Diamond atoa wimbo 'Sound' aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria

chemsha bongo.... chemsha bongo.
mmoja anapambanania international level, another anapambania local level.
majib yawe mafupi mafupi
 
Haters hii ndoto huwa mnaiota sana ila chaajabu kila mkistuka mnakutana na kidudeee kimewanasa kidude
Hawezi Mara ya Mwisho katoa hit Gani? Tofati na Kolabo ya Kwangwaru na Yope?

Kwasasa Upepo Umekata hawezi toa Hit Song anatoa Vingoma vya Kawaida
 
Nilikua nimejiwekea imani kua Ukiona Msanii wa WCB Ametoa Audio na Video Kwa Pamoja, ujue Huo wimbo (especially Audio) Sio Mzuri.

Ila this tyme Jamaa ameniprove Wrong.
 
Niweke nafasi ya 1 .. ila ukweli ndohuoo.. teni ... nimsanii machachali kwasasa so diamond ameona hilo ndomaana ikabidi aombee collabo .. ningumu .utake usitake eti davido ft lava lava .. yani mpaka hapo ...jibu unalo mtoa list ya comments pumba kutoka headquarter ya wcb ......
We jamaa ndo mjinga sana hahaha,Beyonce kawashirikisha wizkid,Burna boy,Yemi Alade,Davido etc ina maana Beyonce kaporomoka so anataka busta ya hao wasanii wachanga kwa level yake? uwe na akili basi japo kidogo
 
Haya mbowe rochido rochido
Haya@Numbisa rochido rochido
Haya anko magu rochido rochido
Haya faiza foxy rochido rochido



Duh huyu kijana ni noma sana jaman
Ukimchukia huyu unaweza jikuta unakonda tu bure ni bora tu tuunge juhudi toka team yoooo mpaka usafini

Mimi nahisi hata alikiba ni shabiki wa diamond
Inakuaga hivo maana hata messi ni mshabiki wa ronaldo ingawa kiuhalisia messi ametokea kwenye sayari ya pekee yake
 
Diamond amesoma alama za nyakati pumzi inaanza kukata,ila jamaa akili nyingi sana,sasa hv hizi collabo na wanamuziki wa juu ndio zinambeba@mzeemkavu,
 
International video .. sio hizi za Kenny... bongo sijui tunafeli wapi nadhani wale waliokuwa wanamuona Kenny ndo muongozaji Bora wa video Africa now wanaangalia chini.. kiufupii bongo bado tupo nyuma sana ... kwakila kitu ... mr moe musa hongera kwakazi zuri... video hii inavigezo kupigwa . Trace Nigeria sound city mtv Africa nk....
video shot by Moe Mussa & Kenny.toa sifa kwa wote hata kama hupendi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom