mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Hakuna ukweli katika kubemenda mkuu ni kitu ambacho nimeuliza madaktari waliobobea mpaka madaktari wa watoto na jibu lilikuwa hakuna kitu kama hicho kama mtoto anapewa matunzo mazuri
Hizi habari umezitoa wap mkuu???HAPO NI HIVI NA UELEWE NA UKWELI NI KWAMBA MATOTO KUHARIBIKA MPAKA BABA AWE SI MTOTO WAKE YAAN MWANAUME AWE SI BABA WA MTOTO HUYO LAKINI KAMA MTOTO NI WA HAO WAZAZI WAWILI HAWEZI KUHARIBIKA HATA WASHINDE WANAPEANA KILA SAA MTOTO HAWEZI HARIBIKA
KWAHIYO HAPO KUNA KWAMBA
1_MTOTO YAWEZA AKAWA SI WA HUYO JAMAA MAMA ALIZINI AKAMBAMBIKIZIA MWANAUME WAKE
NA KUNA HASARA KAMA MTOTO SI WA MWANAUME HUYO ALAFU IKIWA MWANAMKE ALIFANYA MAPENZI NA MWANAUME AMBAE SI BABA WA MTOTO KABLA HAJAINGIA BLIDI (period)
UGUMBA WAWEZA FANYIKA
Note: si asilimia 100 kwa hilo jambo ila ndivyo kulivyo
Ahsante
Mkuu kwa bahati mbaya huyu mzazi wa kike hamnyonyeshi mtoto toka kazaliwa. Wanatumia maziwa tu baada ya kushindwa kabisa kutoa maziwa yake halisi. Na maziwa anayotumia alisema s26 baada ya kushauriwa hospitaliIPO msikatae kinachotokea ni kwamba Mtoto ni mchanga alafu mama anabeba ujauzito hivyo mtoto akinyonya anadhofika
sana,ata kufa .
Mshauri Rafiki yako wamwachishe kunyonya alafu wampeleke mbali kabisa na Mama yake apewe lishe safi atajirudi,joto la Mama ni Hatari kwa uhai wa Mtoto
Samahani Mkuu kama nimekuelewa vibaya kutokana na jibu nililoandika kabla. Suala la joto la mama nadhani ungelifafanua vema nasi tupate elimu hiyo.Soma vizuri kaka Mkuu,hapo mwisho joto la Mama ndilo Hatari ndio maana nikashauri mtt atengwe Mbali na Mama.
Anaye kataa vya kuambiwa huna vya kuona vikimtokea
Hizi habari nazifaham kwa mda mwingi bado nikiwa hata sijafikia age ya mapenzi mambo haya yapo hvyo mkuuHizi habari umezitoa wap mkuu???
Habari za uswaz utaziweza. Mimi nimeshuhudia watu kadhaa mwanamke amezaa katerekezwa mtu anamchukua anaishi naye kama mkewe na wanalea hicho kichanga na game linapigwa kama kawaida na mtoto anakuwa na afya teleHizi habari umezitoa wap mkuu???
Unaruhusiwa kuanza kufanya mapenzi na mkeo wiki sita tu tangu ajifungue, wiki sita ni sawa na mwenzi mmoja na nusu.Lakini ruhusa hii ni kwa wanawake ambao wamejifungua bila kukutana na matatizo ya kiafya.Kwa lugha nyepesi kwa wanawake ambao hawakupata shida yeyote ya kiafya inayohusiana na uzazi huo. Kubememba ni dhana potofu sana iliosambaa maeneo pana duniani.Kuzoroto kwa afya ya mtoto wakati ananyonya na wakati huo huo mama anafanya mapenzi na mumewe au wanaume wengine hakuna mwingiliano wowote kisayansi.Mtoto anazoroto afya kutokana na sababu zingine kabisa.Sababu hizo yaweza kuwa chakula kidogo au chakula kisichosahihi kwa mtoto.Uchafu wa mwili na mazingira ( poor personal hygiene and environmental pollution ).Akina mama wengi baada ya kujifungua huaacha watoto wao na wao huenda kazini.Wale walezi wanaoachiwa watoto mara nyingi hua wanapuuza kanuni sahihi za kulea watoto na mwisho mtoto anaathirika kiafya.Habari za muda huu waungwana!!
Sina uhakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa mada hii, lakini kama si sahihi basi moderator naomba muweke mada hii katika jukwaa husika
Siku ya leo nilipata bahati ya kumtembelea jamaa yangu ambae mkewe alijifungua muda kidogo. Mimi niliongozana na jamaa yangu mtu mzima kidogo kiumri kumsabahi huyu jamaa ambae mkewe alijifungua yapata mwaka hivi na miezi kadhaa.
Wakati ule yule mtoto mdogo ana miezi kama 7 hadi 8 alikuwa mwenye afya njema sana. Lakini kwa siku ya leo mtoto amenyongea na amekonda. Kiukweli afya yake haikuwa njema. Sasa baada ya maongezi na kuaga, wakati tukiwa njiani huyu jamaa yangu mtu mzima kiasi ndo akawa anasema 'yule mtoto bhana wamemharibu'. Nikamuuliza kivipi? Akasema yaani "wamembemenda"!![]()
![]()
. Nikamuuliza tena, kivipi? Akasema jamaa zako inaonekana wanacheza sana mechi"! Mmmh. Hakuelezea zaidi.
Sasa swali kwa wajuzi wa mambo nauliza je kuna uhusiano wa wazazi kufanya mapenzi na athari za afya ya mtoto? Kivipi? Kisayansi naomba uthibitisho
Acha kabisa kudanganya watu na huu upuuzi uliokubuhu.Je unaweza kuthibitisha kisayansi huu uongo wako.Tafadhali tunaomba references umepata wapi upuuzi huu au tuambie PATHOPHYSIOLOGY ya mtoto kuzoroto afya na mama anapofanya mapenzi kwa mume au wanaume wengine.Kama hujui kitu bora utulie kuliko kukurupuka na kutuletea vitu ambavyo scientifically invalid !!!.Hivi vitu vinauhusiano kabisa japo kwa baadhi ya watu huchukulia mambo haya kiimani zaid nahii ni kutokana na kukosa uthibitisho wa kitaalam kwa % kubwa.
Iko hiv 'mwanamke akiwa ananyonyesha na wakati huohuo akabeba mimba nyingine halaf akaendelea kunyonyesha, afya ya mtoto hudhoofika sana,
kudhoofika kwa mtoto hu7bishw na kuchafuka kwa maziwa, 7bu mwanamke anapobeba mimba baadhi ya homon ktk mwili wake hubadilika ktk mfuno wa utendaji kazi, tezi ktk kifua chake huanza kuzalisha maziwa kwa ajili ya mtoto alieko tumboni, hapa hutokea hali ya maziwa kuchafuka na kugeuka sumu kwa mtoto anaenyonya.
Sababu ya pili ni kua 'mwanamke akiwa mjamzito mwili wake huwa na joto kali sana na wakati huohuo akawa analala na mwanae mdogo joto hili la mama humuathiri mtoto na kufanya afya yake kudhoofika, hii haijalishi hata kama kamuachisha kunyonya kwa 7bu ya hiyo mimba, ila kama bado anaendelea kumnyonyesha hali ya mtoto huwa mbaya zaidi 7bu ya 'joto+maziwa machafu. Joto hili si joto la kawaida 'baadhi ya wataalam husema mwili wa mwanamke huanza kuzalisha kemikali kwa ajili ya usalama wa mama na mtoto alieko tumboni ndio 7bu ya joto hili kua na athari kwa mtoto anaelala na mama yke.
7bu ya tatu ni kua 'mwanamke anaenyonyesha kugawa uroda nje 'peku peku' hapa wataalam husema mbegu 'spms' za baba halali wa mtoto huongeza virutubisho ktk maziwa ya mama anaenyonyesha, kinyume chake mama akitoka nje peku au ikiwa hiyo mimba ulishkishwa ndipo mambo huharibika, ila hapa kuna somo pana sana kuhusu hizi mbegu za kiume namna zinavyo rutubisha na kudhoofisha, waweza unganisha dot hizi na dot za mshana jr ktk uzi wake akielezea mbegu za kiume namna zinavyo waathiri mashoga, jamaa aliongea vi2 vikubwa sana ila kwa haraka huwez muelewa.
Kunavitu vingi bado tunapaswa kufuatilia na kujifunza.