Dhana ya kuombewa

Dhana ya kuombewa

Inasikitisha sana kuona kama kuna watu kama wewe karne hii.
Tayari una akili mgando na mtindio wa ubongo hivyo sikushangai hata kidogo kwa utumbo wako, sijajua huwa unatumia vyakula gani hadi unakuwa hivyo kama msukule, aisee inasikitisha sana.
Ila anyway sitoacha kukuchana pamoja na hiyo hali yako hadi utakapoacha huo ujinga.
unapopewa ofa za viroba ndugu yangu halafu vikapenya usijisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini...! Ofa nyingine sizo shauri yako! Hivi mwanaume kamili kweli unaongea kuhusu KUCHANA? unajua maana yake kweli? au unaiga usiyoyajua? Mtafute Mwaj ndala ndefu akupe darasa labda itakusaidia
 
Utaelewa tu wewe msukule..!
huna lolote wewe na hoja zako za kitoto sana
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....

Mkuu mshana, hivi huyu anayeomba aombewe, anamuabudu mungu yupi?.
 
experience tells me ukiona mtu anatanguliza sana kuombewa jua ni mtu anayeishi kwa kutegemea nguvu za miungu sio Mungu. Rumours has it to the bigman
Pepo haliwezi kutolewa na mkuu wa pepo ndugu, bali kwa damu ya Yesu Kristo.
Rais JPM anaposema tumuombee anatambua hilo.
 
naona dawa inaingia sasa..epuka viroba vya ofa kuna siku utaishia kuvishwa shanga na dera
Mipasho kawaimbie majirani zako huko uswahilini unakofanyia shughuli zako n.k.
Humu JF hakuna mtu mwenye mda na kusikiliza mipasho, na zaidi unazidi kujidhihirisha namna ulivyokuwa na mtindio wa ubongo msukule wewe.
Badilika wewe chizi.
 
Kweli wee ***..!kilichobaki ni kuchumbiwa tuu
 
Haabudu Mungu bali mungu
Mungu atabaki kuwa Mungu, naona sasa umeacha ugagula baada ya kukosa wateja kutoka serikalini na nafikiri baada ya serikali ya Rais JPM kutangaza kumtegemea Mungu.
Utanyooka tu na utauza kila kitu sasa wewe msukule,
Na naona sasa umeanza kuuza stationary, sijui kesho utauza nini?
 
Kesho nitauza makalio yako maana yake naona yamekosa wateja
 
Kweli wee cuma..!kilichobaki ni kuchumbiwa tuu
Nilivyokuwa nakuambia una akili mgando na mtindio wa ubongo nilifikiri nakuonea, ila sasa umedhihirisha hata kwa member humu JF namna ulivyo kuwa chizi.
Na hata atakaeunga hoja zako sasa ndio atakuwa msukule part 2 kama wewe ulivyo msukule part 1.
 
Hahhahahaaaa sawa *** mbovu
 
Vice versa is true.
Hongera sana naona hapo umeandika vice versa.
Ukishauza hiyo utauza nini tena?
Nitauza mitindo huru manake siku hizi ndio habari ya mujini, jiandae wateja watafurika kwako, weka vilainishi vya kutosha
 
Hahhahahaaaa sawa cuma mbovu
Msukule katika ubora wako pole sana,
Ila nasikitika kila siku unazidi kuchanganyikiwa nini tatizo?
Omba msaada humu JF usaidiwe kuliko kuwa hivyo.
Relax na acha kupaniki ndugu.
 
To meYou are just another silly asshole., and very stupid one
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
Mkuu mshana, wewe ni mchawi na huamini Mungu wa wakristo. Paul aliagiza hivi:-

1 Timo 2:1-2

1. “ Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na
sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa
ajili ya watu wote;

2. Kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi kwa amani na ustahivu ”
 
Back
Top Bottom