Diamond atoa wimbo 'Sound' aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria

Oya we dem wake nini??mbona unamsifia sana kuliko ata tanasha

Nadhani mama ako pekee ndiye mwenye uwezo wa kukuaminisha kuwa mimi ni mwanaume rijali, kwakua mimi hata nikikwambia hutasadiki.Hivyo basi kwakua yeye anaichezea konga yangu kila siku, itakuwa rahisi sana wewe kuamini.Otherwise msalimie sana Demu wangu Mama ako.
 
Leo nimegundua ID ya tanasha humu Jf...na una mishushuo mtoto wa kike ww
 
kaka binadamu hatuko sana elewa hilo ndomaana kuna mweupe na mweusi masikini na tajiri ndomaana wewe umechangua team wcb mimi sijachangua kama huo unauita uchawi basi mimi ni mchawi mkubwa inaonekana mkuu wewe unapenda kila kitu chaduniani .. kiufupi .. siwezi kupenda kila maendeleo ya mwanaume mwenzangu napambana ili nayangu ya pendwa kiongozi unapataje kiburi chakupenda maendeleoo ya mwanaume mwenzangu kabisa umekaa chini naakili yako unapenda maendeleo ya mwenzako tena mwanaume mwenzako.. hiyo ni shida acha niwemchawi ..tu tena nashukuru mama yangu kuwa mchawi hizo akili zamgando nisingekuwa nazo...
hakuna mtu bila haters.?? unamaanisha nini, kwamba hater ndio msingi wa maisha ya mtu.??? Mwanaume unapata wapi akili za kijinga hivi kiasi cha kupinga maendeleo ya mwanaume mwenzio, ambayo hayakuathiri.???
Hauna namna ya kutudhihirishia kuwa wewe sio mchawi, na huo uchawi bila shaka mzizi yake ipo kwenye tumbo la mzazi wako wa kike, ulipotokea.
 
kaka binadamu hatuko sana elewa hilo ndomaana kuna mweupe na mweusi masikini na tajiri ndomaana wewe umechangua team wcb mimi sijachangua kama huo unauita uchawi basi mimi ni mchawi mkubwa inaonekana mkuu wewe unapenda kila kitu chaduniani .. kiufupi .. siwezi kupenda kila maendeleo ya mwanaume mwenzangu napambana ili nayangu ya pendwa kiongozi unapataje kiburi chakupenda maendeleoo ya mwanaume mwenzangu kabisa umekaa chini naakili yako unapenda maendeleo ya mwenzako tena mwanaume mwenzako.. hiyo ni shida acha niwemchawi ..tu tena nashukuru mama ya...

Kupinga maendeleo ya mtu anae hustle kujitaftia bila kukuathiri ww ni uchawi, hvy bs usijipongeze kuwa et haukuzaliwa na akil mgando, wew unaroho ya kike kbs,kama mwanaume ilitakiwa uongeze juhudi za utafutaji na sio kumchukia mtu ambae hata hakujui.Me naona bora mamaako angezaa kreti la bia watu tunywe tufurahi, kuliko wewe punga.
 
Mwenye roho ya kike niwewe ambaye unalazimisha kila unachokipenda wewe mwenzako akipenda..wanawake ndowapo hivyo akipenda kitu basi anataka na mwanaume wake akipenda .. ...napia mwanamke ndoyupo bize kuanza kulazimisha watu wapende anachokipenda wempende diamond sikukatazii .. kusiku diamond alisema ngoma zetu azipingwi kwenye radio yao ila dada zao wanakesha nazo .. .. nakunamsitari alisema ukinichukia sikosi hela .. mimi namchukira yeye akosi hela ila nakuona dada yetu ukikesha nazoo..

Hoja sio lazima umpende Mond, hoja ni kuchukia maendeleo ya mtu, ilihali hayakuathiri kwa namna yoyote ile, na hapo ndo uchawi wapo unapoanzia.Naona unaandika pumba tu, wakati hoja iko wazi kama ya mbuzi.Na kwa jins ulvyo na roho mby ya kichawi, nimeamini kuwa ulikuwa huwatak ndugu wa mmeo kiba ndn maana akakutema.Komaa ata huko kenya utapata tu.
 
Leo ndo nimejua kwanini Darasa aliimba
"kumuelimisha chizi utajipa kazi"
Sikujua kama na wewe Menina ni mbishi kiasi hicho.
Ungekuwa bado una mimba ningesema mimba ndo inakuendesha lakini ajabu umeshazaa ila una swagga za kisimbe Vipi mtoto uliejifungua juzi anaendeleaje??
 
Elewa unachoambiwa si lazima uwe hater kwasababu ww si mashabiki wake ila unaweza ukawa neutral na ukashabikia aina ya muziki/msanii unayempenda,majungu na umbeya(uongo&fitna) hizi ni tabia za wamama
kaka binadamu hatuko sana elewa hilo ndomaana kuna mweupe na mweusi masikini na tajiri ndomaana wewe umechangua team wcb mimi sijachangua kama huo unauita uchawi basi mimi ni mchawi mkubwa inaonekana mkuu wewe unapenda kila kitu chaduniani .. kiufupi .. siwezi kupenda kila maendeleo ya mwanaume mwenzangu napambana ili nayangu ya pendwa kiongozi unapataje kiburi chakupenda maendeleoo ya mwanaume mwenzangu kabisa umekaa chini naakili yako unapenda maendeleo ya mwenzako tena mwanaume mwenzako.. hiyo ni shida acha niwemchawi ..tu tena nashukuru mama yangu kuwa mchawi hizo akili zamgando nisingekuwa nazo...
 
Acha unafiki mkuu, kwani kuna nchi gani inapata maendeleo kupitia mziki usio na matusi..?? Unaujua mziki wa Marekani wewe..?? Kama unataka mziki usiokua na matusi au mapambio, kasikilize Kwaya au Qaaswida, acha kuwa kudadindia miziki isiokufaa, tuachie sisi tunaopenda matusi.Kibwengo weeh
Kila kitu Marekani.Kwani Marekani kuna maendeleo.Hiyo mitaa ya wanaofanya matusi kama ya diamond ndio balaa kabisa.Wanaolala nje ni wngi kuliko wanaolala ndani.Dar es salaam iko mbele saana.Hatutaki tuwe kama wao kwa kuiga upuuzi kama huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom