Dhana ya wanawake kupenda Kama wanaume imeharibu sana jamii yetu

Kiukweli swala la wanawake kuridhia ambapo mioyo yao haipo kwao ni gumu, way round ya kuridhia ni kwa kuteketeza mfuko wako akijua kabisa anakutumia kwa manufaa yake tu na wala hajali...

Ila hii inaleta shida sana endapo mwanamke ataingia kwenye ndoa na hii mentality 🤣🤣🤣
Hata ndoani watu wanaingia tuu chezea security of the future wewe hehehe
 
Mwanaume kaumbiwa kupigania penzi na sio mwanamke, ndo maana mwanaume unaweza mkurupusha saa nane usiku akamfuata mwanamke anayempenda popote alipo

Ndo maana nguvu ya kutongoza ikawekwa ndani yake, na hata anayepanga tarehe ya ndoa ni mwanaume na sio mwanamke
Sawa hatukatai lakini kukubali mtu hujampenda ni mtihani kwa wengi..

Ukitaka kuamini jaribu kuishi na mwanamke usiyempenda wala kumtamani
 
Ishu sio slope ila ni kule ambako unaona wewe ni sahihi kwako ndio hupendwi hata kiduchu😂😂😂 sana sana utajikuta umeachiwa mtoto uhangaike nae
Heri nusu shari kuliko shari kamili sio😂😅
 
Sawa hatukatai lakini kukubali mtu hujampenda ni mtihani kwa wengi..

Ukitaka kuamini jaribu kuishi na mwanamke usiyempenda wala kumtamani
Mbona nimesema mwanamke anatakiwa aridhie na sio kulazimishwa
Point ya kurithia inakuja kwa sababu ni ngumu kupata kile anachotaka kwasababu yeye ndo anayetongozwa
 
Back
Top Bottom