Diamond atoa wimbo 'Sound' aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria

Diamond amesoma alama za nyakati pumzi inaanza kukata,ila jamaa akili nyingi sana,sasa hv hizi collabo na wanamuziki wa juu ndio zinambeba

Hizo propaganda za Mond kukata upepo, tulizisikia tangu zamani na naamini tutaendelea kuzisikia ila tambua tu kwamba, huyu gwiji wa mziki ataondoka na heshima yake.Yaani namaanisha kwamba:-
Oyaah rochido...rochido Rochido...Oya roo..When you hear the sound.........
 
Hakuna nchi iliyoendelea kwa kutunga na kusikiliza matusi.

Acha unafiki mkuu, kwani kuna nchi gani inapata maendeleo kupitia mziki usio na matusi..?? Unaujua mziki wa Marekani wewe..?? Kama unataka mziki usiokua na matusi au mapambio, kasikilize Kwaya au Qaaswida, acha kuwa kudadindia miziki isiokufaa, tuachie sisi tunaopenda matusi.Kibwengo weeh
 
Mbona iko wazi ... kaka Beyonce huyu sio yule ... tena .. anatembeleaa jina ... tuu mkuu ndomaana anaangalia ma giant wa Africa.. kufanya nao kazi .. huto ona katika maisha yako .. davido ft diamond.. au burnboy ft diamond... hutonielewa .. kaka utaendeleaa kuniona pumba .. hata rema ft diamond Haito tokeaa ... nisijue mzikii
We jamaa ndo mjinga sana hahaha,Beyonce kawashirikisha wizkid,Burna boy,Yemi Alade,Davido etc ina maana Beyonce kaporomoka so anataka busta ya hao wasanii wachanga kwa level yake? uwe na akili basi japo kidogo
 
Mbona upepo kitambo..tu .. amebaki kuwa .msanii wa east Africa tuu ... ..
Hizo propaganda za Mond kukata upepo, tulizisikia tangu zamani na naamini tutaendelea kuzisikia ila tambua tu kwamba, huyu gwiji wa mziki ataondoka na heshima yake.Yaani namaanisha kwamba:-
Oyaah rochido...rochido Rochido...Oya roo..When you hear the sound.........
 
Mbona upepo kitambo..tu .. amebaki kuwa .msanii wa east Africa tuu ... ..
Mtahangaika sana, maana kidude kumewanasa penyewe, ameshawaambia hata muungane hamtaweza kumzuia, kwahiyo wewe kama ni mmoja wao,na unateseka sana kwa mafanikio yake, andamana.
When you hear the sound...Sanku...make her turn arround...Shakuu...!!!
 
Hakuna mtu bila haters hata wewe unahaters kibaoo mungu mwenye anaoo kibaoo ukweli ndohuoo upepo umekata..now
Mtahangaika sana, maana kidude kumewanasa penyewe, ameshawaambia hata muungane hamtaweza kumzuia, kwahiyo wewe kama ni mmoja wao,na unateseka sana kwa mafanikio yake, andamana.
When you hear the sound...Sanku...make her turn arround...Shakuu...!!!
 
Mbona iko wazi ... kaka Beyonce huyu sio yule ... tena .. anatembeleaa jina ... tuu mkuu ndomaana anaangalia ma giant wa Africa.. kufanya nao kazi .. huto ona katika maisha yako .. davido ft diamond.. au burnboy ft diamond... hutonielewa .. kaka utaendeleaa kuniona pumba .. hata rema ft diamond Haito tokeaa ... nisijue mzikii
Punguza chuki mkuu
 
Chuki zinakufanya udharaulike
 
Hakuna mtu bila haters hata wewe unahaters kibaoo mungu mwenye anaoo kibaoo ukweli ndohuoo upepo umekata..now

hakuna mtu bila haters.?? unamaanisha nini, kwamba hater ndio msingi wa maisha ya mtu.??? Mwanaume unapata wapi akili za kijinga hivi kiasi cha kupinga maendeleo ya mwanaume mwenzio, ambayo hayakuathiri.???
Hauna namna ya kutudhihirishia kuwa wewe sio mchawi, na huo uchawi bila shaka mzizi yake ipo kwenye tumbo la mzazi wako wa kike, ulipotokea.
 
Nimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema. eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
Wewe ni mmoja wa wale watu wachache wenye ubongo tunawaita 'woke'...wengine humu ni ma'shills au makondoo tu hata mondi aimbe napenda kunya yanasifia tu
 
Mtahangaika sana, maana kidude kumewanasa penyewe, ameshawaambia hata muungane hamtaweza kumzuia, kwahiyo wewe kama ni mmoja wao,na unateseka sana kwa mafanikio yake, andamana.
When you hear the sound...Sanku...make her turn arround...Shakuu...!!!
Oya we dem wake nini??mbona unamsifia sana kuliko ata tanasha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom