Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,942
R.i.p T Maji ..Kaka una umri gani? Kama una umri kidogo ungejua kuwa Mzee Reginald Mengi anao ulinzi tangu kipindi alipofukuzwa na gari liliokuwa na watu "wabaya". Kufuatia tukio hilo aliyekuwa RPC Tryphone Maji na Katibu Mkuu Silvano Adel Lando (r.i.p) waliwajibishwa