Ndio mana ameuliza mkuu, ni vizuri ukamsaidia kumjibu badala ya kumdhihaki.It seems hujaenda shule an umeenda shule ya chini sana tena ya kata iliyokufa
Sio wote waswahili kama wewe, wengine wamekulia masaki na hawajuagi hayo mambo!It seems hujaenda shule an umeenda shule ya chini sana tena ya kata iliyokufa
Avatar yk inatishaMbona naskia mama mwenye mtoto mchanga akifanya mapenzi na mwanaume mtoto anadhoofu.pia sindano za uzazi wa mpango hudhuru watoto
Ingekuwa kweli nadhani wanaume wote wanaosingiziwa watoto kwenye ndoa, hao watoto wangedhoofika kwakuwa wanakuwa wanafanya mapenzi na mama za watoto wakati siyo baba zao.Mbona naskia mama mwenye mtoto mchanga akifanya mapenzi na mwanaume mtoto anadhoofu.pia sindano za uzazi wa mpango hudhuru watoto
Haya mambo ni ya kijijini, watu wasioenda shule hata kidogo ndio wanasema mambo ya kubemenda. mtu anayeandika humu tunategemea uelewa wa kiwango fulani cha juu katika vitu vidogo kama hivi ! Very basic things. Nilitegemea aulize kuwa mke akipata mimba wakati mtoto say ana miezi miwili, ina athali gani kwa mtoto anayenyonya na mama!Ndio mana ameuliza mkuu, ni vizuri ukamsaidia kumjibu badala ya kumdhihaki.
Sio kila Mtanzania amebahatika kwenda shule rasmi.
Hili swala na kubemenda linazungumziwa katika jamii zetu, naye ameomba kuopata ufafanuzi kwa wenye utaalamu nalo.
Tujifune kuheshimu watu, na wala haina ghalama yoyote, la sivyo tujifunze kunyamaza kwenye maswala tusiyoyafahamu.
Huo ndio Uungwana.
subiri Malaya tutawajua leo.Wanajamvi naomba nijuzwe kitaalam ni nini maana na chanzo cha mtoto kubemendwa.
Hujanijibu lakini...huo uelewa wako mkubwa sijaona maslahi yake kwa jamviHaya mambo ni ya kijijini, watu wasioenda shule hata kidogo ndio wanasema mambo ya kubemenda. mtu anayeandika humu tunategemea uelewa wa kiwango fulani cha juu katika vitu vidogo kama hivi ! Very basic things. Nilitegemea aulize kuwa mke akipata mimba wakati mtoto say ana miezi miwili, ina athali gani kwa mtoto anayenyonya na mama!
Baba mtt hapana nimeshaona wanaume kibao wanafanya yao nje ya ndoa na watt hawaharibikiMbona nasikia hata baba wa mtoto
Namaanisha ukifanya na baba wa mtoto kisha ukaenda kunyonyesha bila kuogaBaba mtt hapana nimeshaona wanaume kibao wanafanya yao nje ya ndoa na watt hawaharibiki
Hakuna uhusiano kati ya kufanya tendo ilo na kubemenda mtt cha msingi komaaa na lishe tu hakana namnaNamaanisha ukifanya na baba wa mtoto kisha ukaenda kunyonyesha bila kuoga
Wewe Jamaa unajua saana Japo watakubishia....na watoto wengi wa Mjini Hawawezi kujua Hili!Mambo mengine yamebase ki-imani zaidi kiasi kwamba hata wanasayansi hawawezi kutoa majibu ya moja kwa moja...Mfano hata mwanaume ukiwa na mtoto mchanga home ukaenda piga mechi ya ugenini ukaja home ukimbeba mtoto wako atadhurika...Kwa namna gani..Kiimani zaidi na inafanya kazi, Ama macho kwa watoto wachanga mtu akimwangalia mtoto mchanga tu mtoto ataumwa tumbo huku akilia sana..Kwa namna gani hii hutokea...Kiimani zaidi....
Hivi mwanamke huwa anaanza kubleed baada ya muda gani akijifunguaKumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.
Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi.
Je, kuna ukweli wowote?
Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa!
kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi.
Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi?
unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wewe kujisikia vizuri na kuwa tayari kushiriki katika mapenzi. pia, mnaweza kusubiri mpaka wiki 6 zipite toka ulivyojifungua.
Je, kuna athari yoyote ya kufanya mapenzi baada ya kujifungua?
Kufanya mapenzi baada ya kujifungua hakuwezi kuleta madhara kwa mtoto endapo hamna maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu). ikiwa mwanaume ana vvu anaweza kumuambukiza mama na kisha mtoto kuambukizwa kupitia maziwa ya mama.
Ikiwa mnafanya mapenzi kabla ya damu damu ya ukeni kukata, maambukizi ya bakteria yanaweza kutokea kwenye tumbo la uzazi (endometritis). pia kuna uwezekano wa mama kupata ujauzito miezi 6 ya kwanza ya kunyonyesha.
Nini kinasababisha afya ya mtoto kuzorota?
Kama tulivyoona, kufanya mapenzi hakusababishi mtoto kubemendwa. afya ya mtoto inaweza kuzorota kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo;
Kufanya mapenzi na mwenzi wako hakusababishi mtoto kubemendwa. Baada ya kujifungua mtoto hutegemea kupata lishe bora kutoka kwenye maziwa ya mama, hivyo nyonyesha mtoto wako vizuri. ukiona ukuaji wake unazorota, onana na daktari.
- Kukosa maziwa ya mama ya kutosha
- Mtoto kushindwa kunyonya vizuri
- Kuanzishiwa vyakula vya ziada mapema, kabla mtoto hajafikisha miezi 6 au vyakula visivyo na viritubisho vya kutosha.
- Homa, nimonia na maambukizi ya mfumo wa mkojo (uti) za mara kwa mara.
- Maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu) au kifua kikuu.
- Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (congenital heart diseases).
Muungwana blog
. Nikamuuliza tena, kivipi? Akasema jamaa zako inaonekana wanacheza sana mechi"! Mmmh. Hakuelezea zaidi.