Dhana ya kuombewa

Dhana ya kuombewa

Pole sana hauna hoja yeyote wewe.
JF is where we dare to talk openly, so if you don't have point, just shut up your fool mouth.
How many times should I say that you are a stinking asshole? Halafu kama lugha za watu huzielewi usijiabishe
 
Peleka upuuzi wako huko, mpuuzi kama wewe dawa yake ni vitasa tuu omba appointment tumalize majibizano kiazi mbatata wewe
Aisee umefikia huku, nenda kalale upunguze mawazo, mana unazidi kujidhalilisha.
 
Aisee umefikia huku, nenda kalale upunguze mawazo, mana unazidi kujidhalilisha.
Wewe ndio uende ukalale epuka pombe za offer utaolewa mchana kweupee, siku ukiona imebana na una kiu ya kiroba nipm nikuokoe...wengine watakupasulia yai bichi shauri yako
 
How many times should I say that you are a stinking asshole? Halafu kama lugha za watu huzielewi usijiabishe
Hauna hoja yeyote wewe,
Na acha kukalili mambo kwa hoja zako nyepesi
Hata walevi na vichaa wanaijua lugha ya kiingereza.
 
Hauna hoja yeyote wewe,
Na acha kukalili mambo kwa hoja zako nyepesi
Hata walevi na vichaa wanaijua lugha ya kiingereza.
Sorry ni KUKARIRI sio KUKALILI
hivi kama lugha yako ya inakushinda nyingine utaweza kweli?
 
Wewe ndio uende ukalale epuka pombe za offer utaolewa mchana kweupee, siku ukiona imebana na una kiu ya kiroba nipm nikuokoe...wengine watakupasulia yai bichi shauri yako
Ndio mnavyofanyiana hayo mambo huko uswahilini unakoishi....!!!
Aisee inasikitisha sana.
Pole ndugu kigagula jr.
Ila kesho usirudie huu ujinga hapa JF
 
Ndio mnavyofanyiana hayo mambo huko uswahilini unakoishi....!!!
Aisee inasikitisha sana.
Pole ndugu kigagula jr.
Ila kesho usirudie huu ujinga hapa JF
Pokea ushauri wangu kisha ufanyie kazi utakusaidia sana
 
Sorry ni KUKARIRI sio KUKALILI
hivi kama lugha yako ya inakushinda nyingine utaweza kweli?
Utaongea mengi sana leo, naona bado haujaongea kipare tu.
Pole sana, ila huna oja yeyote mana nilifikiri ungeni challenge kwa hoja mara ya kwanza lakini kwa kuwa huna oja umekuwa unatokana tu.
Siku nyingine unatakuwa ujipange sio una koja na hoja zako humu JF kama unaimba mipasho
 
Utanyooka tu we msukule
My ten minutes with you are over
 
Usanii katika ubora wake, ikitaka uwashike vizuri watu zitumie imani za watu kwa ufasaha. ila kuombeana bila msingi wowote huku mwenzetu unageuka pembeni, kutunanga na mikwara kibao hayo maombi unataka nani akuombee labda ukifa maana hata mchawi huombewa kwa sifa kemkem
 
Kuna watu naona hii post imewaumiza mno
 
Kuna watu naona hii post imewaumiza mno
Umerudi tena, ngoja nikufundishe tu kwamba hakuna ilie muumiza hii post ila kuna walioielewa na wanakusaidia ili siku nyingine uache kuwa na hoja za kitoto na kishabiki.
Usije kufikiri hao mashabiki wenzako wanavyokutia moyo ukajiona uko sahihi, na ukifikiria hivyo utakuwa unajidanganya sana.
 
Sidhani kama mtu akiomba kuombewa ni kosa hasa kwa mtu kama Rais wa nchi mwenye majukumu makubwa na maadui wa kila namna kwa hatua nzuri anazochukua kwa mustakabali wa nchi.
 
Binafsi sijaona umuhimu wa kumwombea huyo jamaa.... At first nilimwona mtu wa maana sana kwa hatua alizo kua anazichukua.... Lakini alivyo anza kubaka democracy ndio nikagundua huyu mtu ni hovyo tu.
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
Aombewe apite salama katika kubinya demokrasia.
 
Binafsi sijaona umuhimu wa kumwombea huyo jamaa.... At first nilimwona mtu wa maana sana kwa hatua alizo kua anazichukua.... Lakini alivyo anza kubaka democracy ndio nikagundua huyu mtu ni hovyo tu.
Wewe kama mimi mwanzo nilimuona ni mtu sahihi na nilijua ndio uyu tuliyemtegemea baada ya Nyerere lakini kila siku zinavyozidi kwenda anabadilika anakuwa mtu tofauti anaenda pasipoeleweka amekuwa mtu wa kunyanyasa watumishi wa umma, kuwa tisha watu wanaompinga na pia hapendi mtu kutoa maoni binafsi kuhusu serikali hasa hasa kuikosoa , anatoa kauli chafu , anatoa kauli tata zisizoweza kutolewa na mkuu wa nchi mbaya zaidi watu wa karibu yake wanamuangalia tu anavyopolomoka kiutendaji
 
Nyie ndio mna laana mlimtukana sana JK acha mnyooshwe na bado na hizo laana na dua zenu zitawarudia..
 
Back
Top Bottom