeni... wanajenga mahospital mahotel... hakuna kiongozi Marekani au Ulaya yeyote anafungia mziki wa msanii tena ndio kwanza promo kibao... rudi Tz ukipigiwa promo na mheshimiwa labda kipindi cha uchaguzi
kama viongozi wa juu kama wabunge na mawaziri pia hata wafanya biashara wakubwa wameshindwa itawezekana kweli kwa wasanii???
jaribu kuwa na mawazo ya kikubwa na siyo kuiga kutoka kwa watu uliowasikia wakitania kule vijiweni
 
Nlikuwa ninetulia nasoma hii post baadae nikajiona mjinga mana hamna cha muhimu humo sasa huku kama hamna hata viwanda vya maana watangaze nini labda?
 
Kila mtu kuna namna anavyoiona fursa kwa kipekee so inspite ni wasanii wakubwa na wana hela dont blame them....let nature takes its place
 
Samahani mimi kama Mzalendo naomba niulize wale wazalendo wanaopenda maendeleo wenzangu!

Hivi kweli Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote ni wa kuuza Karanga kweli?

Yani na ma Exposure yoooote aliopata kipindi cha miaka 13 katika fani ya mziki wake na kusafiri duania nzima, akakaaa chini akafikiriiiiiaaa akaona auze karanga?!

Jesus is Lord!

Hivi ni mimi tu naona Fault au kuna wengine tena?!

Kweli Tz kuna Uchawi!

Cardi B wangapi wanamjua?! ameanza mziki hana miaka 5 lakini mbona anafanya vitu vikubwa sana makwao na hauzi karanga jamaa

Kuna kitu kinaitwa Standard of life au Class! Mbona Zari jamani hauzi Karanga tangu tumemjua shida iko wapi jamani!?

Haya Team Mondi mkuje ku-hate kama kawaida yenu

Kama kuna mtu anaweza kumshauri Mondi badala ya kutukanana na akina Original Owner wa Karanga angekaa chini na Bibie Zari kidogo yule mama ana akili za maisha na Class, na sasa kaamua kukaa pembeni maana mdogoenu Mondi hajisomi, na huenda akishauriwa hataki ndio unaskia anazaa zaa kama mpemba sasa mara Mobeto mara Tunda kiru! kwani nyie wanaume wa Kibongo mnashida gani?!

Haya mambo ya aibu jamani acheni wakina Mange waongeage tu... ni aibuuu! ati msanii wenu wa Tz anauza karanga nchini kwake ana nyumba 1 madale!

Nikiendelea kuongea ntatukana bure na mie staki ban..ngoja niende kwa Bar nikanywe Wine nikalale na mume wangu mie... vitu vingine vinatia hasira sana... bora Ali-Kiba aliakaa kimya hauzi maji wala karanga wala pipi anaimba zake tu!

Dadaenu Wema sasa ndio hata simuelewi kabisaa, anauza UBUYU unaitwa WEMEMEZ sijui nini mara kesho anavaa vitenge kaanza kupiga picha kama wale fashionista wa ulaya!
kha! sasa kama ana APP aliotengeneza mil 4 Africa Kusini ,alikosaje kumtafuta Expert akamsaidia ku-design biashara moja matata mjini yenye akili akaifanya jamaa?!

Me nikiongea mnasema sio mzalendo najidai sijui ushamba lkn vitu vingine ni kama wale wenzangu wanaochukia kuangalia Bongo Movie tu, wanaona bora wakatafsiriwe vya mchina tu yaishe!

Dadaenu Wolper Stylish sasa anataka kutuuzia viungo vya pilau, kwani zile nguo anazouza biashara imekuaje?!

Mdogowenu Shilole anatengeneza Chips Krips! doh, haya buana yote maisha!

Jamani Yesu weee kuna shida gani huku bongo ni uchawi tu au kuna mengine?!,

Mbona Bruno Mars hauzi Karanga au ubuyu?! Mbona Yemi ALade hauzi Ugali wa Kinigeria kwao? Mbona Mafikizolo hawauzi Pombe ya Mkomboti kule kwao Africa Kusini kwani Tz kuna nini mbona sielewi?!

Nilitaka kuwa Celebrity nimeghairi sio kwa vituko navyoviona!


Kyalow General Mangi Ngosha Mashine miss chagga miss charming Money Talk Vladmir Putin Jiwedogo Kichaafulani Vladimirovich Putin Tarime one Tarime Kulupura Jiraniyetu sab

NINAMSHUKURU SANA YULE ALIEMSHAURI MONDI ATENGENEZE RADIO NA TV STATION... huyo kama mnamfahamu aje nitampa dola 1000 akanywe maji

naombeni mniamshe pale ambapo Wema... PLATNUMZ... WOLPER... SHILOLES... KIBAS...JAYDEES....VEEMONEY.... watakapofikiria kuungana na kutengeneza/ kufanya Sustainable Developments kama kujenga INTERNATIONAL / LOCAL HOSPITALS... INTERNATIONAL / LOCAL SHULE... INTERNATIONAL VYUO VIKUU KAMA CHA ZARI ...INTERNATIONAL NYUMBA ZA IBADA.. INTERNATIONAL ISLANDS... DISNEY LANDS...INTERNATIONAL GAME PARKS NA KUZITANGAZA....INTERNATIONAL HOTELS... INTERNATIONAL RADIO STATIONS....otherwise si follow any celeb wa Tz, NEVER!

Hivi kweli unadhani hawa wasanii wakaungana wakasema tunataka kazi zetu zikumbukwee, tunajenga hospital mbili za kimataifa Tz kwa ajili ya matibabu ya Kansa na matibabu yote kwa ujumla kwa ajili ya kuisaidia serikali yetu na kurudisha shukrani zetu kwa jamii kwa kutusapoti kazi zetu za muziki... uone kama kuna kiongozi atasema zima Tv wamekaa uchi

ila kwasababu sijui ndio u selfish sijui ni ujinga sijui elimu duni... mtu anatamba nimetengeneza album mil 100, kwahiyo sisi tukusaidiaje?! mje mnunue niweke saini?! mimi penny nikanunue album ya nani ameisaidiaje jamii?!

mwingine anatamba amefunga rekodi Bilion 3 anazo benki, kwahiyo kama unazo watz tufanyaje? sawa tukijua unazo inatusaidia nini? Jesus jaman vitu vingine ni akili kumkichwa, nanunuaje kasete ya 2500 sijui 10,000 wakati kuna watz wanakufa na njaa, hawana matibabu wanakufa?!

Njoo Marekani sasa uone wasanii wanavyorudisha shukrani kwa jamii... wanajenga mashule... wanachangia kampeni... wanajenga mahospital mahotel... hakuna kiongozi Marekani au Ulaya yeyote anafungia mziki wa msanii tena ndio kwanza promo kibao... rudi Tz ukipigiwa promo na mheshimiwa labda kipindi cha uchaguzi

vitu vipo simple lakini watu wanaanza ku hate, oh we penny huna akili... kama wewe na wasanii wako mna akili mbona mnatuuzia karanga na ubuyu na viungo vya pilau?!

kiru!
Upendo na Umoja hamna ndio maana wanafungiwa acheni tu hamna wanachokifanya zaidi ya kukaa uchi!

sasa mnaelewa nikisema marafiki zangu hawawa-follow wasanii wa Tz hata m1, na wakiskia mnawaongelea wananyanyuka na kuondoka na kusonya stupid!

Naomba kama hauna sensible comment usicomment hapa! tunataka suluhu tunamsaidiaje mtu alieisaidia Tz kujulikana kimziki duniani lkn kibiashara kachemka!

Ah! Unadhani wa Tanzania wanasomaga post ndefu kama hiyo! Mie pia sijaisoma nnajibu tu sijui hata umeandika nini.
 
Nonsense. Bidhaa ya karanga ina tatizo gani? watu wanafanya biashara kutokana na mazingira yaliyomzunguka. Niambie Bruno Mars ana bidhaa gani ? Unaowazungumzia hawana bidhaa ni ambassadors tu na ni kutokana na maendeleo ya nchi zao, plus tuzo wanazopata ni pesa ndefu show zao pesa ndefu miji mingi they can do many tours na wakalipwa pesa ndefu. P.S Underground wa marekani ni tofauti na superstar wa bongo, simple
 
We mleta mada kabla hujaanza kuwatazama kuna mondi ambao bado wadogo kiumri na upambanaji kwann usimshangae mzee bakhersa anauza nazi za sh mia nane?? Mzee Mengi anauza maji..itakua akili zako umeziloweka kwa sabuni ya foma gold coz hilo pov hata ukimwagia choon harufu haiishi..nyambaf
 
Money Penny, ww chizi ndio maana umepigwa ban, yaani thread moja umeifungua mara mbili au Kuna jibu lako unalitaka. Snoop dog anauza bangi hivi unalijua hili, cristian Ronaldo anauza boxer unalijua hili kwa kumalizi nenda Forbes kaangalie list ya matajiri 50, Kuna mama (Jaqueline Mars ana utajiri wa dola billion 23.5) utajiri wake umetokana kwa Kuuza pipi. Kupitia karanga, perfume na WCB, TRA inachukua kodi ambazo zinajenga barabara, mahospital, shule nk na vilevile watu wamepata ajira, hauoni kama ameisaidia jamii. Sasa ww unataka nini au unataka mpaka aisaidie familia yako ndio ujue anaisadia jamii. Tatizo la vijana wengi wa kitanzania, wanapenda maendeleo lkn hawapendi kujifunza, kupitia kwa walioendelea na wenye mafanikio zaidi ya kujenga majungu, fitina, chuki na wivu. Huu uzi uliufungua usiku, mpaka saa nane unajibishana na watu, leo tena HIVI HUNA KAZI YA KUFANYA. Alafu ww unajifanya mjanja, "eti mimi sifuatilii mziki wa Tanzania", kumbe mweupe huna inachokijua, kama ikiwezekana JF, ikupige ban maisha.
 
Back
Top Bottom