Dhambi zilizozoeleka

Dhambi zilizozoeleka

Kwa hiyo mtu anayetoka nje ya ndoa anafanya uzinzi na uasherati na mtu aliye ndani

Hapo mkuu sijakuelewa vizuri, hebu tumia lugha nyepesi kidogo tupate kuelewa!
Mtu mmoja huyo huyo anaweza kuwa na vyeo vingi..lakini je vyeo hivyo vitabadilisha uhalisia wake?
Akiwa nyumbani ni baba mama au cheo chochote cha kifamilia
Akiwa kwa ndugu ni kaka dada mjomba shangazi nk
Akiwa kazini ni cheo cha kazini
Akiwa kwenye daladala ni abiria
Akiwa mtaani ni bwana yule nk nk
Kinachombadilisha ni mazingira ya nje...uhalisia unabaki uleule
 
Kuna tudhambi twengine ni inevitable bro... yaani huwezi kukatubu maana ni lazima urudie tena na tena!
Ndio maana kiimani tunaaswa kuishi kwa unyenyekevu toba na kusamehe...hatuna haja ya kuumiza na kufisha uumbaji huku tukijinadi kama wakweli na washika dini. ..Mungu hapendi
 
😳 😳 😳 kwani Yahaya..... 😎[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mkuu dhambi ya wizi(Fungu la kumi 10%) ni ngumu kuepuka.

Kumbuka 10% sio tu kipato inajumuisha hata ukipewa hela au zawadi inabidi utoe 10%.

Hapo ndo utajua hata unaemwambia dhambi zako aliwahi kua mwizi!
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Nje ya mada: nasikia Mv Dar inakaribia kutoka karakana baada ya kurekebishwa mwendokasi
 
Ndio maana kiimani tunaaswa kuishi kwa unyenyekevu toba na kusamehe...hatuna haja ya kuumiza na kufisha uumbaji huku tukijinadi kama wakweli na washika dini. ..Mungu hapendi
Jumapili almost dhambi zangu zote naziacha(ga) kanisani!
 
Alafu wakisikia mwizi eti ndo wa kwanza kuleta kuni na kiberiti
Naumia sana nikikumbuka habari za kuachwa pekeyake na jokakuu....mimi kama mzazi naumia sana
70357d017eb9cb20ced3db159b632219.jpg

Halafu bado tuna guts za kuingia nyumba za ibada kama watakatifu sana? [emoji46][emoji46][emoji46][emoji47][emoji47][emoji47][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kweli mkuu, utaona binadamu mwingine anatoa povu kuwasema wengine kuwa ni watenda dhambi, wakati naye ni mtenda dhambi mkubwa, hapa duniani hakuna mtakatifu na wote makwazo haya hayana budi kutukuta. Cha msingi ni kujitakasa kila wakati!

Mkuu;
Mbona tena unaleta mambo mengine yasofaa humu?? Nikikusoma vizuri wewe sihitaji msaada wa kinabii kutambua kuwa weye ni mkatoliki au Muangelikana. Na, nikienda mbele zaidi, nadhani una ka dhambi kako unataka kukahalalisha hivi ili kwamba kwako kawe kamzigo kepesi hivi.
Swali langu ni hili; Nnani kakuambia ati hakuna watakatifu humu duniani?? Nakuthibitishia kama unaliamini neno la Mungu, WAPO na hao ndio Mungu wetu amependezewa nao. Ndo maana hajaja kuiangamiza dunia hii ilojaa waovu ka weye mnaoihalalisha dhambi. Ati tunajitakasa kila wakati. Pole zako. Wadhani kuwa ingalikuwa hivyo Mungu angelisema; Dhabihu na sadaka amezikataa? Hizi zilikuwa ni damu na nyama za kondoo na mbuzi na mafahali yalokuwa yakichinjwa kila mwaka kwa toba ya dhambi ulizotenda. Siku hizi wameongeza ulaini zaidi kuwa mpaka zile utakazotenda siku zijazo hadi mfungo mwingine.
Zinduka, utafute wokovu kwani upo na umeshapatikana tiyari ndo maana tunamwita; Yesu Kristo Mwokozi wetu.
 
Dhambi mbaya 2 ambazo zimezoeleka na hazihesabiwi kama dhambi:

1- Hasira
Bible inasema amuoneaye hasira ndugu yake imempasa hukumu mathayo 5;22. Yaani hata mchungaji anakasirika na kujihesabia haki tu. Kumfyolea ndugu yako ni dhambi.

2-kusengenya in the name of ushuhuda
Wapendwa wanaongoza kwa majungu, umbea, uzandiki na mengineyo. Yaani itaitwa ushuhuda na kusambaa kila mahali
 
Mmh very long time no see you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom