likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,086
Mambo mengine yamebase ki-imani zaidi kiasi kwamba hata wanasayansi hawawezi kutoa majibu ya moja kwa moja...Mfano hata mwanaume ukiwa na mtoto mchanga home ukaenda piga mechi ya ugenini ukaja home ukimbeba mtoto wako atadhurika...
jina lako nani vuleeeeNgoja nimuulize jirani ambaye inasemekana mtoto wake kafariki kwa sababu hiyo.
Unataka kuchepuka nini mama kichanga?Habari zenu wana jamvi? Naombeni ufafanuzi juu ya hili swala hapo juu.Kumbemenda mtoto au kumuharibu mtoto inasababishwa na nini haswa?mana kwa fafanuzi za mitaani inasemekana kuwa hutokea pale moja kati ya mzazi wa mtoto husika akichepuka na mtu mwingine ndio chanzo haswa cha kubemendwa kwa watoto?naomba wa juvi wa mambo mnijuze kiundani ili niweze kufahamu vyema swala hili.
Mbona nasikia hata baba wa mtotoKubemenda Mtoto ni pale mwanamke anaponyonyesha mtoto baada ya kugegedwa na mwanaume asiye baba wa mtoto pasipo kujisafisha.
Hivyo mtoto anakuwa ananyonya uchafu.
kwani baba ndio ana,myonyesha mtoto? baba atahusika kama atamla mama mzigo wakti mtoto ananyonya bila kutumia njia sahihi kulingana na wakti husikaMbona nasikia hata baba wa mtoto
PointKubemenda Mtoto ni pale mwanamke anaponyonyesha mtoto baada ya kugegedwa na mwanaume asiye baba wa mtoto pasipo kujisafisha.
Hivyo mtoto anakuwa ananyonya uchafu.
Naelekea kukuelewa, ila ulivyoongeza ...."..bila kutumia njia sahihi na wakati husika..", kidogo nimechanganyikiwa, naomba ufafanuzi mkuu tafadhali.kwani baba ndio ana,myonyesha mtoto? baba atahusika kama atamla mama mzigo wakti mtoto ananyonya bila kutumia njia sahihi kulingana na wakti husika
kum date mama pekupeku bila kutumia kondom au njia nyingine inayofaa wakti wa kujamiiana na mama wa mtotoNaelekea kukuelewa, ila ulivyoongeza ...."..bila kutumia njia sahihi na wakati husika..", kidogo nimechanganyikiwa, naomba ufafanuzi mkuu tafadhali.
It seems hujaenda shule an umeenda shule ya chini sana tena ya kata iliyokufaWanajamvi naomba nijuzwe kitaalam ni nini maana na chanzo cha mtoto kubemendwa.