Ndugu Mshana, kama kuna watu wanaotakiwa kuombewa, basi, ni viongozi wetu wote tukuanzia na Rais wetu JPM. Watu hawa wana mzigo mkubwa na kazi yao ni ngumu na yenye hatari kubwa kwamba kwa ulinzi wa binadamu hawawezi kuwa salama bila Bwana Yesu kristo mwenyewe kuwalinda. Tenga alau saa moja ktk kata saa 24 kuwaombea. Ni watumishi wapakwa mafuta wa BWANA pia kama ilivyo wachungaji, mapadre, masheikh.
Okk....sitaki kumtetea huyo mzee wala siko biased na upande wowote ila kimsingi kila mtu anastahili kuombewa cause kila mtu ana matatzo katika magnitude yake
Sio kwamba maskini ana shida kuliko tajiri!
Kabla ya kuombewa... Onesha unyenyekevu... Onyesha kujali... Onesha kujaliTuwapende maadui zetu....je tukiwapenda wanaotupenda tu, twafanya ziada gan???
Umenena vema.. Kila nilalapo na niamkapo huwaombeaSasa kumuombea mtu hakuna conditions mkuu!!
Sema hii mambo ya imani sometimes ni contradictious!!!Umenena vema.. Kila nilalapo na niamkapo huwaombea
- wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia
-wajane na yatima
-Wagonjwa walioko majumbani na hospitalini
-wasifirio nchi kavu angani na baharini
Sijafundishwa kuwaombea wasio na shida na wanaopata ulinzi wa kila aina... Na hata nikiwaombea, maombi yangu ni dhihaka mbele ya Mungu ninayemwamini