Kabla ya kuendelea kukuhoji kuhusiana na ulichokiandika ambacho mimi nakiita ni sayansi feki,unaweza kuwataja kwa jina, hao virusi wanaotengeneza shahawa?.
Unajua dhana halisi ya mheshimu ni kudadavua zaidi na kutuachia hamisaa ya kufanya reseaech zaidi.
Sasa hapo kwenyw kujua hao virusi ndio tunaita research gap... So you better start your research from there.
Lakini kimsingi zaidi shahawa ni protein in nature and further more it contains some acidic material (pia zina acid), sasa kumbuka kazi kubwa au acid inachangia kuregeza kitu, au asili ya kuchoma.
Sasa mtoto ametengenezwa kqa shahawa za baba yake, kwa hivyo basi mwili wake utakuwa na element za aina ya acid inayopatikana kwenye shahawa za baba yake.
Sasa kumbuka kuwa, ila sijathibitisha, kama mama akifanya mapenzi na baba, kama mimba haita tungwa, basi zile shahawa zitakimbilia kwenye maziwa, na zingine kwenye wowowo, na kwa kuwa zina protein, huyu mwanamke ataanza kuwa na maziwa makubwa na big boot(lkn kumbuka sio kusex kwa siku moja, hii ili itokee ni lazima huyo mwanamke iwe tabia yake).
Na Ile acid zitabaki pale, na kama ana mtoto, huyu mtoto atazinyonya, na kwa kuwa ni za baba yake hazitamletea madhara yoyote.
Lakini kama sio za baba yake, lazima zitamnyong'onyesha, maana zitakuwa kama zinauchoma mwili wake.
Hapo ndo tunaanza kuona mtoto ana dumaa na ku experience hiyo kitu "KUBEMENDWA"