- Thread starter
- #21
Kumchukia diamond nikujikondesha moyo na kujitafutia stress cos kila mwaka lazima achieve vitu vingi ni Bora uwe ni hater Kama wakina Alikiba, Tid,chid benz,Aslay hawa hawawezi kukupa tabu na hata kasi yao ya mziki ni ndogo.

Sasa Alikiba kacheza ad mpira na ana Balon dor kabisa..ila hapendi kujionyesha ndio maana alienda kucheza costal union wakati alisajiliwa Real madrid

MO na FIFA wapi na wapi ?
Na akasema YoooSasa Alikiba kacheza ad mpira na ana Balon dor kabisa..ila hapendi kujionyesha ndio maana alienda kucheza costal union wakati alisajiliwa Real madrid
MO na FIFA wapi na wapi ?
Naam STATUS ni muhimu binti , Wote wachezaji lakini Messi na shabalala wanalipwa tofautiMpira ni mpira
Ahahaaaaaa....! Acha ukorofi mkuu. Leo kawakilishwa na cocastic hapo juu. Ila nahisi yuko mbio ana-cameNumbisa Usijifanye hii taarifa haujaiona.
Naam STATUS ni muhimu binti , Wote wachezaji lakini Messi na shabalala wanalipwa tofauti
Naam lakini huyu Messi Bilionea yule shabalala shilingioneaNa Wote wanasakata ball linalobetiwa
Naam lakini huyu Messi Bilionea yule shabalala shilingionea
Oksijeni ana vuta kila mtu hapa tunazungumzia ACHIEVEMENT bibie , Messi ameachive bilionea na shabalala ameachieve shilingioneaOfkozi na wote wanavuta oksijeni moja,futi za kwenda chini moja
Ahahaaaaaa....! Acha ukorofi mkuu. Leo kawakilishwa na cocastic hapo juu. Ila nahisi yuko mbio ana-came
Sent using Jamii Forums mobile app

zote helaOksijeni ana vuta kila mtu hapa tunazungumzia ACHIEVEMENT bibie , Messi ameachive bilionea na shabalala ameachieve shilingionea
mmmmh Messi anavuta oksijeni huyo mwingine anavuta oksiashaOfkozi na wote wanavuta oksijeni moja,futi za kwenda chini moja
MO na FIFA wapi na wapi ?
Kweli zote pesa kivuko ni 200, ukitoa 100 UTAOGELEA unajua kwanini bibie ?zote hela
mpira una mambo mengi sio lazima ucheze ndio unufaikeSasa Diamond na mpira wapi na wapi ?