hata wewe unaweza kubemendwa ukitoka na mtu alokuzidi miaka....but if ur a man na mwanamke ndo kakuzid
Habari mzuri kaka kabangaMziziMkavu habari gani....?
Wandugu, kwanza hili jambo lipo!? Yan lina ukwel? Na inakua vipi mpaka mtoto anabemendwa??? Kwa wanaoujua tafadhali
Mm nafikiri ni sahihi la 7b mwenzanguNgoja nijaribu na sayansi yangu ya darasa la 7B.
Kwanza jua mtoto ana bemendwa na mama yake.
Na kikubwa zaidi kinachofanya mtoto abemendwe ni uchafu na sio sex peke yake.
Fikiria mama anapika kwenye jiko la kuni.. Mimoshi kibao.. Majasho... Na wakati huo ametoka pia kuchota maji... Ghafla mtoto anaanza kulia.. Na yeye kwa huruma anamchukua na kumnyonyesha.. Jasho lote, moshi wote wa mwili na uchafu mwingine ambao pia upo kwa nje kwenye maziwa, mtoto ana nyonyaa.. Unadhani ukuaji wake utakuwaje!??
Fikiria baba na mama wana sex... Pembeni mtoti kalala... Baba kuonesha ufundi ataingia hadi chumvini... Tena na wengine wananyonya hadi 0713 ya mama.. Zen baba huyuu ataamia kwenye kunyonya matiti ya mkewe.. Au kuyaramba kwa nje.. Kumbuka mdomo huo huo umenyonya mbele na nyumaa.... Zen wanaanza ka mchezo.. Majasho kibao.. Ghafla mtoto analia... Mama anamchukua na kuanza kumnyonyesha.. Mtoto huyu atanyonya jashovl, uchafu wa mbele na wanyuma.. Maana baba naye alinyonya hilo ziwa.. Je unadhani bado mtoto anakuwa na afya njema kweli!?
Ntarudi tena baadae...
Kumbe baba hawezi kumbemenda mtoto? OkNgoja nijaribu na sayansi yangu ya darasa la 7B.

Hahaha! Huyu la 7B yuko vizuri aiseeMm nafikiri ni sahihi la 7b mwenzangu
Kama sijakuelewa vile... How!??Mkuu uchafu wa sex sio uchafu mkuu
Ninachokifahamu mimi ni kwamba baba akichepuka anaweza kumbemenda mtoto na mama pia akichepuka anaweza kumbemenda mtoto. Ki sayansi ki ukweli sijui na ndo maana mtoto aliyebemendwa hata akipatiwa dawa za hospital haziwezi kumsaidia but za kienyeji zinamponesha kabisaKumbe baba hawezi kumbemenda mtoto? Ok
Mkuu mapenzi ni uchafu tayri. Sasa kama hupendi uchafu utapendaje mapenzi.?Kama sijakuelewa vile... How!??
Acha uongo bhana, hakuna mtu anathubutu kunyonya maziwa hali mtoto bado ni mchanga.Habari zenu wajameni?
Kuna hili swala la mtoto kubemendwa, na hii inasemekana hutokea pale ambapo mama anachipuka na mwanaume mwingine au pale ambapo baba anachipuka na mwanamke mwingine ambaye sio mamake na mtoto wakati mtoto bado ni mchanga.
Sasa najiuliza kuna ishara gani za kitalaam (kisayansi) ambazo zinamuwezesha mtoto kujua kwamba baba au mama katoka na mwingine?
Je, mbona hii hali haitokei pale ambapo baba ana zaidi ya mke mmoja? Kwa mfano siku ya kwanza baba kalala kwa mama Kamongo, kesho kalala kwa mama Omena na kesho kutwa kalala kwa mama Olunde (ambaye ndo mwenye mtoto mchanga). Kwa nini hapa Olunde habemendwi na huu ufuska wa baba kwa hawa mama wengine?
Kuna sababu yoyote ya kisayansi au haya ni maneno tu ya kitaa au huu ni uchawi wa kiasili? Naombeni msaada katika hili.
Ngoja nijaribu na sayansi yangu ya darasa la 7B.