stwita
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,340
- 761
Kama nitamuombea mtu huyu kwa Mungu, basi yote nitakayo muombea ni mabaya sana kwake maana hakutakuwa na jema hata moja kwa huyu mtu
you made my day
Kama nitamuombea mtu huyu kwa Mungu, basi yote nitakayo muombea ni mabaya sana kwake maana hakutakuwa na jema hata moja kwa huyu mtu
you made my dayMbona kama umeongea kwa mafumbo?Itafika hatua tutaelewana tu..
Kwakuwa hatujui tukitakacho lakn pindi tukijua tutakuwa sawa
wala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGANaam hakuna mtu ambaye yuko tayari kumuombea mtu katili, mwenye roho mbaya, mbaguzi, asiyejali maslahi ya nchi na wananchi wa nchi husika na ambaye kauli zake kila kukicha ni za vitisho tu dhidi ya wananchi wa nchi husika. Mtu anayejiona kama Mungu kwa kulewa madaraka.
Hii akili niyako au unatumia yakuazima kiasi kwamba hata muda hujui Rais wako kila akipanda Jukwaani anataka niniwala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGA
mAGUFULI FOR LIFE
Kwan ww umeelewaje?Mbona kama umeongea kwa mafumbo?
nakutafuta umenishika panaposhikikawala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGA
mAGUFULI FOR LIFE
God is watching...!... eti mtu anayekuita ******, katili aliyekubomolea nyumba yako, anayekukataza usiseme unachofikiri, anayeapa atahakikisha unaishi kama shetani, etc. anakwambia umuombee? kweli ni dhihaka kwa mwenyezi Mungu.
Genesis 12:3 I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse. .... (tafakari) baraka hii alipewa mtu tajiri sana. ... hapo sasa..View attachment 373597View attachment 373598Kama taifa na kama binadamu tunapaswa kuombeana wote...tukiwaombea hao wenye maisha bora tayari na kila kitu tunawaombea ili iweje? Je hawa wenye mahitaji ya kweli ya maombi tunawaweka kwenye nafasi gani? Tupunguze ubinafsi na kujiona sisi ni bora kuliko wengine View attachment 373599View attachment 373600
Umefanikiwa kuniacha mataa ya UbungoKwan ww umeelewaje?
Jamani jamani kawekwa na MUNGU. ..neno linasema. .tii watu walikuwa madarakani! Hapo sasaSahihi kabisa ambaye hawezi kufanana na huyu kwa namna yoyote ile