Dharura, naombeni namba za Polisi Dar

Dharura, naombeni namba za Polisi Dar

aah, kumbe ni kinondoni....wanajuana hao waacheni wacheze shoo yao!!
Ni Kinondoni Manyanya jirani na Kituo cha Daldala kuna Saluni ya Kiume Maarufu pale, jamaa kajifungia kwene gari anampiga huyo mwanamke. Thanks
 
Kwani kamuhanda si alishaletwa dar. au naweweseka.
 
Back
Top Bottom