Dharura, naombeni namba za Polisi Dar

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,489
86,005
Jamani kuna Jamaa anampiga Demu naskia tangu asubuhi, hakuna Polisi aliefika hadi sasa nimepiga namba zile za dharura hakuna namba hata moja inayopokelewa, let us save this woman.

Source ya ugomvi wanasema Mwanamke kamuibia jamaa dola zaidi ya Elfu Saba wakiwa kwene pombe, wamejifungia kwene gari na anampiga kisawasawa.

Please naombeni
 
jamani kuna jamaa anampiga demu naskia tangu asubuhi, hakuna polisi aliefika hadi sasa nimepiga namba zile za dharura hakuna namba hata moja inayopokelewa, let us save this woman.

Source ya ugomvi wanasema mwanamke kamuibia jamaa dola zaidi ya elfu saba wakiwa kwene pombe, wamejifungia kwene gari na anampiga kisawasawa.

Please naombeni

jaribu 0732928723 au 008075823
 
Jamani kuna Jamaa anampiga Demu naskia tangu asubuhi, hakuna Polisi aliefika hadi sasa nimepiga namba zile za dharura hakuna namba hata moja inayopokelewa, let us save this woman.

Source ya ugomvi wanasema Mwanamke kamuibia jamaa dola zaidi ya Elfu Saba wakiwa kwene pombe, wamejifungia kwene gari na anampiga kisawasawa.

Please naombeni

ungefafanua hilo tukio linatokea eneo gani, mkoa gani, wilaya gani huenda ingesaidia kurahisisha rescue.
 
Ni Kinondoni Manyanya jirani na Kituo cha Daldala kuna Saluni ya Kiume Maarufu pale, jamaa kajifungia kwene gari anampiga huyo mwanamke. Thanks
ungefafanua hilo tukio linatokea eneo gani, mkoa gani, wilaya gani huenda ingesaidia kurahisisha rescue.
 
Hii thread iko nusu kamilisha kwanza kwamba ni wapi ili wenyewe wasome waende hapo unatoa habari nusu ili iweje sasa.bado usingizi wewe
 
huyo atakua changu mi nilifikiri ni mke wa mtu anadundwa...ka ni changu mwache apewe kibano siku nyingine atakua haibi
 
Hakuna mgambo wa jiji karibu na hapo au hawaruhusiwi kiingia kesi ambazo sio za wamachinga
 
Polisi jamii na ulinzi shirikishi,sio mpaka awepo askari polisi hata wewe unaweza kumsaidia dada huyo.mtu yeyote ana mamlaka kumkamata mtu mwingine anayefanya uhalifu mbele yake na anatakiwa kumfikisha sehemu husika.
 
Jamani kuna Jamaa anampiga Demu naskia tangu asubuhi, hakuna Polisi aliefika hadi sasa nimepiga namba zile za dharura hakuna namba hata moja inayopokelewa, let us save this woman.

Source ya ugomvi wanasema Mwanamke kamuibia jamaa dola zaidi ya Elfu Saba wakiwa kwene pombe, wamejifungia kwene gari na anampiga kisawasawa.

Please naombeni

Kwani hilo gari ni armoured kiasi kwamba "wasamaria wema" hamwezi kutafuta mbinu za kumwokoa huyo mama?
 
matatizo ya kukamata viruka njia

HUYO MWANAMKE MSHAMBA NAHUYO MWANAMUME JINGA **** ataendaje na mahela zote Bar??? sialikua anataka kujionesha kua anazo??? nahuyo Mwanamke pia mjinga wajinga kama hao hawaibiwi ivyo wenzie wana weka UNGA ...COCEN kwenye chuchu then anapewa raha zote **** linachia mzigo mwenyewe nayeye anasepa kilaini bila kelo huko ndio kuingizwa mjini bila KERO NA MTU
 
Kwani waliojirani hawawezi kutoa msaada hadi polisi sasa nini maana ya polisi jamii/shirikishi??
 
Huu ni ujinga, watu wapo ndani ya gari wewe umejuwaje kama ameibiwa $ 7000? wewe dume zima na wenzako mnashindwa kumrescue huyo asipate madhara? sina imani na jeshi la Polisi na wala sihitaji msaada wa Polisi na sina haja na namba zao wauwaji wakubwa hawa.
 
Wanaweza kuwapigia wakaja hapo badala ya ku rescue wenye ugomvi wakapiga mtu bomu ambaye hata hahusiki na ugomvi, hawana maana wale hata kidogo,unaweza jiuliza wanafikiria kwa ugoko au ubongo!
 
Jamani kuna Jamaa anampiga Demu naskia tangu asubuhi, hakuna Polisi aliefika hadi sasa nimepiga namba zile za dharura hakuna namba hata moja inayopokelewa, let us save this woman.

Source ya ugomvi wanasema Mwanamke kamuibia jamaa dola zaidi ya Elfu Saba wakiwa kwene pombe, wamejifungia kwene gari na anampiga kisawasawa.

Please naombeni

Mkuu, taarifa mbaya ni kuwa yule askari wa kuadhibu watu bado anashikiliwa na polisi ngoja nifanye mpango wamtoe aje amlipue fasta
 
Back
Top Bottom