Deus Kibamba ni nani?

Deus Kibamba ni nani?

N nchi nzima inaona wapinzani wasukuma wote wamehamia kwake...live kwenye TV...
Kuna ukabila wa waziwazi atakayejifanya ni kipofu halioni hili shauri yake, lakini tunapoelekea ni giza nene,

Shibuda amemuomba Rais waonane faragha, hivi unahitaji degree kuunganisha hizo dots?
 
Kama wananchi tuko makini, awamu hii ndio muhimu zaidi kuhoji kila kinachofanywa na serikali. Kiongozi mkuu anaongoza kwa 'freestyle' ambapo anatoa ahadi na pesa wakati hazikutengewa bajeti na wasaidizi wake wanaogopa kumshauri anapokosea. Pia wasaidizi wake wameambukizwa mizuka. Wanafanya mambo kumfurahisha mkuu ambayo wakati mwingine hayana manufaa kwa taifa. Mkuu anapenda amri, hivyo tuwe makini amri zake zisiende kinyume na katiba na sheria tulizojiwekea.

Hivyo, tuache kutuhumiana. Wote tukosoe kwa maslahi ya umma. Ishu sio nani alimkosoa Kikwete au nani anamkosoa Magufuli. Cha msingi ni zile hoja zinazotolewa pale ambapo kiongozi anakosolewa. Je anakosolewa kwa haki? Je ni kweli rais amekosea?
 
Tukitaka kuwa taifa la kulalamika tutalalamika kila siku. Muislamu atasema awamu hii wakristo wanafaidi. Wakristo watasema watu wa kanda ya ziwa wanafaidi, mwingine atasema wasukuma wanafaidi zaidi. Huu wote ni upuuzi. Tujitahidi kuhoji kama taifa linafaidi kwa bandari ya bagamoyo au airstrip ya chato. Hapo tutakuwa werevu kama watu wenye rangi nyeupe.
 
kwa nini kibamba yuko kimya kuhusu magifuli? swali gani hilo! pengine yeye kama watanzania wengi anamuunga mkono rais. pengine hajatumbuliwa. pengine hana ndugu yake katumbuliwa. pengine yeye sio fisadi. pengine yeye sio nyumbu. pengine yeye hana hasira kushindwa uchaguzi wa mwaka jana........
Hata kujadili kupanda kwa bei ya Sukari kutoka 1,800/ mapaka elf 4
 
Nimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...

Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?

Why now yuko kiimya na Magufuli?
Deus Kibamba, mwenyekiti wa JUKATA, Jukwaa la Katiba Tanzania.
 
Watu wanasahau haraka sana. Watu waliokuwa mstari wa mbele kumsulubu Mkapa baada ya kujiuzia Kiwira na kutaka ashtakiwe walikuwa wakristo. Mbunge Kimaro alitamka wazi bungeni kuwa uanzishwe mchakato wa Mkapa kushtakiwa. Mkapa alikuwa anazomewa anapopita mtaani. Ni Musa Zungu na Kikwete ndo waliokuja na habari za mwacheni 'mzee wa watu apumzike, kalifanyia mengi taifa hili'.

So binafsi naamin wale wote mnaowatuhumu wapeni muda. Itakuwa ni uendawazimu kumlaumu kiongozi aliyekaa madarakani kwa miezi 9 kwa kulinganisha na yule aliyekaa miaka 10. Tena sio lazima walewale waendelee na harakati. Harakati zinachosha na kugharimu maisha-wengine watajitokeza na watafanya kazi nzuri. Kuhusu Magufuli kukosolea, ondoeni shaka maana yeye (tofauti na JK) yuko mstari wa mbele, hajajificha nyuma ya wasaidizi kama Kikwete-hivyo sifa na lawama vitaenda kwake moja kwa moja. Na kwasababu serikali inafanya mambo kwa mizuka, ni rahisi kwao kukosea.
 
Aliye tangulia katangulia tu mkuu ni sawa na jeshini kuruta lazima apige saluti kwa mkubwa wake
Kwa hyo dini nyingine haina haki ya kutoa rais wa nchi hii!? Ahaaa ajabu sana!
 
Ndo kawaida ya wamawia sishangai vibudu mnavyokula vinawafanya bongo zenu zisifanye kazi sawasawa
Wewe ndiyo nyamaza kabisa mla chimunu na matamba kila kukicha na kufuga ndondocha au unafikiri sikujuu? Kunyamaza ni bora kuliko kupayuka maana humjui adui yako
 
Kibamba, kijo bisimba na mama nkya na wengineo pole sana Jk hakika ulihimili mambo mengi
 
Ulishawahi kuhoji hili swali alipokuwa mwenyekiti wa jukwaa la katiba?
 
Wewe ndiyo nyamaza kabisa mla chimunu na matamba kila kukicha na kufuga ndondocha au unafikiri sikujuu? Kunyamaza ni bora kuliko kupayuka maana humjui adui yako
Ukiona mtu ana attach irrelevant issue kwenye main topic ujue kaishiwa hoja, unijue ama usinijue it is non of my business, najua hoja imekugusa
 
Hawana kazi miaka yote hii 10! Subiri aje yusufu muone nyuki watavyotoka!
 
Jamii Forums ni ya Great Thinkers; Huyu Kibamba bado anapeleka ujumbe kwa kuandika, at least niki-cite articles mbili alizoandika kwenye The Citizen, moja akionyesha ni namba gani 'Qualitative Governance' ita suffer China ya JPM, na nyingine alichambua habari ya Serikali kuhamia Dodoma. Na nyingine Ambazo kwa haraka sizikumbuki. Tu huduma kwa haki
 
Back
Top Bottom