Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

Wewe ni zaidi ya mpumbav ambaye umbaye una ubatizo wa shetani.

Akili zako ziko kwenye kinyeo, nini kilifanya wakakosa njia nyingine ya kudeal na violent demonistration mbali na kutumia marisasi?

Nakuonaga sana unatetea sana huu utawala dhalimu, ila kuna muda ujaribu kuwa na ubinadamu mbwa wewe
Kiwango cha uhalifu kilichofikia hadi kuchoma vituo vya polisi ilikua haina njia mbadala wa kutuliza hizo ghasia, hayakua maandamano ya amani unatakiwa uwe balozi kwa kizazi chako
 
Sina cha kulaumu, walaumiwe ikiwa tu maandamano yalikua ya amani, ila maandamano yaliyojaa uhalifu ni ngumu kuyalinda, unamlinda vipi mtu anaevunja maduka ya watu na kuiba? Unamlinda vipi mtu anaharibu mali za watu na miundombinu?

Kila mtu akubali makosa yake.
Uhalifu kuliko waliofanya Samia, Mafwele na kundi lake? Haya maandamano yangekuwepo kama Samia angekuwa anaongoza kwa haki bila kuua? Sativa na makumi ya vijana waliotekwa hata kabla ya maandamano walikuwa wahalifu? Kufanya uchaguzi feki siyo uhalifu? Unajua ni kama serikali ilitangaza vita na wananchi wake na kwenye vita ni lazima kuna uharibifu? Huwezi kabisa kabisa kuwaumu waandanamaji ambao walikuwa wanajitetea baada ya kuanza kushambuliwa. Anyways, endeleeni kujitoa ufahamu lakini ukweli ni kwamba hiki kilichotokea ni cha mtoto tu kwani wananchi wanapokuwa hawana cha kupoteza hugeuka kuwa ''wahalifu'' na anayeumia ni kila mtu pamoja na wewe unayekebehi. Hivi unadhani Sudan sasa hivi hata waliokuwa anajifanya ni wajinga kama wewe wanaishi kwa raha?
 
Kusema kilichotokea ni cha mtoto ni kama kutamani kuona zaidi ya ulichokiona sasa, katika yaliyotokea hakuna mshindi na usitamani kuona zaidi ya hapo, unaweza kuona ni sawa hadi siku jeneza likiingia kwenye mlango wako.
 
Hawa jamaa mungu anawaona kwa walichotufanyie watanganyika wenzao. Ila namshukuru mjeda mmoja kwa kunisaidia ile october 29! Isingekuwa yeye, nahisi ningekufa ile siku! Ila siku ya kwanza na ya pili walikuwa pamoja na wananchi! Ila nilisikitika baada ya kusikia walivyotugeuka baadae na kuanza kuu raia! Mungu amewaona wale wasaliti.
 
Yaani kwa kifupi ni kuwa JWTZ kwa akili zao wote wameona kuwa Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki?

Au ndio vile wanafuata tu Order bila kutafakari?
 
Hamna jeshi pale ... mi nilianza kuwashtukia kipindi kile wanarudi kupitia mpaka wa Rwanda .... walisachiwa kwa kudhalilishwa mpaka nikabaki na maswali .... Kwa hili la sasa ndiyo nimewadharau vibaya sana
 
Tena ni waoga haswaa wale wengi wapo mule kusaka ugali wakifikiria maisha mtaani magumu ni waoga balaa
Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE.

Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake wameua na kuteka watu zaidi ya Mia tatu kwa kipindi cha miaka miwili. wametumia muda mrefu ila matokeo hafifu wakati Jw imetumia muda mchache zaidi ila matokeo significant.

KUNA WATAKAO MSAMEHE HUYU MAMA ILA DHAMBI YA JW IMEANDIKWA KWA KARAMU YA CHUMA.

RIP WASHIKAJI ZANGU,CHATI ZENU ZA MWISHO NITAZIHIFADHI HADI NITAKAPO IRUDIA ARDHI.
JWTZ walichotufanyia Wananchi vile hatuna la kuwafanya Mwenyezi Mungu atatulipia

Kumbe tumefanya makosa kuwaamini, inauma sana
Kama ulikuwa kwenye akili yangu.

Jw ni wanafiki pia ni waoga.

I wish waende vitani wakafe tu.

Kuelekea maandamano kuna mtu aliwahi kuonya humu humu kwamba raia wasiwategemee kabisa JW, alisema hao jamaa wanaogopa Polisi kuliko raia wanavyowaogopa Polisi
 
Day 1, JW walikuwa pamoja na Wananchi, baadaye waliondoka mitaani. waliporudi uraiani walirudi na silaha huku wakiwa wamevaa kiraia na ndiyo waliokuwa wanaua raia.

Ile Day one walipojifanya wapo na wananchi walikuwa wanafanya situational assessment. Baada ya kuridhika kwamba nguvu ile ni kubwa ndiyo walitoa ushauri wa kwenda na order ya shoot to kill na wao ndiyo walikuwa wakiua huku wakiwa wamevalia kiraia.

JWTZ imewaingiza chaka wananchi
 
Back
Top Bottom