Yakifanyika haya kwenu nyinyi ndiyo haki na amani. Uislamu na waislamu hawafanyi hivyo, wamefundishwa haki kwa kila mtu awe muislamu, mpagani hana dini. Waislamu wanasema, kwa mauaji ya Zanzibar yalikuwa dhulma na walioua wanastahili kuchukuliwa hatua na wanasema pia mauaji ya Mwangosi ni dhulma na walioua wanastahili kuchukuliwa hatua. Wala waislamu hawasemi kuwa kwa kuwa Mwangosi alikuwa mkristo basi alistahili kutandikwa na kuuawa. Kumbukeni ndugu zangu dhulma haiwezi kudumu milele, ingekuwa inawezekana basi ingedumu South Africa ya Makaburu.
Hujaeleweka mkuu.. Ina maana ccm ndio mfumo kristo? Nieleweshe
Hapo kwenye islam=peace=amani... Kulikoni kule somalia wanapoishi wenyewe au ndio MFUMO upo hadi kule
Radio Iman ni wachochezi,na bila shaka kuna mkono wa serikali nyuma yake,la sivyo ingekuwa imefungiwa tayari.
Mkuu Mtumishi naona umekuja live leo.
Jengeni shule na Hospitali za kutosha kisha ombeni hiyo MoU, mkinyimwa nitakuwa pamoja nanyi
kulalama.
wAkati Issa kama wanavyomwita alipozaliwa warumi waliamini atakuwa mtawala wa kidunia pia wayahudi waliamini ni mkombozi wao yaani atawakomboa toka utawala wa kirumi. je hili neno lilibaki kwao hao kaka za Israel mpaka leo kuwa mitume ni watawala na waweka mifumo ya utawala wa kidunia?. Isaa alisema yeye si mtawala wa dunia na akasema ziheshimuni mamlaka, na akatoa mpaka zaka. je nyie mwaamini utawala wa dunia ni wa nani. Wakristo wanajua kuwa vitu waliyonayo si ya kimwili/damu ni ya kiroho kwa hiyo hata muangamizapo mwili hamfanyi chochote maana funguo za kuzimu zilishanyang,anywa Isaa alipofufuka. Je mwaamini hayo?.
Chadema inakunyima raha sana ndugu yangu,vumilia tu,huwezi pingana na mabadiliko. kama vipi ungana nasi kwasababu huwezi kutusimamisha ktk harakati za ukombozi wa taifa letu.
Na wakristo wasiolalamika ndio walioipigia CDM??
hapa ndipo tunapogundua hizi hoja za udini zimeletwa jf makusudi .kuanzisha vita za kisiasa ,dhidi ya chama fulani.kutugawa wa Tz