Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,501
- 14,209
Ney anakwambia wachane
Haaaaaa...... Mshana [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Mshana kwani papucino ndio nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji621]
Watu wanakosa imani na wewe, halafu eti tumuombee... Tuache unafiki kwa kumkufuru Mungu,wala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGA
mAGUFULI FOR LIFE
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Inabidi kumwombea ili Mungu amlipe kwa kadri ya matendo yake! Walotumbuliwa ndo watakuwa mstari wa mbele katika kumwombea, japo na raia wa kawaida wanateseka kwa maamuzi ya mtu mmoja.
Unafiki mwendo kasi, huku unataka nchi iombewe ile kuwepo na utulivu halafu ukigeuka yale mambo ambayo yanaleta ustawi wa utulivu nchini kama kuheshimu vyama vya upinzani na katiba ya nchi UNAYAKIUKA!
Ajiombee mwenyewe na ukatili wake
Tafakuri kuuMimi tokea aseme yeye hajaribiwi ,maana yake halisi yeye yupo juu ya vyote kwenye ulimwengu huu ,maombi ya nini sasa ? Si abadilishe pombe kuwa divai ama mpinzani kuwa jiwe la chumvi ? nisije nikakufuru bure ,Eeh Mungu kaseme na Wajane na Yatima
Sasa ameanza kubadili lugha, anasema tuiombee amani nchi, hii ni baada ya kuona wananchi wanamshangaaAjiombee mwenyewe na ukatili wake