Ngono (sexual intercourse) ni tendo la mtu mme kumwingilia mtu mke kupitia vikojoleo vyao kwa lengo la kustareheshana. Uzinzi/uasherati ni aina ya ngono isiyopendeza au isiyokuwa harali machoni pa jamii/mataifa/wanadamu.Hivi ngono na uzinzi tofauti yake nini!
Ngono (sexual intercourse) ni tendo la mtu mme kumwingilia mtu mke kupitia vikojoleo vyao kwa lengo la kustareheshana. Uzinzi/uasherati ni aina ya ngono isiyopendeza au isiyokuwa harali machoni pa jamii/mataifa/wanadamu.
Mi nafikiri baadhi ya vitu tunavyodai ni dhambi pengine sio dhambi. Kwangu mimi kama kitu hakimuumizi/muathiri mtu mwingine kwa njia yeyote basi kitu hicho sio dhambi. Mfano:
1. Mimi nimekutana na mdada. Tumevutiana. Tunakubaliana kwenda kufanya mapenzi. Tunaenda tunafanya mapenzi, tunafurahi kila mtu anaondoka zake akiwa ameridhika. Hapo dhambi inakujaje...??
2. Nimetoka na marafiki zangu, tumekaa sehemu tunapata vinywaji. Tumelewa, tunapiga makelele, tunacheka balaa. Baadae kila mtu kaondoka zake kaenda home kulala. Hapo kuna dhambi gani...??
3. Niko zangu JF nasoma nyuzi mbalimbali. Nakutana na uzi wa kula mzigo kimasihara. Nausoma nacheka sana nafurahi. Namimi naamua kutunga stori yangu ya uongo (chai) naweka na sukari ya kutosha. Watu wanasoma, wanafurahi. Hapo kuna dhambi gani...????
4. Nimeboeka zangu geto sina cha kufanya, naingia zangu xvideos nacheki cheki picha na videos za ngono. Nalipua kimoja nafurahi zangu nalala. Hakuna alieniona, hakuna anaejua kama nafanya hivyo. Dhambi hapo ni ipi??

Waislam haoView attachment 462725 Tuna wacha Mungu wengi sana washika dini weledi wa mambo wanaotumainiwa na wenye hekima! Wengine ni viongozi wa kaliba mbali mbali. ..ni hawa wote pamoja na wanajamii wengine kuna vitu wakifanya havionekani kuwa ni dhambi bali ni sehemu ya maisha
POMBE
Ni kawaida kabisa kuona mtu katoka kufanya ibada kwa uchaji na unyenyekevu mkubwa na kupitia chocho ili 'apoze' koo ama kutoa lock...na inawezekana kabisa kwa imani yake kuna baadhi ya vyakula ambavyo ni kharamu...lakini akakaa pembeni yake na kupata kinywaji chake akiwa na amani kabisa moyoni (kilevi si kharamu lakini hiki kingine ni kharamu)haya ni mazoea yenye kuakisi ukengeufu wa kimaono kwa muktadha mzima wa kipi ni sahihi na kipi si sahihi
NGONO UZINZI NA UASHERATI
Mtu huyo huyo anaweza kukuona wewe ni mkosaji mkubwa kwakuwa tu umekaa bar na kunywa pombe lakini yeye katoka kufanya ibada na kuingia gesti house akiwa na mchepuko, huko anaenda kufanya zinaa. ..hili kwake si dhambi kabisa wala hajisikii kuhukumiwa na roho kwa uchafu ule anaoufanya
VILEVI VINGINEVYO
sigara na madawa...si mngonokaji si mlevi wa pombe lakini haishi kuangalia saa wakati wa ibada akitamani ibada iishe haraka akapige pafu walau moja...mazoea ni yaleyale
WIZI WA KUTUMIA KALAMU RUSHWA NA 10%
Hahaha hapo ndio kabisa hakuna aliyesalimika kuanzia kiongozi wa dini anayeheshimika sana mpaka mtu wa kawaida kabisa mtaani
Pesa nyingi tunayotumia kwenye hayo mambo yote hapo juu si halali ni pesa ya dili na mlungula
Lakini unafiki wa kibinadamu ukuwakuta wanavyijadili kuhusu vibaka na wala RUSHWA utadhani wao ni malaika toka sayari nyingine
Nyama choma unayokula bia unayokunywa gesti uliyolala jana hakuna pesa halali uliyotumia hapo...wewe ni mwizi kama wezi wengine tuu...
Kafanye ibada lakini unajua ni tani ngapi za uchafu umebeba...kama kweli wewe ni msema kweli kuwa mkweli kindakindaki hata kueleza uliyoyafanya mpaka kupata haka kacheo unakotumia kuumiza wengine. ..wewe ni mdhambi kama wadhambi wengine mwizi kama wezi wengine. ...TUSITISHANE...WAKATI SI MILELE...!View attachment 462730 🙂
Waislam hao
Kwao dhambi ni kunywa Pombe na Kitimoto tu
Ila usengenyaji, uzinzi, uasherati na mengine si dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi katika dhambi ambazo nazikingia kifua ziondolewe kwenye listi ya dhambi ni hii ya kufanya mapenzi (siiti uzinzi) kwa makubaliano. Hata kama tumekubaliana nikulipe, bado haiifanyi kuwa dhambi maana ni kitu wote wawili tumeridhia na baada ya hapo kila mtu anaondoka akiwa ameridhika na alichokipata.Uzinzi unatusababisha tuongezeke