Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Kwa nini mpaka sasa CCTV footage hazijawa released tusaidie kufanya utambuzi, au nazo zitanyofolewa?
Hizi habari zilikuja baadae zikakanushwa!!!Nahuja, Kule kwetu jina lako ni neno flan kikwetu. Yaani; Nanyamaza!!!! au Naufunga mdomo wangu. Au Nimekoma. Sasa, wewe unaanza maneno yako ya kuwa; Kapatikana, kaonekana, tena yu hai. Tupe chanzo chako cha habari. Acha kudandia nyuzi za watu weye. Kama hao wasiojulikana wameweza kumwinua mtu ka kipanga sehemu ilojaa kamera na tv na bado wakaondoka naye hata ka ni mita 4 tu bila kukamatwa weye si zaidi kutolewa hapo kwa keyboard yako na kwenda kuisaidia polisi. Nekutio; Huja chwiii we Nahuja
Awamu hii tunatengeneza hofu tu( terror). Hakuna cha tajiri. Tulishasema malaika wataishi kama mashetaniKwenye hili sitaki kuwa shahidi....kama Tajiri mkubwa kama Mo anatekwa kirahisi hivyo je sisi tunaonza kusimama tutafanywaje!!!!
Ma
Makonda ni mwenyekiti wa kamati ya usalama na ulinzi wa mkoa wa mwanza chochote anachosema ni ripoti aliyopewa na walioko chini yake means kamanda wa mkoa na wenzake sasa anakuaje sourse ya habari?
Hizi chuki zitatuua
OK asante kama la wazungu ni kweli basi tuna DAB ana maono makubwa sana
Usije ukwa Anko wake na Bwakila!!!!!! Kumbuka Roma tuliam biwa atapatikana akapatikana na huyu naye yale yale. Unganisha dots.............[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dah...hivi zile "TV" zetu siku hizi hazipo?[emoji41][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yanga wamefanyaje mkuu?yangA yanga
Jaman yanga nyie