Dhana ya kuombewa

Dhana ya kuombewa

Naamini si kila maombi Mungu anayapokea ingekuwa hivyo basi shetani angeshaokoka

Mungu hapokei maombi yaliyo kinyume tu na uungu wake.Mfano Mungu ni Upendo.Huwezi kuomba kitu chochote kinyume na Upendo Mungu akapokea ombi kama hilo.Mungu ni huruma.Huwezi kuomba mtu alipiziwe kisasi na ukategemea Mungu apokee.Kanuni ni hii:He gives what He has.Anatoa alicho nacho.Hawezi kutoa kile kisichokuwa sehemu ya ufalme wake.Katika muktadha wa mada yako watanzania wanamuombea Magufuli kwa Mungu mambo mema na kwa hivyo tunamtumainia Mungu ajibu.
 
Je anayeombewa ni mwema kiasi gani? utaombewa tu bila hata kuomba kama ni mtu wa haki na Mungu atakulinda tu bila hata ya kuombewa kwakuwa njia ya Mungu si ya mwanadamu
 
Mkuu Mshana:

Ukisoma maandiko matakatifu utagundua kuwa Mungu anachoangalia ni ombi linalokwenda kwake lina tija gani.Kumbuka Mungu anapogawa hugawa kwa ajili ya jumuia kupitia hata mtu mmoja au watu wachache tu.
Unakumbuka kuna familia ilifiwa kijana wao.Wakachukua maiti wakaipeleka kwa Yesu kupitia darini.Yesu alipoona imani kubwa kama ile akamwambia yule maiti: "..Inuka nenda zako...".Mshana yule Maiti hakuwa ameomba afafuliwe.

Na tena wakati mwingine Mungu hutoa bila hata kuombwa.Rejea ufufuo wa Lazaro.Hakuombwa n familia ya Lazaro. Kwanza akina walitaka hata jiwe la kaburi lisiguswe kwa kuhofia harufu kali ya maiti

Mungu anaweza kumpa Magufuli fadhila kupitia watanzania bila sisi hata kuwa tumemuomba.Suala la msingi kama nilivyoeleza hapo juu ni je Magufuli anapokea fadhila hizo anazopewa? Magufuli Asifikirie Mungu atajibu kwa njia ya miujiza.Ni majadiliano na watanzania ikiwemo wapinzani ndiko kutafunua hizo fadhila.
 
Mkuu Mshana

Je kama mimi natii inakuwaje manake nimeambiwa nitiii mamlaka Romans 13: 1 - 5
 
Mimi labda nimuendee kwa "FUNDI" akanipigie kipapai yule mwenyekiti kwa mwenendo wake!

Huwezi kuleta dhihaka kuwa Watanzania tuombee amani huku wewe mkononi mwako umekamata kisu na unatoa maneno ya shari kila uchao!!

Ccm wakubali tu kuwa hasira za MKIZI zimewagharimu kwa kutuletea watanzania mtu ambaye cheo cha urais kinamzidi sana kimo!!
 
Mkuu Mshana

Je kama mimi natii inakuwaje manake nimeambiwa nitiii mamlaka Romans 13: 1 - 5
Tusilitafsiri neno vibaya , tii chenye positive impact na sio kinyume chake...yule muuaji wa Mwangosi alitii mamlaka mwisho wake wote tumeushuhudia
 
Shetwani haombewi acheni kupoteza muda na mb zenyu
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
Una matatizo ya akili wewe, unajiona ni mwandishi mzur, lakini hoja zako ni za kitoto sana.

Naona sasa umeama kutoka kwenye mambo yako ya kichawi sasa umeamia kwenye siasa, hovyo kabisa wewe.

Hivi Rais anapoambia watu wamuombee, je aliwakataza wasiombee watu wengine wenye shida?

Rais anatambua kuwa kazi anayoifanya ni ngumu na yenye maadui wengi wa kila aina wanao onekana na wasio onekana, je anapoambia watu wamuombee ni kosa?

We una matatizo ya akili na hao wafuasi wako wanao kuunga mkono, umeshindwa kumroga wewe sababu ya maombi ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao na kwa Rais wao halafu wewe kigagula unaleta mashtaka ya kitoto hapa JF....!!!!!

Badilika wewe na akili zako mgando, unakuwa kama una mtindio wa ubongo, na wewe ni mmoja ya watu ambao hamna kazi za kufanya kila siku upo hapa JF kuanzisha hoja za kitoto halafu na watoto wenzako wanavyokuunga mkono unajiona ndio babu kubwa kumbe ni bure kabisa..!!

Soma vitabu vyote vitakatifu vinasemaje kuhusu watu na viongozi wao, kama kuwaombea viongozi ni kosa au sio kosa.

Unatakiwa kubadilika na akili zako mgando na za kitoto mana hata propaganda haziwi na uandishi wa kitoto kama wako.
 
wala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGA
mAGUFULI FOR LIFE
Umeongea ukweli, watanzania ni watu wasio jua nini wanataka, mana kupinga kila kitu wanaona ndio kwenda na wakati.
Nenda Kenya, Uganda, Zambia na nchi nyingi za afrika na dunia kwa ujumla, wananchi wao wanamuona Rais JPM ndio mfano wao kwa kuweza kufanya maamuzi mazuri kwa wahujumu uchumi, ufisadi n.k ambayo maraisi wao wameshindwa hata kuthubutu kufanya.
 
Ktk viumbe aliowaumba Mungu ni binadamu pekee ndiye aliyempa utashi zaidi..
Lakn kwa bahati mbaya Sana binadamu huyohuyo ndiye kiumbe hatar zaidi na ndiye anajitengenezea uadui zaidi kwa Mungu..

Hata Jesus pamoja na kuwatendea mema na kuwafufua wafu, kuwaponya viwete, vipofu wenye pepo mbaya bado hawakuutambua wema wake ule wema waliugeuza ukawa ubaya..

Hata walipo mkamata simon peter alipomkata sikio mmoja Wa waliokuja kumkamata Yesu alimponya huyo mtu lakn bado hawakuweza kumtambua Bali hasira na chuki ndio ziliwajaa..

Huyo ndio binadamu
Watu hao ni kama mshana jr, mana hajielewi anachoandika nafikiri kuna mauchafu yako kichwani mwake.
Anatakiwa kuombewa kwa kweli.
 
Hivi wakati hasa wa kumuombea ulikuwa upi? KABLA ama BAADA?
 
Una matatizo ya akili wewe, unajiona ni mwandishi mzur, lakini hoja zako ni za kitoto sana.

Naona sasa umeama kutoka kwenye mambo yako ya kichawi sasa umeamia kwenye siasa, hovyo kabisa wewe.

Hivi Rais anapoambia watu wamuombee, je aliwakataza wasiombee watu wengine wenye shida?

Rais anatambua kuwa kazi anayoifanya ni ngumu na yenye maadui wengi wa kila aina wanao onekana na wasio onekana, je anapoambia watu wamuombee ni kosa?

We una matatizo ya akili na hao wafuasi wako wanao kuunga mkono, umeshindwa kumroga wewe sababu ya maombi ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao na kwa Rais wao halafu wewe kigagula unaleta mashtaka ya kitoto hapa JF....!!!!!

Badilika wewe na akili zako mgando, unakuwa kama una mtindio wa ubongo, na wewe ni mmoja ya watu ambao hamna kazi za kufanya kila siku upo hapa JF kuanzisha hoja za kitoto halafu na watoto wenzako wanavyokuunga mkono unajiona ndio babu kubwa kumbe ni bure kabisa..!!

Soma vitabu vyote vitakatifu vinasemaje kuhusu watu na viongozi wao, kama kuwaombea viongozi ni kosa au sio kosa.

Unatakiwa kubadilika na akili zako mgando na za kitoto mana hata propaganda haziwi na uandishi wa kitoto kama wako.
tangu nijue wewe ni mwezi mchanga kama bob umekuwa burudani kwangu..! Nilivyoona hii reply yako halafu nikaangalia nje kisha nikaangalia tarehe niliishia kucheka tuu...! Nowdays you are my favourite comedian trust me..!
 
Inasikitisha sana kuona kama kuna watu kama wewe karne hii.
Tayari una akili mgando na mtindio wa ubongo hivyo sikushangai hata kidogo kwa utumbo wako, sijajua huwa unatumia vyakula gani hadi unakuwa hivyo kama msukule, aisee inasikitisha sana.
Ila anyway sitoacha kukuchana pamoja na hiyo hali yako hadi utakapoacha huo ujinga.
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....

experience tells me ukiona mtu anatanguliza sana kuombewa jua ni mtu anayeishi kwa kutegemea nguvu za miungu sio Mungu.
 
Back
Top Bottom