Dhana ya wanawake kupenda Kama wanaume imeharibu sana jamii yetu

Nakubaliana na wew mtoa post, but kwa mtazamo wangu wengi ni under 22 hiv. Wengi wanajiongezaga/ kuwazimia wahuni wa kitaa, college ile wanakuja kuwa na determination na ndoa tayar wanajikuta singles parent.
 
Naona watu wanatafuta slope wakubaliwe hata kama hawapendwi
Tatizo sio slope ndo ukweli angalia mahusiano ambayo mwanamke anampenda sana mwanaume yako katika Hali gani, na mwanaume aliyempenda sana mwanamke yako katika Hali gani

Na ujiulize kwanin mwanaume kiasilia ndo anayetongoza na sio mwanamke, mwanaume anaweza mpambania mwanamke na akampata na nadra sana mwanamke kumpambania mwanaume
 
Unaweza kuwa sahihi kiasi fulani
Ulipochemka ni pale unataka mabinti wa watu wakubali tuu kisa wamefuatwa afu watapenda mbele kwa mbele
Mpe nafasi binti na yeye walau akupende japo kidogo mtadumu
 
Unaweza kuwa sahihi kiasi fulani
Ulipochemka ni pale unataka mabinti wa watu wakubali tuu kisa wamefuatwa afu watapenda mbele kwa mbele
Mpe nafasi binti na yeye walau akupende japo kidogo mtadumu
Hakuna sehemu niliposema wakubali tu, nimesemea mwanamke ni kuridhia, maana ya kurithia ni kukubali Jambo hatakama sometimes moyo wako haukubali
 
Hakuna sehemu niliposema wakubali tu, nimesemea mwanamke ni kuridhia, maana ya kurithia ni kukubali Jambo hatakama sometimes moyo wako haukubali
Ss km moyo haukubali utaridhia vipi?
Nini kitakuongoza kuridhia?.

hapa ndo watoto wa watu wakiwa wanasoma pochi zenu wanaridhia mnawalaumu wakati mnayataka wenyewe😅
 
Women are prone to emotional manipulations..
Nadhani hii ni sababu tosha ya kuwafanya wanawake wasiwe wachaguzi bali wawe watu wa Ndio nimekukubali au hapana sipo tayari kuwa na wewe....
Wewe ni mwanamke?
 
Ss km moyo haukubali utaridhia vipi?
Nini kitakuongoza kuridhia?.

hapa ndo watoto wa watu wakiwa wanasoma pochi zenu wanaridhia mnawalaumu wakati mnayataka wenyewe😅
Ila ndo utofauti uliopo Kati ya mwanaume na mwanamke, mwanaume anatumia akili na Wanawake wanatumia moyo, atakayemuongoza mwenzake ni yule atakayekua anatumia akili na sio moyo
 
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa

mfano Kuna mwanamke amezaa na mwanaume ambaye ana hisia nae a.k.a anampenda, lakin kamtelekeza na mtoto, ukimfuatilia Whitney Houston alimpenda sana bobby brown, lakin hakuna mtu aliyemharibia Whitney Houston maisha yake Kama bobby brown

Moyo hauna adabu, ndo maana tukapewa akili ili zi-control moyo, sio kila mwanaume unayempenda mwanamke ni mzuri mwingine atayavuruga maisha yako kisawasawa. Kwenye maisha sababu inayomfanya mwanaume awe kichwa kwenye familia ni kwasababu ana uwezo mkubwa wa kutumia akili, mwanamke anaongozwa kwa sababu yeye anaongozwa na moyo kwenye mahusiano kuliko akili.

Tukisema tufuatilie kile moyo unachopenda kila mara tunapelekea kuharibu maisha yetu, ndo maana haijalishi ni kitu gani moyo umekipenda akili lazima iwe muamuz wa mwisho, hiki kitu Wanawake wengi hawawezi kinachopenda Moyo kamwe akili zao haziwez kupinga, Ila wanaume wanaweza ndo utofauti uliopo

Mwanamke anatakiwa kumheshimu mme wake na sio kumpenda in first place, swala la kumpenda mwanaume linakuja through learning. Lakin Leo hii Wanawake wanataka kupenda in first-place Kama wanaume kitu ambacho sio sahii, mwanamke anatakiwa aridhike na mwanamme atakama hajampenda mwanaume, kumpenda kutakuja mbele ya safari.

Mwanaume ndo mjenzi wa familia imara na jamii imara, ni ngumu sana kwa mwanaume kukaa na mwanaume ambaye hampendi na hata akizaa nae hiyo familia ataitelekeza ndo kinachotea sahivi.

Dhana ya Wanawake kutaka kupenda Kama wanaume liliivuruga Western countries, na Sasa hivi limehamia uku kwetu na litaendelea kutuvuruga
Haya ni mawazo yako binafsi, au ndio uhalisia wa Mambo.
Dunia ni huru kila mtu anaishi anavyotaka kwanini unatuaminisha unachoona wewe ndio sahihi?
You have just commit fallacy of generalization and reduce everything to culture.

Kama western countries they have their own style and na hakuna shida mtu akimua kuzifuata.
 
Back
Top Bottom