Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Watuambie walivyompata, na hao watekaji walikuwa na nia ipi. Ila yote kwa yote tumshukuru Mungu alivyopatikana kaka wa watu.
Bado hajapatikana mkuu zile zilikuwa ni drama za bw makonda na mitandao ya kijamii pia police yewenye wamekanusha juu ya kupatikana kwake
 
Hapa tu game lote limeishia kutoa taarifa za kupatikana halafu dakika mbili mbele inakanushwa

Kuna dhana nyingi hapa either waliomteka wanafuta ushaidi walio acha kwenye tukio zima

Ama waliomteka wana buy time kwa kutoa misleading information ili wamalize kazi yao iliyo pelekea kumteka Mo

Ama huyo aliyekurupuka kusema amepatikana ameonywa na wakubwa zake juu ya kauli hiyo kwamba itaacha maswali hivyo akanushe

Ama walio mteka walisahau kuja na contiguous plan ya taarifa za kuwafeed uma hivyo wanajiandaa sasa hivi .

Au pengine sasa hivi yuko anasafirishwa kwenda kusiko julikana ,ndani ya nchi ama nje ya nchi nk

Ama walio mteka ni watu wa system wa nchi Jirani halafu pendwa ,hivyo wameshtukiwa na Wakuu wanapigiana simu sasa hivi kuona namna ya kulimaliza (Lengo hapa likiwa ni kuichafua Tanzania)

Nadharia ni nyingi

Makonda jifunze kuwa na akiba ya maneno acha kuendeshwa na ashki na mihemuko
I like ur assumptions.
 
Ila president ana moyo wa kumwacha huyu mtu mpaka leo kuwa na hichi cheo?Yaani namwoneo huruma my president kiasi naona hana option.Yeye anaongea vitu vyote hivyo ili nini,kwanini asimwachie polisi anayehusika?ishu ya wazungu nani kamwuliza.Yaani sijawahi kumpatia mfano mtu wa design yake kwa kweli.Kwani angenyamaza kimya angeulizwa haya basi ongea yenye maana mfano polisi wameshapata habari uchunguzi unaendelea mwenye taarifa awajulishe polisi.Polisi na professional yao wameongea simple and clear.Natamani nikutane nae nimpe ushauri kiduchu tu sio kila kitu siasa
Matamshi yake yamesha damage mno aisee, hata hyo kukanusha bado haijasaidia sana.
 
Ndugu yetu huyu kwa nafasi yake ya mkuu wa mkoa kasema WALE WAZUNGU NI WAGENI!
Kajuaje kama ni wazungu kweli
Kajuaje kama ni wageni!?
Ana taarifa zao?
Wamekamatwa?
Kwa kupayuka huku mtu anaweza kuharibu kila kitu ama kugeuka na kuwa chanzo cha habari na kuacha mashaka mengi.....

Mpaka kinachosemwa ni Mo katekwa na majambazi...lakini bado hatuna hakika kwa asilimia zote ninini hasa kimetokea....wakati tukiendelea na huu mjadala tuwe makini na kauli zetu,tusije tukajikuta ni sehemu ya ushahidi..
hivi vyeo vya wakuu wa mikoa virudi kama zamani watu wapewe wenye umri mkubwa(tena kama zawadi kama zamani mwandishi au mtumishi mwaminifu wa serikali anaweza kupewa ukuu wa wilaya) angalau kuanzia miaka 45 tena wenye hekima wanaoweza kuhimili mihemko na kufuata taratibu za kazi.
 
Moderator huu ni uchambuzi wa viashiria mbalimbali na uhalisia wa tukio baada ya Mo kutekwa hivyo naomba msiunganishe huu uzi na zile nyingine zinazoripoti

Habari huanza kama tetesi ama uvumi hilo limekwisha fanyika
Baada ya tetesi ama uvumi kuthibitika ni kweli habari husika hukoma kuwa tetesi ama uvumi.

Kinachofuata baada ya hapo ni breaking news hapa kila mtu huongea lake la masikitiko la majonzi la huruma nknk....tuko kwenye hatua hii kwa sasa

Vumbi likishatulia ndio uchambuzi huanza..na sasa ni muda wa uchambuzi na sio tetesi wala breaking news tena!

MO KATEKWA! ndio habari kubwa kwa asubuhi hii ya tarehe 11.October.2018
Kila tuko linalotokea huwa na mlolongo huu
Wazo
Sababu
Mchoro/mpango
Muda
Wahusika
Vitendea kazi
Bajeti
Uchaguzi wa eneo la tukio
Nani afanye nini nknk

Matukio ya utekaji huambatana na
Visasi
Fidia
Vita ya kibiashara
Mambo ya kisiasa
Mapenzi na mahusiano...nknk

Kutekwa si jambo geni masikioni mwetu ,wengi walishatekwa ....wachache wkapatikana wakiwa hai na wengine wafu....wengine hawakupatikana tena.

Kwanini MO?
Huyu si mtu mdogo ni mfanyabiashara mkubwa mwenye mafanikio mengi...amewahi kuingia kwenye kumi bora na ishirini bora za matajiri vijana duniani, Afrika na hata katika mgawanyo wa kikanda... Kumteka huyu maandalizi yake si ya kitoto
Wiki moja Kabla nilimuona akifanya mahojiano na mwandishi mmoja ..sikumbuki ni kituo gani cha luninga ...lakini katika mahojiano yale alitaja mafanikio yake mengi na pia kuelezea ratiba yake ya siku nzima na wiki pia
Kwa maneno yake mwenyewe hii ndio ratiba yake

Anafika ofisini saa 12 asubuhi na kuanza kusoma na kujibu emails mpaka saa mbili asubuhi
Baada ya hapo hujipanga kuingia kwenye vikao vya bodi mbalimbali kuhusiana na makampuni yake.

Akimaliza kwenye saa sita nadhani hupata wasaa wa kupitia magazeti mbalimbi,kupumzika na ikifika saa nane HUENDA GYM kupata lunch na baadae kurudi ofsini mpaka usiku...weekend hukutana na marafiki na hupata muda wa kuwa na familia pia.

Leo alfajiri katekwa akienda/akitoka gym! Ni wazi kwenye yale mahojiano alidanganya kuwa anaendaga gym mchana...hii haina shida ni mbinu shirikishi ya kujilinda

Je, watekaji wanataka nini kwake?

Ni wazi hawana nia ya kumdhuru la sivyo wangeshamaliza mchezo pale pale walipomtekea.

Kwa jicho la haraka hawa wanataka fidia (ransom )na kama hili likithibitika basi tutakuwa tumeingia kwenye zama mpya mbaya sana kiuchumi na swala zima la uwekezaji....

Je kwasasa yuko wapi?
Its a million dollar question...lakini watekaji ni watu waliojiandaa hasa...eneo walilomtekea lina ulinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi yenye vifaa vya uhakika lakini pia kuna CCTV CAMERAS...hivyo basi walijua wanachokifanya na hata kuruhusu waonekane kama ni wazungu ni cover up nyingine...siku hizi kuna vinyago vya kila aina.

Kiinteligensia Dar ni padogo sana na eneo letu la bahari liko huru mno...ni rahisi mno kutega speed boat ufukweni maeneo ya Coco na kuondoka na mtu salama salimini...

Neno la Makonda
Kwa kawaida baada ya mtu kutekwa watu husubiri masaa24 kusikia watekaji watasema nini...kipindi hiki cha mpito mamlaka husika hukaa kimya kabisa zikifuatilia kwa Karin kila taarifa...sanasana zitatoa tu taarifa kuthibitisha tetesi...huwa hazikurupuki kupayuka!

Ndugu yetu huyu kwa nafasi yake ya mkuu wa mkoa kasema WALE WAZUNGU NI WAGENI!
Kajuaje kama ni wazungu kweli
Kajuaje kama ni wageni!?
Ana taarifa zao?
Wamekamatwa?
Kwa kupayuka huku mtu anaweza kuharibu kila kitu ama kugeuka na kuwa chanzo cha habari na kuacha mashaka mengi.....

Mpaka kinachosemwa ni Mo katekwa na majambazi...lakini bado hatuna hakika kwa asilimia zote ninini hasa kimetokea....wakati tukiendelea na huu mjadala tuwe makini na kauli zetu,tusije tukajikuta ni sehemu ya ushahidi..

Tumuombee...tuiombee familia yake ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha sintofahamu kubwa
asante kwa uchambuzi mzuri. mungu akubariki
 
Huyu angewekwa pembeni afanye mengine asubiri kupewa taarifa na watu wenye fani zao....
Hapo kwenye kumuacha huyu ndio nazidi kupata mashaka sana kua anatumwa na mteuzi wake. Na kwakua kichwani kuna tope kila afanyalo linabuma.
 
Umesema kweli kaka ni mambo muhimu kwa mwenye kutafakar kwa kina thenx tuache dhana kwa sasa
 
This is fast n furious....! Coco beach again ....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji1562]what a coincidence!!!View attachment 894225

Hivi kumbe mtu anaweza aka 'OKOTWA' mfano mimi nipite zangu tu alafu nimuone mtu mahali nimu 'OKOTE' [emoji23][emoji23][emoji23]

Hold on! Hivi nyie raia wema wa Dar, hammiliku smartphone??, mbona hamjapigamo tupicha tu chache kabla ya kuripoti?, mmeshindwa ata na msukuma aliyepiga picha Mv Nyerere ikizama

Kwa mara nyingne wanaume wa Dar wametuangusha, mmeshindwa ata piga picha? Embu changamkeni kidogo.
 
kweli usishangae wanataka tusahau ya UDART, chaguzi ndogondogo, kuhama vyama n.k
Kwani mkuu hilo la UDART tukiendelea kuli discuss sisi kupitia hizi comment zetu,kuna effect yoyote tungeleta?
Tatizo sisi tunapenda kudandia dandia matukio alafu mwisho wa siku hakuna effect yoyote ile
 
Ndio yuko hai

Nahuja, Kule kwetu jina lako ni neno flan kikwetu. Yaani; Nanyamaza!!!! au Naufunga mdomo wangu. Au Nimekoma. Sasa, wewe unaanza maneno yako ya kuwa; Kapatikana, kaonekana, tena yu hai. Tupe chanzo chako cha habari. Acha kudandia nyuzi za watu weye. Kama hao wasiojulikana wameweza kumwinua mtu ka kipanga sehemu ilojaa kamera na tv na bado wakaondoka naye hata ka ni mita 4 tu bila kukamatwa weye si zaidi kutolewa hapo kwa keyboard yako na kwenda kuisaidia polisi. Nekutio; Huja chwiii we Nahuja
 
Hivi kumbe mtu anaweza aka 'OKOTWA' mfano mimi nipite zangu tu alafu nimuone mtu mahali nimu 'OKOTE' [emoji23][emoji23][emoji23]

Hold on! Hivi nyie raia wema wa Dar, hammiliku smartphone??, mbona hamjapigamo tupicha tu chache kabla ya kuripoti?, mmeshindwa ata na msukuma aliyepiga picha Mv Nyerere ikizama

Kwa mara nyingne wanaume wa Dar wametuangusha, mmeshindwa ata piga picha? Embu changamkeni kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi sio wa Dar ngoja waje wenye mkoa wao
Mlevi mmoja alipita jalalani akamkuta chizi kalala uchi hana nguo...akasikitika sana akasema hawa binadamu tajiri sana yani matako mazima kabisa haya wameyatupa...NGOJA NIYAOKOTE.....
 
Hufahamu chochote kwenye dhana nzima ya intelijensia ....huyo unayemtetea alikurupuka na tayari keshasema alinukuliwa vibaya
Waandishi ndio walikurupuka nimeisikiliza clip mara 3 hakuna sehemu kasema amepatikana nenda kasikilize upya but habari ya wazungu even mambo sasa kaisema.
 
Back
Top Bottom