Tafsiri ya mkuu sio hii...tafsiri yake ni kwamba anapambana na mfumo wenye nguvu kubwa hivyo tumuombee apate nguvu zaidi za mapambano pia tumuombee ulinzi kwakuwa anaziba na kuua mirija ya upigajiWenye Afya Hawahitaj Daktari Bali Wale Walio Wagonjwa.Yesu Hakuja Duniani Kwa Ajili Ya Walio Watakatifu.Bali Alikuja Duniani Kwa Ajili Ya Wote Wenye Dhambi i.e Wezi, Waongo, Wafiraji, Wasagaji, Wauaji, Wasengenyaji, Wenye Choyo, Wenye Wivu, Wala Rushwa, Nakadharika Ili Wapate Kutubu.Kwahiyo Ni Wajibu Wetu Kuzidi Kuwaombea Watu Hawa Ili Waziache Njia Zao Zilizo Mbaya.Kondoo Mmoja Aliepotea Ni Bora Kuliko Kondoo Tisini Na Tisa Walio Kundini.
Mtu anayeitwa maskini kwa mujibu Iman unamjua?Umeongea point moja ya maana sana ivi kweli unamuombea mfalme badala ya kumuombea maskini anayelala bara barani apate tahafifu ya mwenyezi mungu inashangaza
Nchi hii wajinga hawatakaa waishe ..kuna watu hawataelewa ulichoandika mijitu haijionei huruma..Upuuzi huu nimeukataa Kanisani Mchungaji wangu anamkubali sana huyo jamaa sasa ikawa kila Ibada hakosi kulazimisha kumuombea asee Tangu uchaguzi wa Mwaka Jana tena ilitengwa siku maalum ya J5 sikuwahi kwenda...Honestly Watz%kubwa ni watu wapuuzi sana Asante mshana jr kuleta mada fikirishiKumuombea asiyetenda haki ni sawa na kupaka upepo rangi, bora kuiombea familia yako ipate mkate wa kila cku, mtu hajui atakula nini kesho, akiugua hajui ka atapata huduma bora badala ajiombee mwenyewe anahangaika na mwenyewe ulinzi twenty four seven. Yesu aliwaambia wanawake wasimlilie yeye walilie shida zao na watoto wao. At the end kila MTU ataubeba msalaba wake.
Hilo nalo neno... Mungu ameruhusu kujaribiwa kwa zaka...Halafu ni wachafu wazandiki waongo. ..mdomo mmoja unaomba kuombewa mdomo wa pili unatoa vitisho kuwa wewe hujaribiri![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Inafika wakati maombi yanageuka laana kama uadilifu hauzingatiwi..!Itafika hatua tutaelewana tu..
Kwakuwa hatujui tukitakacho lakn pindi tukijua tutakuwa sawa
Hapa dunian ukitaka upendwe na uwe maarufu ww kuwa mnafki na muongo lakn ukiwa mtenda haki watu watakuchukia na kukuzushia kila aina ya ubaya..Inafika wakati maombi yanageuka laana kama uadilifu hauzingatiwi..!
Mkuu hiyo dozi yako si haba.Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
I sometimes fail how to comment and term you Mr Mshana jr. You are so challenging and analytical on faith matters. You speak openly, if ironically the truth is apparently. You are the one of the great thinkers in jf.Hapa sikosoi dressing code na jinsi shati lilivyokaa vibaya..fulani ya blue na si vest nyeupe...bali ile dhana nzima ya kuombewa View attachment 373692kwamba mgonjwa ndie anamuombea mzima
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ubinafsi wa kiwango chake
Mkuu hiyo dozi yako si haba.
Am humbled asanteni sanaI sometimes fail how to comment and term you Mr Mshana jr. You are so challenging and analytical on faith matters. You speak openly, if ironically the truth is apparently. You are the one of the great thinkers in jf.