Diamond atoa wimbo 'Sound' aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria

Niweke nafasi ya 1 .. ila ukweli ndohuoo.. teni ... nimsanii machachali kwasasa so diamond ameona hilo ndomaana ikabidi aombee collabo .. ningumu .utake usitake eti davido ft lava lava .. yani mpaka hapo ...jibu unalo mtoa list ya comments pumba kutoka headquarter ya wcb ......
Naomba nikuweke wenye Top 10 ya Pumba zilizo andikwa 2019 umu JF...nakuweka nafasi ya 7 kama ni mdada ila kama ni MAn nakuweka nafasi ya 2
 
Nimecheka sana diamond ft teni ... tunaelewana tu... mbona .. kimfano nisikiee burnboy ft the baddest 47 . .. nikitu ambacho haiwezekani. Duniani ... mda si mrefu tutasikiaa diamond ft rema.
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
eti msanii mkubwa Africa... ili kuwa 2015 sio now ... ila ngoma kajitaidi....teni .. kafanya kweli dogo katoka kimziki 2018 ...
Mkuu sijui kuhusu kiasi cha uelewa wako kuhusu mziki ila ngoja nikusaidie kitu.Wasanii wanapofanya feauturing wanaangalia vitu vingi

1.Aina ya mziki anaofanya.Hii uangalia kama ataendana na nyimbo yako husika.mf .Drake ft wizkid (Wizkid was far behind standard za drizzy)

2.Ukubwa wa msanii(na hapa ndo hoja yako ilipo).Case hii ya Diamond Teni sio underground ni promising star hvo inakupa nafasi wewe unaemshikirisha nyimbo yako kupata attention hasa watu wanapotaka kuona kinda wao kafanya nini ,na sasa trend ya mziiki imehamia hapa refer colabo wanazopata lil nax,Khalid.Music siku hizi watu hawaangalii sana unaitwa nani ila impact ya mziki wako sokoni kwa mda huo.

3.Diamond kafanya kazi na wasanii wakubwa almost wote Africa(wizkid nyimbo tiyar bado kuachiwa tu),so lazima atafute new skin to the game.
 
Kwaiyo unamaanisha wizkid ft marioo inawezekana .. mkuu .. kiasi chauelewa wangu nimdogo kweli... kabisa ... hujakosea .. wizkid nimsanii mkubwa drake kufanya nae collabo hakuna anaeshangaa .. tatizo ni wizkid kumshirikisha marioo .. kwauelewa wangu .. diamond kumshikikisha teni nikutaka ku hit Nigeria na nchi zinazokalibia Nigeria
Mkuu sijui kuhusu kiasi cha uelewa wako kuhusu mziki ila ngoja nikusaidie kitu.Wasanii wanapofanya feauturing wanaangalia vitu vingi

1.Aina ya mziki anaofanya.Hii uangalia kama ataendana na nyimbo yako husika.mf .Drake ft wizkid (Wizkid was far behind standard za drizzy)

2.Ukubwa wa msanii(na hapa ndo hoja yako ilipo).Case hii ya Diamond Teni sio underground ni promising star hvo inakupa nafasi wewe unaemshikirisha nyimbo yako kupata attention hasa watu wanapotaka kuona kinda wao kafanya nini ,na sasa trend ya mziiki imehamia hapa refer colabo wanazopata lil nax,Khalid.Music siku hizi watu hawaangalii sana unaitwa nani ila impact ya mziki wako sokoni kwa mda huo.

3.Diamond kafanya kazi na wasanii wakubwa almost wote Africa(wizkid nyimbo tiyar bado kuachiwa tu),so lazima atafute new skin to the game.
 
unajitekenya halafu unacheka mwenyewe...

hawezi kutoa hit song ...mara tofauti na yope au kwangwaru !! yaani unajifunga mwenyewe

hujiulizi nyimbo imetoka haina hata masaa matano imeanza kujadiliwa....

Thats next level shit
Hawezi Mara ya Mwisho katoa hit Gani? Tofati na Kolabo ya Kwangwaru na Yope?

Kwasasa Upepo Umekata hawezi toa Hit Song anatoa Vingoma vya Kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom