Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Hiivi mbadala wake alikuwa yule aliyekatwa na ccm ? ...daah kweli maumivu ya jino si sawa na ya sikio !Tulipiga kelele sana wakati wa kampeni, kulikuwa na viashiria vingi kuwa huko tuendako mambo yatakuwa si mambo...viashiria vilikuwa vya wazi kabisa lakini watu walishangilia na kusifu, sasa picha inakuwa angavu zaidi