Dhana ya wanawake kupenda Kama wanaume imeharibu sana jamii yetu

We ndo unachanganya mafiles utaki kuelewa, unamjibu mtu kulingana na alivyouliza au kutuma tuhuma zake
Kwahiyo kadri ya alivouliza ndo ulitakiwa kujibu vile? Huon na yeye amepinga hiyo hoja ya ushoga haihusian na wala sio sababu ya jambo hilo unalozungumzia.
 
Ulichokiongea mtoa mada ndio uhalisia uliopo kwenye dunia yetu ya sasa,ila inahitaji akili kidogo kudigest mada yako ili uweze kuelewa,vinginevyo tegemea upinzani na majibu mengi yasiokuwa yanaendana na mada...
 
Watu walishafanya research za kutosha kila kitu kipo uchi wa mnyama

Nyingi si za kweli maana wahusika wenyewe huwa hawasemi feelings zao so kama wewe sio mwanamke nyamaza tu maana kuna uongo mwingi kutuhusu usibebe kila kitu cha research ukakipekeka kwa mkeo uta fail.
 
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa

mfano Kuna mwanamke amezaa na mwanaume ambaye ana hisia nae a.k.a anampenda, lakin kamtelekeza na mtoto, ukimfuatilia Whitney Houston alimpenda sana bobby brown, lakin hakuna mtu aliyemharibia Whitney Houston maisha yake Kama bobby brown

Moyo hauna adabu, ndo maana tukapewa akili ili zi-control moyo, sio kila mwanaume unayempenda mwanamke ni mzuri mwingine atayavuruga maisha yako kisawasawa. Kwenye maisha sababu inayomfanya mwanaume awe kichwa kwenye familia ni kwasababu ana uwezo mkubwa wa kutumia akili, mwanamke anaongozwa kwa sababu yeye anaongozwa na moyo kwenye mahusiano kuliko akili.

Tukisema tufuatilie kile moyo unachopenda kila mara tunapelekea kuharibu maisha yetu, ndo maana haijalishi ni kitu gani moyo umekipenda akili lazima iwe muamuz wa mwisho, hiki kitu Wanawake wengi hawawezi kinachopenda Moyo kamwe akili zao haziwez kupinga, Ila wanaume wanaweza ndo utofauti uliopo

Mwanamke anatakiwa kumheshimu mme wake na sio kumpenda in first place, swala la kumpenda mwanaume linakuja through learning. Lakin Leo hii Wanawake wanataka kupenda in first-place Kama wanaume kitu ambacho sio sahii, mwanamke anatakiwa aridhike na mwanamme atakama hajampenda mwanaume, kumpenda kutakuja mbele ya safari.

Mwanaume ndo mjenzi wa familia imara na jamii imara, ni ngumu sana kwa mwanaume kukaa na mwanaume ambaye hampendi na hata akizaa nae hiyo familia ataitelekeza ndo kinachotea sahivi.

Dhana ya Wanawake kutaka kupenda Kama wanaume liliivuruga Western countries, na Sasa hivi limehamia uku kwetu na litaendelea kutuvuruga
Bandiko lako lipo kwa MFUMO DUME DUME. Hamna ROHO kubwa wala ROHO ndogo. Zote ni Roho za Binadamu.
 
Nyingi si za kweli maana wahusika wenyewe huwa hawasemi feelings zao so kama wewe sio mwanamke nyamaza tu maana kuna uongo mwingi kutuhusu usibebe kila kitu cha research ukakipekeka kwa mkeo uta fail.

Research hizo kumbuka wanawake ndo wanafanyiwa sio kwamba ni wanaume wamekusanyana na kuanza kufanya research...

Ofcourse huwezi kubeba kila kitu lazima ukubali research ndo itakupa idea walau unadeal na kiumbe wa aina gani
 
Ndio nakwambia wanawake huwa ni waongo hayo majibu ya research wengi huwa hawasemi ukweli
 
Ss km moyo haukubali utaridhia vipi?
Nini kitakuongoza kuridhia?.

hapa ndo watoto wa watu wakiwa wanasoma pochi zenu wanaridhia mnawalaumu wakati mnayataka wenyewe😅
Kiukweli swala la wanawake kuridhia ambapo mioyo yao haipo kwao ni gumu, way round ya kuridhia ni kwa kuteketeza mfuko wako akijua kabisa anakutumia kwa manufaa yake tu na wala hajali...

Ila hii inaleta shida sana endapo mwanamke ataingia kwenye ndoa na hii mentality 🤣🤣🤣
 
Bandiko lako halina mashiko liko tu ku undermine wanawake na pia kupenda kumeharibuje western countries, wakati kule wanaheshimu utu na haki za wote kuliko huku Africa tulio na ukandamizaji. Pia upendo ni amri kuu na maandiko yanasisitiza kupemdana how come sasa unalaumu upendo
Naomba umsamehe tu, hana akili kwani alitaka kuchemsha genge tu.
 
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa

mfano Kuna mwanamke amezaa na mwanaume ambaye ana hisia nae a.k.a anampenda, lakin kamtelekeza na mtoto, ukimfuatilia Whitney Houston alimpenda sana bobby brown, lakin hakuna mtu aliyemharibia Whitney Houston maisha yake Kama bobby brown

Moyo hauna adabu, ndo maana tukapewa akili ili zi-control moyo, sio kila mwanaume unayempenda mwanamke ni mzuri mwingine atayavuruga maisha yako kisawasawa. Kwenye maisha sababu inayomfanya mwanaume awe kichwa kwenye familia ni kwasababu ana uwezo mkubwa wa kutumia akili, mwanamke anaongozwa kwa sababu yeye anaongozwa na moyo kwenye mahusiano kuliko akili.

Tukisema tufuatilie kile moyo unachopenda kila mara tunapelekea kuharibu maisha yetu, ndo maana haijalishi ni kitu gani moyo umekipenda akili lazima iwe muamuz wa mwisho, hiki kitu Wanawake wengi hawawezi kinachopenda Moyo kamwe akili zao haziwez kupinga, Ila wanaume wanaweza ndo utofauti uliopo

Mwanamke anatakiwa kumheshimu mme wake na sio kumpenda in first place, swala la kumpenda mwanaume linakuja through learning. Lakin Leo hii Wanawake wanataka kupenda in first-place Kama wanaume kitu ambacho sio sahii, mwanamke anatakiwa aridhike na mwanamme atakama hajampenda mwanaume, kumpenda kutakuja mbele ya safari.

Mwanaume ndo mjenzi wa familia imara na jamii imara, ni ngumu sana kwa mwanaume kukaa na mwanaume ambaye hampendi na hata akizaa nae hiyo familia ataitelekeza ndo kinachotea sahivi.

Dhana ya Wanawake kutaka kupenda Kama wanaume liliivuruga Western countries, na Sasa hivi limehamia uku kwetu na litaendelea kutuvuruga
Kumbe Science Priest bado unaishi? Wewe si ni mmoja kati ya wale wanaume waliojinyonga mwaka jana kisa kupenda sana mwanamke, leo umekuja na hii hoja kweli? Siamini kama ulifufuka, sema ukweli wako.
 
Kiukweli swala la wanawake kuridhia ambapo mioyo yao haipo kwao ni gumu, way round ya kuridhia ni kwa kuteketeza mfuko wako akijua kabisa anakutumia kwa manufaa yake tu na wala hajali...

Ila hii inaleta shida sana endapo mwanamke ataingia kwenye ndoa na hii mentality 🤣🤣🤣
Mwanaume kaumbiwa kupigania penzi na sio mwanamke, ndo maana mwanaume unaweza mkurupusha saa nane usiku akamfuata mwanamke anayempenda popote alipo

Ndo maana nguvu ya kutongoza ikawekwa ndani yake, na hata anayepanga tarehe ya ndoa ni mwanaume na sio mwanamke
 
Back
Top Bottom