Dhana ya kuombewa

Dhana ya kuombewa

Zee la kuropoka.. Sidhani kama kichwani huyu kiongozi yupo sahihi.. Ukimwangalia mkewe alivyoshika maiki kuomba utaona tu deep inside her heart huyo mama ana majuto makubwa sana..

Nchi imepotea hii.. Hata mimi nilikuwa nina imani nae ila sasa simwamini tena, na wala sitajaribu kumwamini kama yeye anavyosema hajaribiwa. Another ten worthless years damnit..
Tulipiga kelele sana wakati wa kampeni, kulikuwa na viashiria vingi kuwa huko tuendako mambo yatakuwa si mambo...viashiria vilikuwa vya wazi kabisa lakini watu walishangilia na kusifu, sasa picha inakuwa angavu zaidi
 
Mbwa mwizi akikosa chakula sehemu nyeupe, kwa mara ya kwanza huanza kumchukia anaemfuga na kumtishia kumuuma, ila akishindwa huanza hatua ya pili ya kuwa mbwa koko, na hatua ya tatu huzeeka nakuanza kumuomba hifadhi ya kukaa kwa aliyemfuga hadi kifo kitakapomfika
Angalizo;
Mnaombeza JPM badilikine kabla ya kuwa mbwa koko
 
Mtanyooka tu nyie mbwa wezi
1470726534209.jpg
nakuona uko busy hapa
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
Mchana Jr.naomba uchukue muda kunisikiliza, kwanza mm ni m wananchi nisiyefungamana na upande wwte,
Ila nimelazima kuandika hii baada ya kusoma Post zako na kukuelewa sana, binafsi nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi humu JF lakini KWA nature ya mtu kama ww kutokana na vitu unavyoandikaga na kutoa Elimu humu, ni Wazi kabisa unawafuasi wa upande zote mpaka afisa u salama wa kitaifa, sasa sio vzr sana kuonyesha interest Yako ya upande uliogemea kwani utawapunguzia morale wale wengine,
MY TAKE
Rais anahitaji kuombewa, sana kwa issue za mwilini na Rohoni, maana imeandikwa Bwana asipoilinda nyumba, yeye alindae atakuwa analinda bure, so ni vzr kumuombea mbali na ulinzi wa qanajeshi alionao hapa ni issue ya rohoni mkuu
Asante..

Ni Mimi Classmate wako.
Japo huwezi kunifahamu
 
Asante kwa angalizo. ..nimekuelewa sana lakini kama umenisoma vema napingana na ukinzani wa matamshi ya mkuu.....pengine ni upungufu wa kawaida wa kibinadamu au ni siasa lakini kwa vyovyote kuna kasoro kubwa kwenye muktadha mzima wa jambo lenyewe
BTW ni classmate wangu wa hapa nchini au kule?
 
Hahaha hapa nchi kinondoni pale
..Mshana inapokuja kwenye Issue ya Rohoni kila mwanadamu anatamani uponyaji, na hofu maana hakuna mwenye uhakika na kesho, so mtu anatamani awekwe kwenye maombi.
Na pia kumbuka kuna hekima ya kiongozi, pia si kila mtu anaweza kuongeza isipokuwa kila mtu anaweza kutawala kama akipewa utawala.

Inahitaji uwe na akili kunielwa hapo.
Hahahahaha
 
Aaaamen
 
Kumuombea asiyetenda haki ni sawa na kupaka upepo rangi, bora kuiombea familia yako ipate mkate wa kila cku, mtu hajui atakula nini kesho, akiugua hajui ka atapata huduma bora badala ajiombee mwenyewe anahangaika na mwenyewe ulinzi twenty four seven. Yesu aliwaambia wanawake wasimlilie yeye walilie shida zao na watoto wao. At the end kila MTU ataubeba msalaba wake.
Dada mpendwa upooo?????,leta maneno.
 
Maombi kwa wakulu yamekoma au bado yanaendelea?
 
A kings heart is a water stream that the ALMIGHTY SOVEREIGN SUPREME CREATOR controls; and directs it wherever he pleases. ... Proverbs 21:1
 
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
Umevurugwa jombaa kwani unapoombea nchi Na viongozi wake unadhan mjomba hasan anakua sio kiongoz wakat huo?
 
Back
Top Bottom