Diamond na Tunda mahaba niue

Ivi Diamond anatoa lini wimbo wake na Omarion maana kwa hii trend ya kulazimisha aandikwe tu siku za karibuni nahisi anatafuta pumzi ya kuachia wimbo sio bure.
 
Mcheza kwao utuzwa ,, ninan Uganda alikua asomjua Zarieth ??.

Njoo east afrika ,nani asomjua ?????.

Huyo Tunda tu sanaaaaaa mnamjua wabongo wenzake ,nahata huyo mobeto bila hiikick ya majuzi asingejulikana hata Hapa TZ kwa ujumla .

Unajua , tuache unafiki ZARIETH HUWEZI MLINGANISHA NA celebrities YOYOTE WAKIKE HAPA BONGO ..HAYUPO.

kidogoooooooooooooo huyu mwanaccm wangu kidoti

sawa shaka umeeleweka
 
Heloo!

Yule mrembo anaitikisa kwenye baadhi ya video na show off za instagram Tunda yasemekana yupo kwenye mahaba mazito na nguli wa bongo fleva baba Dylan aka baba Tiffah dangote.

Wawili hao yasemekana wanakwichikwichi mpaka kufikia hatua kuyafanya mambo hadharani kule Madale a.k.a state house.

Na leo hii Tunda yaonyesha anaelekea Rwanda ambapo Mondi nae anafanya show huko huko.

Diamond kula ujana baba ili ulizeeka upate vya kusimulia!

Na wagonge wote tu wakijileta!

Bado sana wewe!
So sad hii sio ushindi wala sio ufahali.Ata Carlos the Jackal alitesa wee tena sana! Finali uzeeni!
 
After all , Zarieth atabaki kua Mwanamke Bora sana ,, mwanamke mwenye nguvu ya kuhoji ? Mwanamke mwenye mawazo huru!!!.

Ujue ukishakua namaisha yako wewe km mwanamke ,ukawa na Maisha independent ,, Mwanamme hatokaa akusumbue hata km mmezaaa watoto, hawezi kukusumbua kamwe !....lkn km unasumbuliwa na Ulimbukeni nilazima uwe km yalivyo.

Shout out kwako Zarieth !!!!!
dah kumbe wewe ni mwanamke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom