Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

na hawezi kutoa izo videos maana itaathiri uhusiano wa ki diplomasia
by the way walijuaje ni wazungu wakati mashuuda wadai watekaji walvalia kininja?
Ana maono ya kuona mpaka ndani kabisa
 
Hili ni jambo la aibu sana kama kweli katekwa watu kama hawa wakina Mo ni walipaji kodi wa kubwa wa nchi wanatakiwa walindwe na serikali na hao TISS kila wanapoenda bila ya wao wenyewe kujua kutekwa kizembe hivyo halafu serikali ipo ipo tu inatia shaka wawekezaji wa kubwa wa nje kuona je mazawa anatekwa kizembe wao wageni je? Ni aibu hata kama ni mchongo wa kuzima madudu mtumga sinema kafeli big time
Kila MTU anastahili kulindwa na serekali equality before the law....ila kwa hawa wenye nacho, wanaweza kwenda extra mile kwa kujiwekea ulinzi makini binafsi...I think u get my drift...
 
Kina john bokoo
washaanza Ku post masikitko yao,kama kuna MTU kafanya igizo basis ajue katuchomesha mechi
Ya cape Verde,wqchezaji Wa simba watakuwa na stress Sana
 
Huyu jamaa hanaga ratiba ya kwenda kwenye makasino ucku kucheza kamari maana isijekuekuwa Jana alipiga mzigo
 
Ni nini kimekufanya uhisi kuwa wanataka fidia? Kwa sababu tu kwamba MO ni tajiri au? Hata Zakaria wa Mara nae ni tajiri, je watekaji walikuwa wanataka fidia?

Umeungana tu na yule alikimbilia kusema ni wazungu, na ni wageni, kwa nini ukimbilie kusema hivyo wakati hawajakamatwa?, ni nani unamuepusha na lawama?
 
Kama watekaji wangetaka kumteka mo, wangemteka akiwa anatoka nyumbani, na sio huku gym ambapo watu wengi wanaona.

Pili, watekaju huwa hawateki matajiri, kwani tajiri hana pesa mkononi, na pia inakuwa ngumu kumshinikiza atoe pesa kutokana uchunguzi wake huwa mkubwa mno. Wangemteka mwanaae hapo sawaa.

Mo kaingia kwenye muvi ya kishamba sana, kajiharibia credibility. Urafiki na bashite utampunguzia heshima.
 
[emoji16] [emoji16] nabii yeye naibu raisi yeye mkuu yeye waziri wa wizara zote yeye mte... ji yeye komando yeye
.....mengine malzia mwenyewe
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1540][emoji1540][emoji1540]
 
Huyu mtu anatakiwa atolewe kwenye hii nafasi, ni mzigo kuliko faida. Cha ajabu anasema hilo suala lisigeuzwe kuwa mtaji wa kisiasa. Yeye linamhusu vipi kama sie anayeingiza siasa kwenye suala linalohiyaji weledi na intelejensia ya jeshi husika?
Na ndio yeye kila siku anakuwa chanzo ca kuharibu mission zao Refer kutekwa kwa ROMA nanukuu"Msiwe na shaka ndugu zetu hawa watapatikana kabla ya masaa 24" na kabla muda kufika kweli walipatikana.

Something behind this shit.
 
Watu mna ugonjwa Wa kupenda kuanzisha thread hasa mkipata kichwa cha habari
Na inathibitisha ni GT. Kwani kujazia nyama fikirishi na zilizonona kwenye kichwa cha habari si mchezo.
 
Kama watekaji wangetaka kumteka mo, wangemteka akiwa anatoka nyumbani, na sio huku gym ambapo watu wengi wanaona.

Pili, watekaju huwa hawateki matajiri, kwani tajiri hana pesa mkononi, na pia inakuwa ngumu kumshinikiza atoe pesa kutokana uchunguzi wake huwa mkubwa mno. Wangemteka mwanaae hapo sawaa.

Mo kaingia kwenye muvi ya kishamba sana, kajiharibia credibility. Urafiki na bashite utampunguzia heshima.
Pengine kweli but what's the motive behind ? Kumrudisha bashite kileleni? This is from the crooked rib.....!!!!
 
Back
Top Bottom