Biti na flow kama za kushoto kulia
Basi harmonize alicopy maana hiyo ngoma wame ishoot mwezi wa 4Biti na flow kama za kushoto kulia
Nimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema. eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
Teni kaua sanaNimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema. eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
Wimbo wa kufungia mwaka....
hii comment ndo Bora ya mwezi NovemberNaomba nikuweke wenye Top 10 ya Pumba zilizo andikwa 2019 umu JF...nakuweka nafasi ya 7 kama ni mdada ila kama ni MAn nakuweka nafasi ya 2
we ndezi kweli ..uliangalia video mwishoni ukaona director mwingine aliyeshiriki ?International video .. sio hizi za Kenny... bongo sijui tunafeli wapi nadhani wale waliokuwa wanamuona Kenny ndo muongozaji Bora wa video Africa now wanaangalia chini.. kiufupii bongo bado tupo nyuma sana ... kwakila kitu ... mr moe musa hongera kwakazi zuri... video hii inavigezo kupigwa . Trace Nigeria sound city mtv Africa nk....