Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

Ndo kuzidiwa kwenyewe huko ni kama walitekwa. Sasa ole wao itokee vita waombe msaada wetu
Mpaka hapa nchi ipo uchi, akij8tokeza adui akaivamia ataonekana kama Mkombozi
 
Sina cha kulaumu, walaumiwe ikiwa tu maandamano yalikua ya amani, ila maandamano yaliyojaa uhalifu ni ngumu kuyalinda, unamlinda vipi mtu anaevunja maduka ya watu na kuiba? Unamlinda vipi mtu anaharibu mali za watu na miundombinu?

Kila mtu akubali makosa yake.
Hapo watu wanavunja maduka?? Uwe unashirikisha ubongo wako hata kidogo mkuu
 
Attachments

  • 6223821-b1797a2265b88c9efc162b2e9870232.mp4
    2 MB
Hapo watu wanavunja maduka?? Uwe unashirikisha ubongo wako hata kidogo mkuu
Biashara yangu mimi mwenyewe imevunjwa na nimeibiwa kila kitu, tafuta njia nyingine ya kutetea hoja yako hii unayoleta hatapatikana mshindi maana na mimi nitaleta video ya mali zilizoibiwa na kuharibiwa
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Jaribu mkuu watu wako kazini acha unyumbu wakufuata kila kitu hata cha ovyo.
Acha kunitisha we msenge.

Si mlisema watu hawatoandamana mbona waliandamana?

Halafu kuhusu ugaidi anayeweza kupambana nao acha tuchapane wenyewe tu.

Huko marekani na Israel kwenye maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia wanapigwa matukio seuze nchi ya hovyo kama Tanzania.

Mkiendelea kushupaza shingo zenu yatawafika ya kuwafika shauri zenu.
 
Hakukuwa na maandamano bali kulikuwa na wezi na majambazi ambayo yalidhibitiwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Wewe endelea kubeba mabox huko ugaibuni
 
Skunyingine wananchi wakaushe wasiandamane, unaandamana kumbe unaandamania ugali wa watu, kumbe JW njaa ilikuwa inawasumbua, wamehongwa pesa kidogo wamegeuka wananchi.
 
Unaona polisi wamebeba mitutu ya moto afu we unapeleka tumbo mbele unategemea nini?? Run for your life mazee
 
Back
Top Bottom