Diamond na Tunda mahaba niue

9af75ab704d3602c6e5915ec97166a9a.jpg

Kapicha ka kunogesha uzi madam
Aaah mpoki kasha jinyakulia katoto kabichi
 
Heloo!

Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.

Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.

Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.

Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!

Na wagonge wote tu wakijileta!

Bado sana wewe!
Ushamba mzigo!! Huyo mond Nyapu kazijulia ukubwani sijui
 
Heloo!

Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.

Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.

Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.

Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!

Na wagonge wote tu wakijileta!

Bado sana wewe!
Hata kapicha dadake ?!
 
Kwakwakwakwakwaaaaaa kwa hiyo kumuita mtu Mzee ni kwamba unamchukia heheheheeee uwiiiiiiiii karibu madale guest house
Mnaponifurahishaga sehemu moja tu! Yaani hamna hoja yoyote ya maana dhidi ya Zari except umri. Yaani kwa kutumia hoja ya umri kum-discredit mnathibitisha mmekosa bakora ya maana dhidi yake! Ajabu eti hata Mange na mwenyewe anamwita Zari mzee wakati mwenyewe yupo above 35!
 
Hahahahaa mie nimeona biashara ya kula likes inalipa zaidi kuliko kuanza ligi hapa halafu mwisho wa siku mods wanaufuta uzi.

Zari ni zari tu yaan wanajipanga watu mia kila siku wanamuibulia mpinzan mwingine ika bado hafikii viwango vya zari.

Wacha tu dai atuongezee single moms in town.
off course porn star hana mpinzani!
 
Mnaponifurahishaga sehemu moja tu! Yaani hamna hoja yoyote ya maana dhidi ya Zari except umri. Yaani kwa kutumia hoja ya umri kum-discredit mnathibitisha mmekosa bakora ya maana dhidi yake! Ajabu eti hata Mange na mwenyewe anamwita Zari mzee wakati mwenyewe yupo above 35!
 
Teheeeee teheeeee naona unaruka ruka nakujikanyaga uku ukijaribu kutokubaliana nahali halisi lkn ukijua Fika THE LADY ni Super super and super !!.

Sikia ,, Mimi naweza kua nimeoa ,lkn nachepuka naww ..hiii haimanishi simpendi mke Wangu ,, ila nmekuja kukula wewe sababu tu nimetaman nikukule but sina mpango kabisa naww Upo !!.

Sasa unahisi among hao Unawaowapigia chapuo ,kuna MTU atakayependwa na Diamond kumzidi Zarieth ???? Ninan kati yao anamzidi Zary chochote kile ??.

SIKIA USIPOKUA INDEPENDENT KIMAISHA NA KIAKILI ,,KUTEMBEA NA WANAUME WA WATU KWAKO NIMOJA YA PROUD.

Nina mashaka sana ,,hata wewe hapo ulipo Diamond akikufata ,Upo tayar kutegesha mimba ,urekod navideo ,yote kwa yote "**Ngoja nimkomeshe Zary*
Sasa kwasisi waungwana ,,Hiyo tunaihesabu km Akili za Karne ya 2 !.

Huwezi kuchepuka km unampenda mkeo,.utamuheshimu na kumlinda acha uongo wako wa kizamani
 
Ukijaribu kufuatilia comments hizi utajua jinsi gani tulivyo na akili fupi hasa wanawake, huyo Mondi na zari wanakaa wanaona watoke vp na wanakuja na ujinga basi watu wanashoboka kuponda mwanamke mwenzao anavyodhalilika, kumbe wenzao wanataka kubaki midomoni mwa watu either kwa mazuri au mabaya. Sometimes nawaza vile madem wa humu wanaomponda Zari walivyo na sura ngumu maana mwanamke akimchukia mwanamke mwenzie ujue kampita uzuri.
Cc Buroka wa janjawid ( forex)
 
mhhhh mwanamke unashangilia mwanamke mwenzako kugongwa na kutaka waendelee kugongwa na mtu huyo huyo nadhani wanaume ndo ilitupasa kufurahia diamond kugonga mademu wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom