Dhana ya "kumbemenda mtoto"

Dhana ya "kumbemenda mtoto"

Hivi vitu vinauhusiano kabisa japo kwa baadhi ya watu huchukulia mambo haya kiimani zaid nahii ni kutokana na kukosa uthibitisho wa kitaalam kwa % kubwa.

Iko hiv 'mwanamke akiwa ananyonyesha na wakati huohuo akabeba mimba nyingine halaf akaendelea kunyonyesha, afya ya mtoto hudhoofika sana,
kudhoofika kwa mtoto hu7bishw na kuchafuka kwa maziwa, 7bu mwanamke anapobeba mimba baadhi ya homon ktk mwili wake hubadilika ktk mfuno wa utendaji kazi, tezi ktk kifua chake huanza kuzalisha maziwa kwa ajili ya mtoto alieko tumboni, hapa hutokea hali ya maziwa kuchafuka na kugeuka sumu kwa mtoto anaenyonya.

Sababu ya pili ni kua 'mwanamke akiwa mjamzito mwili wake huwa na joto kali sana na wakati huohuo akawa analala na mwanae mdogo joto hili la mama humuathiri mtoto na kufanya afya yake kudhoofika, hii haijalishi hata kama kamuachisha kunyonya kwa 7bu ya hiyo mimba, ila kama bado anaendelea kumnyonyesha hali ya mtoto huwa mbaya zaidi 7bu ya 'joto+maziwa machafu. Joto hili si joto la kawaida 'baadhi ya wataalam husema mwili wa mwanamke huanza kuzalisha kemikali kwa ajili ya usalama wa mama na mtoto alieko tumboni ndio 7bu ya joto hili kua na athari kwa mtoto anaelala na mama yke.

7bu ya tatu ni kua 'mwanamke anaenyonyesha kugawa uroda nje 'peku peku' hapa wataalam husema mbegu 'spms' za baba halali wa mtoto huongeza virutubisho ktk maziwa ya mama anaenyonyesha, kinyume chake mama akitoka nje peku au ikiwa hiyo mimba ulishkishwa ndipo mambo huharibika, ila hapa kuna somo pana sana kuhusu hizi mbegu za kiume namna zinavyo rutubisha na kudhoofisha, waweza unganisha dot hizi na dot za mshana jr ktk uzi wake akielezea mbegu za kiume namna zinavyo waathiri mashoga, jamaa aliongea vi2 vikubwa sana ila kwa haraka huwez muelewa.

Kunavitu vingi bado tunapaswa kufuatilia na kujifunza.
Safiii..
 
Na machangu wanaolea watoto na bado wanafanya mapenzi na watu tofauti inakuaje ? kumbuka changu huwa anafanya mapenzi vyovyote kulingana na dau !!
 
Mkuu Tyupa jaribu kutumia ubongo ili mdomo wako uwe sababu ya mwili wako kua salama,
hili ni jukwaa huru na hapa hatuaminishani bali tunaelimishana na kueleweshana, sijui unatumia nini kufikiri ila ulipopinga mawazo yangu bila wewe kutoa ya kwako hukufanya uungwana. Enyway 2yaache hayo.

Labda tuanzie hapa 'Manii ni nini na ndani ya manii kuna nini!
Ndani ya manii kuna vitu vinne
¡/PROTEIN
¡¡/ACID
¡¡¡/SPERM/CHROMOSOME
¡v/VIRUS

¡/PROTEIN ni aina moja wapo ya 'Food substance' inayorutubisha mwili, substance hii inapatikana pia ndani ya manii.

¡¡/ACID ni mfano wa tindikali au chenye ladha ya ukali mfano wa ndim, kitu chenye tindikali ndani yake kina kawaida ya kuunguza na pia kulegeza kinapotiwa pahala.
Mfano: Mwanamke anaefanya sex na asie fanya kimaumbile wako tofauti, mwili wa anaefanya sex huwa lain zaid 7bu ya Acid inayopatikana ktk manii, tazama mashoga namna manii zinavyo wafanya kuanzia mwendo, sauti mpaka maumbile yao hubadilika, hayo mambo hayatokei kwa bahati mbaya ni 7bu ya Acid ilio ndani ya manii.

Kwa mwanamke anae nyonyesha anapo sex peku peku Acid ilio ndani ya manii huathiri maziwa, hivyo mtoto kunyonya maziwa yenye Acid hali itakayo pelekea mtoto kulegea na kudhoofika,
lakini kama mtoto atanyonya maziwa yenye Acid ya 'baba yake mzazi hatodhurika 7bu anakula Acid ambayo kiasili ndio iliomtengeneza.

Kazi kubwa ya Acid kwenye manii ni kuua bakteria zisizo husika zinazo patikana wakati zikitoka kuelekea ktk Virginal.

Bado tunamengi yako nje ya ufaham wetu tuendele kufahamishana na kusahihishana.
 
Mwili wangu hauwezi kuwa salama kwa sababu nimepinga mawazo yako, hivyo ni vitisho lakini ukweli utabaki pale pale kuwa mada yako juu ya kubemembe ni potofu na haina ukweli kisayansi na unawadanganya watu.Nimekuomba ulete references kuthibitisha hoja zako unaniambia nitumie ubongo,hivi awali nilitumia nini? Acid iliopo kwenye ndimu na machungwa ambayo imo kwenye vinywaji chungu nzima madukani mbona watoto na watu wazima wanakunywa na HAWALEGEI? Umeng'enywaji wa vyakula vyote ( Absorption ) hufanyika kwenye digestive system kwa msaada wa enzymes kuanzia mdomoni hadi utumbo mdogo na mpana.Kama uke siku hizi unameng'enya shahawa na kuingizwa kwenye blood circulation basi hii ni sayansi mpya.Na itawezekana basi wagonjwa wanawake wanaoshindwa kula na kulishwa kwa nasal gastric feed sasa wataanza kushindiliwa mavyakula ukeni kwa sababu chakula kinameng'enywa pia maeneo hayo, this is incredible rubbish !!!.
 
Kubemenda mtoto hakuna uhusiano na sex life ya wazazi hiyo kitu ni kutokana na lishe duni anayoipata mtoto. Mama akipata ujauzito huku ananyonyesha, kitaalamu anaruhusiwa kuendelea kumnyonyesha mtoto mpaka mimba ikiwa kubwa ndo anamuachisha. Muhimu ni kuhakikisha mama anapata lishe bora ili kuweza kumudu kunyonyesha na kulea mimba. Na mtoto anayenyonya pia apatiwe lishe bora sio bora mladi lishe. Hii kubemenda mtoto ni myth ilitumiwa na mabibi zetu kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango lakini haina uhalisia kisayansi. Ukiona mtoto afya imezorota hiyo malnutrition tu, over!
 
Mkuu Tyupa unajua wengi tunaielewa Manii kama mbegu ya uzazi, lakini ukweli ni kua Manii ya kiume ni zaid ya mbegu ya uzazi.
Hapa ndipo mimi na ww tunapo tofautiana lait ukielewa kua manii ni zaidi ya mbegu ya uzazi wala hutoshangazwa na maelezo yangu ya awali, lakini ukiendelea na msimamo wako ktk kuamini manii ni mbegu tu ya uzazi na haina zaid ya hapo daima utaendeleza ubishi usio na maana.
 
Kwa taarifa yako mimi naelewa kuliko unavyoelewa wewe.Mwenye dhamana na afya za Watanzania ni waziri wa afya pekee hapa Tanzania ukimwuuliza hawezi kukubaliana na wewe hata kidogo.Mama mwenye mimba huku ananyonyesha mtoto haina madhara yeyote, pia mtoto anaenyonya huku mama anafanya mapenzi na mumewe au mwanaume mwingine mtoto hawezi kudhurika chochote.Watoto wanaoonekana wamebemendwa hao hua na matatizo ya lishe na maambikizi mengine ya magonjwa.Mtu mbishi ni yule asiejua kitu lakini mimi najua kuliko unavyojua wewe.
 
Mkuu Tyupa unajua wengi tunaielewa Manii kama mbegu ya uzazi, lakini ukweli ni kua Manii ya kiume ni zaid ya mbegu ya uzazi.
Hapa ndipo mimi na ww tunapo tofautiana lait ukielewa kua manii ni zaidi ya mbegu ya uzazi wala hutoshangazwa na maelezo yangu ya awali, lakini ukiendelea na msimamo wako ktk kuamini manii ni mbegu tu ya uzazi na haina zaid ya hapo daima utaendeleza ubishi usio na maana.
Bwana Ramadhani soma pia maoni ya bwana aqeelah hapo juu utaona kwamba amesema ukweli mtupu unaolandana na maoni yangu.Lakini naona watu wenye mawazo na maoni kama yako wamepungukiwa na elimu ya anatomy and physiology ya binadamu.Pia kuna elimu ya PATHOPHYSIOLOGY ambayo nadhani badhi ya wachangiaji humu kama ulivyo wewe hawana hiyo elimu.
 
nimejaribu kupitia apo juuu sjapata point nzito ya kitaalam kuhusu ili suala nakumbuka nam NJMESHAPIGWA HILI SUALI NA MAMA MMOJA WAKAT NATOA ELIMU YA AFYA NIKAWAPA NAFAS WAO WENYEWE WASEME na tukaelezana inavyosemekana ndo ivo ila sababu ya kitaalam nam sjaipata mpaka leo,.. kwa hyo hili suala bado lina utata
pol dauda kiswahili pia naona kinagomba, sahihi ni kupitia hapo juu sio apo juu, kuhusu hili swala sio ili suala, nami sio nam, wakati sio wakat, nafasi sio nafas na ni swala sio suala.Dauda elewa kuwa hiki ni Kizaramo sio kiswahili fasaha.
 
hahahahahhaah ahsanthe sana ndg yang nimekupata saaana ila sema nimeathiriwa na chartng tuuu ila nkiwa kwenye barua na mahala penyewe naaandika vema n kwel kbs ulivyonambia ila,,,,, chartng zimeniathir mpaka wakat mwingne barua narudia rudia kuandika maaaana najiuta naaandika kiivo ko mpaka niwapitishie watu wapitie
ahsanthe
 
Kubemenda zilikua Porojo tu za wahenga kutisha watu wasichepuke.
Ila hakuna kitu kama hicho.
Nina uhakika maana nimefanya experiment!
 
hahahahahhaah ahsanthe sana ndg yang nimekupata saaana ila sema nimeathiriwa na chartng tuuu ila nkiwa kwenye barua na mahala penyewe naaandika vema n kwel kbs ulivyonambia ila,,,,, chartng zimeniathir mpaka wakat mwingne barua narudia rudia kuandika maaaana najiuta naaandika kiivo ko mpaka niwapitishie watu wapitie
ahsanthe
Duu !! kweli umeathirika sana kwani badala ya kuandika kiswahili unaandika Kikorea kitupu e.g. wang, charting, kwel , kbs, nkiwa ambapo mtu mwingine hawezi kujua kamwe umeandika madudu gani.Pengine umeishi sana nchini Korea, kwani huko ndo kuna pyong, yang, li sung, kim, kwel nk ambapo hiyo lugha wanaijua wao tu.Au pengine umegundua lugha yako binafsi ambapo ingekuwa bora uwafundishe kwanza watu kuwa wakiona maandishi kama ya Kikorea basi maana yake ni hivi.Kama hivi ulivyoandika ni ni lugha mpya bado haieleweki maana pia unachanganya na Kizaramo pia.
 
Mkuu Tyupa unajua wengi tunaielewa Manii kama mbegu ya uzazi, lakini ukweli ni kua Manii ya kiume ni zaid ya mbegu ya uzazi.
Hapa ndipo mimi na ww tunapo tofautiana lait ukielewa kua manii ni zaidi ya mbegu ya uzazi wala hutoshangazwa na maelezo yangu ya awali, lakini ukiendelea na msimamo wako ktk kuamini manii ni mbegu tu ya uzazi na haina zaid ya hapo daima utaendeleza ubishi usio na maana.
Ndugu Ramadhani nadhani baada ya kupitia pia maoni ya bwana Aqeelah na wengine utaanza kupata ufahamu kuwa hakuna link yeyote kati ya sex na mtoto anaenyonya.Ni kweli manii yana component kadhaa kama protein na acid lakini protein zilizoko kwenye manii ni sawa na protein zilizoko kwenye samaki, mayai, maziwa nk na acid iliopo kwenye manii ni sawa na acid ilioko kwenye ndimu.Na ikiwa ziko sawa je, tunaweza kumimina maziwa, mayai na samaki wa kusaga kwenye uke ili vipate kumeng'enywa kama viko kwenye digestive system? Tupe jibu.
 
Duu !! kweli umeathirika sana kwani badala ya kuandika kiswahili unaandika Kikorea kitupu e.g. wang, charting, kwel , kbs, nkiwa ambapo mtu mwingine hawezi kujua kamwe umeandika madudu gani.Pengine umeishi sana nchini Korea, kwani huko ndo kuna pyong, yang, li sung, kim, kwel nk ambapo hiyo lugha wanaijua wao tu.Au pengine umegundua lugha yako binafsi ambapo ingekuwa bora uwafundishe kwanza watu kuwa wakiona maandishi kama ya Kikorea basi maana yake ni hivi.Kama hivi ulivyoandika ni ni lugha mpya bado haieleweki maana pia unachanganya na Kizaramo pia.
hahaaa!!!!!! unazingua mkuu umeelewa bana ndo mana tunajibaana vema tukiwa kwenye mstari mmoja wote
 
Sio kila mambo yanaweza kuthibitishwa kisayansi lakini kiuhalisia yapo jamani
 
Naunga mkono hoja, kuna sehemu nilikua naiba mwanamke mwenye kitoto kidogo almost miezi 9.
Na hakija haribika wala nini, tena mtoto ndio ana afya kupita maelezo.
Ni kuzingatia usafi tu baada ya intercourse.
Uache hyo tabia
 
Back
Top Bottom