kuna jamaa aliniambia kuwa kuna njia uzazi wa mpango inaitwa breastfeeding method ambayo mama anaweza kushiriki mapenzi ndani ya miezi 6 baada ya kujifungua na mumewe lakini sharti ni lazima mama awe anamnyonyesha vizuri mwanae angalau kwa siku si chini ya mara kumi na tano hiyo inapelekea homoni zinazosupport kunasa mimba ziwe bize katka utengenezaji wa maziw na kufanya mama asipate mimba katika kipindi icho