Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Ni rahisi sana kulifungia mwanahalisi kwa kuwa linasema ukweli kuhusu madudu yanayofanywa na serikali ila radio imaan haiwezi kukemewa wala kufungiwa,si kweli kuwa inawasakama viongozi wakuu wa serikali,hilo ni changa la macho.Kwa nini watanzania tunakuwa wavivu wa kufikiri?Iweje tuna muda wa kujadili udini lakini hatuna muda wa kujiletea maendeleo?Kwa nini tushinde vijiweni na kuilaumu serikali wakati tuna uwezo wa kujiletea maendeleo,shule,zahanati,maji,umeme ni mambo yanayowezekana,hivi mihadhara ya kidini kama uamsho,ulokole inalipa sana au?Inachekesha sana,unakuta mtu anashinda msikitini au kanisani lakini jioni anaomba hela ya dagaa,watoto wanatembea ****** wazi na shule hawaendi.Amkeni ndugu zangu,udini haulipi.
 

Mkuu nimeipenda sana, statements zako ulizozitoa kwa indirect meaning, sababu hawa wenzetu Waislam wamekuwa wakitoa shutuma nyingi kwa Wakristo, Eti serikali ni ya Kikristo, Tungetegemea kama ungekuwa mfumo wa kikristo usingeruhusu freedom yoyote ile ya Waislam, My TAKE, is mambo ya udini kwenye nchi yetu hayana msingi kabisa, kwa maana wakristo na waislam ni ndugu. Hivyo kuna haja ya kuzidiscourage hoja zote zinahusu udini, ikiwa kwa kuzikemea kwa nguvu zote, Mwisho tumeweza kuangamiza Mambo ya ukabila iweje leo udini utawale vichwa vyetu. WALAANIWE WOTE WANAOLETA UDINI, MUNGU AWANYOOSHEE KIDOLE HATA KUWAADHIBU.
 
hakuna cha propaganda its a fact zipo wazi....taifa limehujumiwa kwa upendeleo huu..
mwaka jana pale Milenium school ya Pengo....ilikuwa shule ya kwanza sijui kwenye NECTA...hapa walimu waliweka vitabu chooni mwanafunzi anaenda chooni kuchakachua maswali anarudi ndani kwa masharti ya kuwapatia jawabu darasa zima...hatimae hii shule ilikuwa ya kwanza...na Ndalichako hakuwa na ubavu wa kufuta mitihani ya shule hii...si na ya katoliki bwana...
ushahidi upo mukitaka nendeni mukaangalie mitihani yao kama haijafanana,
na hapa shule alipelekwa mwanamama msimamizi ambaye alikua na mimba kubwa....akilala mwanzo wa mitihani mpaka mwisho....
so ngungu yangu hakuna cha propaganda ni ukweli kuna hujuma dhidi ya elimu Tanzania.
inawezekana wapo kabisa wanaofanya mitihani kwa akili zao lakini sio rahisi tena kujua yupi amependelewa na yupi ana akili szake.
hapa ndio tumefika....
ngoja nikuulize swali kwa nini hii mitihani isifanywe kwa wanafunzi kupewa namba za siri na matokeo yawe kwa kutumia namba za siri ? kwa nini watu wanakataa hili? why why ? duniani kote unafanya mitihani kwa namba za siri.
kama unaona hakuna hila huko NECTA basi fanyeni kampeni kubwa na ya nguvu zitumike namba za siri kufanyia mitihani na results zitolewe kwa namba pia ....
 
Wewe ni mgeni JF?

Hivi ni kwanini haya.madai waislamu
kuonewa na mfumo kristo
unaodaiwa .kwanini Rais mwinyi na
sasa Rais Kikwete wasitolee kauli
kuthibitisha au kukanusha ili kukata
mzizi wa fitina ? Kwa kukaa kwao kimya ni dhairi .ndio wahusika wa hizi
harakati zinazo endelea ,Na kama
sivyo ndivyo Basi Mwinyi na Kikweke
wanastahili .kuwa wasaliti wakubwa
wa uislamu na waislamu wa
Tanzania .na kafari ndio jina litakalo wastaili ,kwa ushauri waislamu
kwakuwa Mwinyi na
Kikwete .wanaingia msikitini pangeni
siku atakapo kuja mmoja
wapo .kusanyikeni msikitini mzuine
mpaka awaelezeni ukweli .jinsi ambavyo wamekuwa wanaendesha
nchi kwa kuwasaliti kwa kutumia
mfumo kristo kuwaonea waislamu ,au
njia ingene watengeni wasije kusali
nanyi mpaka watakapo waeleza
ukweli kama ni kweli au uongo .ili kupata suluhuu ya haya malalamiko
yenu.kwani hii njia kuzunguka huku
na kule .ni uoga ambao ni dhambi
mbele ya MUNGU .nakama mnavyo jua
dhambi uzaa mauti ..Kikwete huyo
hapo msikitini .huku kujizungusha kueneza chuki .kunatoka wapi ,jibu
mnalo mnalikalia .mmekalia dhahabu
mnaomba ,Hivi ni kwanini haya.madai waislamu
kuonewa na mfumo kristo
unaodaiwa .kwanini Rais mwinyi na
sasa Rais Kikwete wasitolee kauli
kuthibitisha au kukanusha ili kukata
mzizi wa fitina ? Kwa kukaa kwao kimya ni dhairi .ndio wahusika wa hizi
harakati zinazo endelea ,Na kama
sivyo ndivyo Basi Mwinyi na Kikweke
wanastahili .kuwa wasaliti wakubwa
wa uislamu na waislamu wa
Tanzania .na kafari ndio jina litakalo wastaili ,kwa ushauri waislamu
kwakuwa Mwinyi na
Kikwete .wanaingia msikitini pangeni
siku atakapo kuja mmoja
wapo .kusanyikeni msikitini mzuine
mpaka awaelezeni ukweli .jinsi ambavyo wamekuwa wanaendesha
nchi kwa kuwasaliti kwa kutumia
mfumo kristo kuwaonea waislamu ,au
njia ingine watengeni wasije kusali
nanyi mpaka watakapo waeleza
ukweli kama ni kweli au uongo .ili kupata suluhuu ya haya malalamiko
yenu.kwani hii njia kuzunguka huku
na kule .ni uoga ambao ni dhambi
mbele ya MUNGU .nakama mnavyo jua
dhambi uzaa mauti ..Kikwete huyo
hapo msikitini .huku kujizungusha kueneza chuki .kunatoka wapi ,jibu
mnalo mnalikalia .mmekalia dhahabu
mnaomba ,
 
udini utatuoeleka pambaya sana na hatima yake ni vita ya kimbali
 
ww ndio kabisa unatizama mambo kijuujuu hao sio watendaji wakuu, watendaji muhimu wapo chini yao. Hao watatekeleza yale ambao hao wachini wameyaona yanafaa na wameyafanyia kazi
 
dhana ya mfumo kristo sio kwamba kuchafuka kwa nchi imesbbishwa na wakristo, dhana hyo imekuja baada ya waislamu kuwa wanakandamizwa mfano mzuri juzi kati hapo necta kuhujumu matokeo ya waislamu na serikali kukiri hilo, ni wazi hujuma zipo.
Mfumo wa kiuchumi au kisiasa hapo hapana sio wakristo hapo wameshiriki wanancho wote na hasa CCM. Dhana hyo inaweza kufutika iwapo serikali itaacha ukandamizaji huo.
Hospitali na vyuo vya kanisa ni matokeo ya mipango yao mizuri na uwekezaji wao katika elim na afya, pia tangu ukolon wamishionary walijenga shule na hospitali, mwarabu yeye alibeba watumwa tu na kusepa zake. So serikali iache watu wote wawe sawa na huru na mambo ya iman yao ilimradi sheria za nchi zisivunjwe. Hapo dhana hyo haitakuwepo.
 
Mkuu Waislam wote sio CCM wala Waislam hawafungamani na upande wowote kama unavyotaka kulazimisha wewe Waislam ni CCM, wanaofaidika na CCM ni Wakiristo.
Sasa mbona mnasema CDM haiwezi shinda bila kura za Waislamu
 

Pole ndugu, umelishwa sumu ya kutosha, jaribu kufanya utafiti ktk shule ulizodai zina pendelewa
uone mazingira ya shule ikiwemo miundombinu na upatikanaji wa nyenzo za kujifunzia, idadi ya wanafunzi, namna walimu wanavyo fundisha, mchujo unaofanyika
mpaka mwanafunzi kufika siku ya kufanya mtihani wa mwisho (kuna kiwango cha ufaulu hapo).
Kisha linganisha na hizo una zolalamika wamefelishwa utapata jibu.
 
Chadema ni taasisi wewe unatumia mawazo ya mtu binafsi kuihukumu.

Unaniletea porojo wewe humu JF tunajuana kwa michango yetu ndio maana niliyomjibu kakaa kimya wewe umekurupuka kujibu tu, taasisi ya wapi Kaskazini.
 
Jibu atapata kabla hata ya kwenda field kukusanya data.
 

Mi Napatwa na Hasira sana
Kumsikia Mtu anasema "Dini
yangu Tunaonewa" hivi Ni
Mtanzania Gani Anafuraha na
Maisha ya LEO??? Kila
Mtanzania Anaonewa na Kunyanyaswa....

Watanzania wanauawa
hovyo ila Akiuawa wa Dini
yako Eti unaona anaonewa
huu si Ubaguzi Jamani.. Yaani
mtu unakuwa na huruma
kwa Mtu unayemjua Pekee wengine waache Wafe....
Daah
 

Kamanda punguza munkari! Hizo mamba ulizozitaja zimewasaidia sana waislam
 
Umejidhalilisha mwenyewe kwa hoja zako, sisi hatuangalii waziri ni Muislam au Mkristo, tunachoangalia haki itendeke, eti tukae kimya kisa waziri muislam?? Non sense! Halaf nani kakuambia sisi tunaridhika na majina/vyeo vya viongozi?? Hilo somo unavyolidharau kwetu ndio muhimu sasa, na pia Islamic knowldge ni kama mfano wa dhuluma/ushahidi wa kuwakamtia how about masomo mengine?? Nani yupo na uhakika kama mnafelisha watoto zetu halaf mnatoa majibu mepesi na kuomba radhi daily. Enough is enough...
 
Tangu harakati za kupigania uhuru mpaka sasa waislam kukaa kimyaa kweli hawana uvumilivu!! Sasa unataka wakristo walete fujo wakati MoU inawanufaisha nyie, kga wee vp?? Juzi tu mmepewa Billion 60 na serikali na kuahidi kumalizia Billion 40, hivi mlishamaliziwa eehh???
 
Kamanda punguza munkari! Hizo mamba ulizozitaja zimewasaidia sana waislam

Muislam hawezi saidiwa na mawazo mgando kama ya akina Max, makalio sorry masanilo etc. Tutake radhi mchungaji a.k.a swahiba wa Loliondo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…