Sasa Hapo Mbona Unatugusa Wazaramo Ndugu, Ok Haina Shida Umeeleweka Hahahahaha Retarded Growth Hili Neno Nimejaribu Kulitamka Naona Kama Linaweza Kunivunja Ulimi HahahahMi nadhani hii tuipe jina la lugha ya kigeni ili twende sawa.. Nadhani kwa lugha ile iliyokuja na ndege tungeita RETARDED GROWTH....
Kubemenda imekaa kizaramo zaidi...
Lakini maana halisi ni makuzi duni kwa mtoto..
Sasa hapo sababu zipooo nyingi saaanaa.. Ikiwemo na suala zima la lishe...
umeeleza vyema mkuu,,,lakini mimi naona kwa upande wa mama kutembea na mwanaume mwingine 'mchepuko' effects zake kwa mtoto ziko socially zaidi na sio kisayansi,,,,kwa mfano mama anaenyonyesha anapokua na mchepuko mara nyingi utakuta uhusiano wake na mumewe sio mzuri ivo ata yule mtt wa mumewe atakua hamjali most of the time yuko busy na mchepuko na wakati mwingine kushindwa kutoa maziwa ya kumtosha mtoto kwa sababu ya stress za kuhofia kugundilika nkUnajua dhana halisi ya mheshimu ni kudadavua zaidi na kutuachia hamisaa ya kufanya reseaech zaidi.
Sasa hapo kwenyw kujua hao virusi ndio tunaita research gap... So you better start your research from there.
Lakini kimsingi zaidi shahawa ni protein in nature and further more it contains some acidic material (pia zina acid), sasa kumbuka kazi kubwa au acid inachangia kuregeza kitu, au asili ya kuchoma.
Sasa mtoto ametengenezwa kqa shahawa za baba yake, kwa hivyo basi mwili wake utakuwa na element za aina ya acid inayopatikana kwenye shahawa za baba yake.
Sasa kumbuka kuwa, ila sijathibitisha, kama mama akifanya mapenzi na baba, kama mimba haita tungwa, basi zile shahawa zitakimbilia kwenye maziwa, na zingine kwenye wowowo, na kwa kuwa zina protein, huyu mwanamke ataanza kuwa na maziwa makubwa na big boot(lkn kumbuka sio kusex kwa siku moja, hii ili itokee ni lazima huyo mwanamke iwe tabia yake).
Na Ile acid zitabaki pale, na kama ana mtoto, huyu mtoto atazinyonya, na kwa kuwa ni za baba yake hazitamletea madhara yoyote.
Lakini kama sio za baba yake, lazima zitamnyong'onyesha, maana zitakuwa kama zinauchoma mwili wake.
Hapo ndo tunaanza kuona mtoto ana dumaa na ku experience hiyo kitu "KUBEMENDWA"
Male sperms are the reproductive cells contained in semen. The life span of sperms is 48 - 72 hours. The composition of sperm and how it moves in the vagina does not rely on any virus. If there are viruses in this concern you know, you may tell us otherwise remain silent!Siwezi kuongea hisia nikataja virus.
Kasome composition ya sperm na jinsi wanafanya wakiingia kwenye vagina
Thats all you know, like a std two pupil.Sp
Male sperms are the reproductive cells contained in semen. The life span of sperms is 48 - 72 hours. The composition of sperm and how it moves in the vagina does not rely on any virus. If there are viruses in this concern you know, you may tell us otherwise remain silent!
Hakuna virus wanaotengeneza spermatozoa.Thats all you know, like a std two pupil.
And who are you to order me to stay silent? Rafiki go back to books and sites
Wizi mtupu ! Hapo kubemenda=lishe duni baassiii hakuna manii wala mamii !! And off course na uchafu... Sawa ?!Unajua dhana halisi ya mheshimu ni kudadavua zaidi na kutuachia hamisaa ya kufanya reseaech zaidi.
Sasa hapo kwenyw kujua hao virusi ndio tunaita research gap... So you better start your research from there.
Lakini kimsingi zaidi shahawa ni protein in nature and further more it contains some acidic material (pia zina acid), sasa kumbuka kazi kubwa au acid inachangia kuregeza kitu, au asili ya kuchoma.
Sasa mtoto ametengenezwa kqa shahawa za baba yake, kwa hivyo basi mwili wake utakuwa na element za aina ya acid inayopatikana kwenye shahawa za baba yake.
Sasa kumbuka kuwa, ila sijathibitisha, kama mama akifanya mapenzi na baba, kama mimba haita tungwa, basi zile shahawa zitakimbilia kwenye maziwa, na zingine kwenye wowowo, na kwa kuwa zina protein, huyu mwanamke ataanza kuwa na maziwa makubwa na big boot(lkn kumbuka sio kusex kwa siku moja, hii ili itokee ni lazima huyo mwanamke iwe tabia yake).
Na Ile acid zitabaki pale, na kama ana mtoto, huyu mtoto atazinyonya, na kwa kuwa ni za baba yake hazitamletea madhara yoyote.
Lakini kama sio za baba yake, lazima zitamnyong'onyesha, maana zitakuwa kama zinauchoma mwili wake.
Hapo ndo tunaanza kuona mtoto ana dumaa na ku experience hiyo kitu "KUBEMENDWA"

Usilete siasa katika mambo muhimu ! We mchane tu kuwa jamaa kazingua kaingia chaka ! Basi ! sio unamlambalamba hapa iliuonekane una roho nzuri ?! Huyo jamaa yako ni muongo full stop !!umeeleza vyema mkuu,,,lakini mimi naona kwa upande wa mama kutembea na mwanaume mwingine 'mchepuko' effects zake kwa mtoto ziko socially zaidi na sio kisayansi,,,,kwa mfano mama anaenyonyesha anapokua na mchepuko mara nyingi utakuta uhusiano wake na mumewe sio mzuri ivo ata yule mtt wa mumewe atakua hamjali most of the time yuko busy na mchepuko na wakati mwingine kushindwa kutoa maziwa ya kumtosha mtoto kwa sababu ya stress za kuhofia kugundilika nk

Umefunguka vizur sana mkuu jamaa anadanganya umma wa JFHakuna virus wanaotengeneza spermatozoa.
Habari yako ni ya uongo na ndio maana unashindwa kujibu maswali niliyokuuliza.
Nazijua spermatozoa kuanzia zinapotengenezwa(spermatogenesis) katika testis,kubebwa na vas efferentia kupelekwa kwenye epididymis zinapohifadhiwa kwa mda mfupi mpaka kwenye vas deferens, na humo kote hakuna hoa virus unaowasema kama wapo wataje kwa jina.
Mwishowe unatakiwa ujue kisayansi hatuna kubemenda, ni imani tu.
Na ndio maana wanaotetea dhana nzima ya kubemenda hawana maelezo mazuri ya kisayansi yenye kueleweka how mtoto anabemendwa.
Acha kudanganya watu kwamba kuna virus anatengeneza spermatozoa.
Sp
Male sperms are the reproductive cells contained in semen. The life span of sperms is 48 - 72 hours. The composition of sperm and how it moves in the vagina does not rely on any virus. If there are viruses in this concern you know, you may tell us otherwise remain silent!
Inavyo onekana wewe huna shule kabisa. Most of the Viruses are pathogenic, they do not live inside the host as normal flora! Inawezekana umeaminishwa na wale waganga wa kienyeji wanaojiita madaktari. Jamani kama kuna Gynecologist humu ndani aje amsaidie kumuelimisha huyu jamaa.Thats all you know, like a std two pupil.
And who are you to order me to stay silent? Rafiki go back to books and sites
Tatizo jamaa nae mbishi mno, tunamwelewesha hataki kutuelewa tunamuuliza awataje hao virus anabaki kujikanyagakanyagaMkuu that's a bit harsh, watu tunaelimishana humu ndani sio kubishana. Kama kamis-lead unamuelewesha. Let's dare to talk Openly.
Ulirmuuliza ni M.D au ni wale wagangs tu wa elimu ya kawaida.Jana Tu Nimetoka Kumuuliza Hili Swali Dkt Kutokana Na Ubishi Wa Walio Wengi.
MAJIBU ALONIPA Dkt HAYA HAPA.
Hakuna ukweli ishu ni partner hygiene, baba unapima oil kwa mama au kumnyonya sehemu za siri then unashika matiti, badala ya mama kujifanyia usafi anakimbilia kumnyonyesha mtoto.
Mtoto ananyonya ziwa lenye uchafu, nini unategemea?
Unajua dhana halisi ya mheshimu ni kudadavua zaidi na kutuachia hamisaa ya kufanya reseaech zaidi.
Sasa hapo kwenyw kujua hao virusi ndio tunaita research gap... So you better start your research from there.
Hapa sawaLakini kimsingi zaidi shahawa ni protein in nature and further more it contains some acidic material (pia zina acid
Kitu kinachoweza kutofautiana katika sperm ya mtu mmoja na mwingine na kufanya utofauti wa kiumbe kipya kutokana na hizo content za sperm ni DNA pekee.Nothing else.Sasa mtoto ametengenezwa kqa shahawa za baba yake, kwa hivyo basi mwili wake utakuwa na element za aina ya acid inayopatikana kwenye shahawa za baba yake.
HAKUNA UKWELI WOWOTE KUWA SPERM ZINAENDA KWENYE MAZIWA NA WOWOWO.Ili kuthibitisha hilo unaweza kuweka mechanism ya transport ya sperm kutoka kwenye vagina hadi kwenye breast na matako kama mechanism ya assimilation of food.Ninachofahamu sperm ambazo hazikurutubisha zote zinatoka nje.kama mama akifanya mapenzi na baba, kama mimba haita tungwa, basi zile shahawa zitakimbilia kwenye maziwa, na zingine kwenye wowowo, na kwa kuwa zina protein, huyu mwanamke ataanza kuwa na maziwa makubwa na big boot(lkn kumbuka sio kusex kwa siku moja, hii ili itokee ni lazima huyo mwanamke iwe tabia yake).
Na Ile acid zitabaki pale, na kama ana mtoto, huyu mtoto atazinyonya, na kwa kuwa ni za baba yake hazitamletea madhara yoyote.
Kama ukithibitisha basi itakuwa kweli.Lakini kama sio za baba yake, lazima zitamnyong'onyesha, maana zitakuwa kama zinauchoma mwili wake.
Hapo ndo tunaanza kuona mtoto ana dumaa na ku experience hiyo kitu "KUBEMENDWA"
Niliongea Na Dkt Mwenye Bachelor Ya Medicine Mkuu.Ulirmuuliza ni M.D au ni wale wagangs tu wa elimu ya kawaida.
Sio kila tetesi unaweza kuifanyia tafiti wakati dhahiri inaonesha hakuna ukweli.
Hapa sawa
Kitu kinachoweza kutofautiana katika sperm ya mtu mmoja na mwingine na kufanya utofauti wa kiumbe kipya kutokana na hizo content za sperm ni DNA pekee.Nothing else.
HAKUNA UKWELI WOWOTE KUWA SPERM ZINAENDA KWENYE MAZIWA NA WOWOWO.Ili kuthibitisha hilo unaweza kuweka mechanism ya transport ya sperm kutoka kwenye vagina hadi kwenye breast na matako kama mechanism ya assimilation of food.Ninachofahamu sperm ambazo hazikurutubisha zote zinatoka nje.
Kama ukithibitisha basi itakuwa kweli.
Asee utakuwa ulipata 100 ya SAYANSI KIMUNgoja nijaribu na sayansi yangu ya darasa la 7B.
Kwanza jua mtoto ana bemendwa na mama yake.
Na kikubwa zaidi kinachofanya mtoto abemendwe ni uchafu na sio sex peke yake.
Fikiria mama anapika kwenye jiko la kuni.. Mimoshi kibao.. Majasho... Na wakati huo ametoka pia kuchota maji... Ghafla mtoto anaanza kulia.. Na yeye kwa huruma anamchukua na kumnyonyesha.. Jasho lote, moshi wote wa mwili na uchafu mwingine ambao pia upo kwa nje kwenye maziwa, mtoto ana nyonyaa.. Unadhani ukuaji wake utakuwaje!??
Fikiria baba na mama wana sex... Pembeni mtoti kalala... Baba kuonesha ufundi ataingia hadi chumvini... Tena na wengine wananyonya hadi 0713 ya mama.. Zen baba huyuu ataamia kwenye kunyonya matiti ya mkewe.. Au kuyaramba kwa nje.. Kumbuka mdomo huo huo umenyonya mbele na nyumaa.... Zen wanaanza ka mchezo.. Majasho kibao.. Ghafla mtoto analia... Mama anamchukua na kuanza kumnyonyesha.. Mtoto huyu atanyonya jashovl, uchafu wa mbele na wanyuma.. Maana baba naye alinyonya hilo ziwa.. Je unadhani bado mtoto anakuwa na afya njema kweli!?
Ntarudi tena baadae...